Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Na wewe LADY DOCTOR,MALARIA SUGU haiponi kwa ASPRIN,KLOROQUIN au MZIZIMKAVU.
 
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.

Ni kama vile Sijali, na mimi nataka niwe MVUMBUZI. Ni baada ya kuwa Mfuatiliaji wa Jamiiforums, japo si MwanajamiiOne wala mkuuwakaya lakini ni Kiumbemwanadamu mtaratibuuuuuu.

Mimi mambo ya kumwagiana tindikalikali au kulishana MtamaMchungu na Mauza uza ya kuwa Invisible kama Jasusi, halafu Sometimes usiku wa Mbalamwezi anakuwa kama tototundu kuchukua inkosokaazi, UmkhontoweSizwe na ak47 kisha kupandia Kichuguu na kuwa Sniper sipendi. Sawa,ninaweza kufanya kama SILENT ACtOR au Msolopagazi na watu wakaniita Mndundu au Mtumishi Wetu lakini Wacha watu hatu kama ni watu8 wanione ni Mbangaizaji.

Najua sikubaliki katika Yakuza kwani si Mr. Politician kama companero au MWANAKIjiji, wala si Polisi kama Chris Lukosi (japo alifukuzwa huko).

Mimi ni Mwafrika Halisi, MTAnzania Haswa yaani Mtanzania1, JituParaTupu, mwenye nguvu zaidi ya Yombayomba, wala si mwoga kama kautipe mmependa mchuzi wa kuku na kitumbua.
woyowoyo!!
Mwenzenu ni Mwelimishaji nafanyakazi za Mentor, si Mwalimu wala Profesa, ni Mkulima WAKUNJOMBE, (si wa Mtu wa Pwani kama Maralia Sugu) nimelima Kinyungu na mashamba, najua Duduwasha na @NG'OTIMBEMBEDZU na msadapadasi.

Hivyo Son of Africa na daughter, Mzee Mzima, Mamndenyi, Kadada pamoja Sabry001 na kadhalika wote karibu kwa mwendelezo wa habari tusichoke.

Nyongeza:

Safiii imekaa vizuri
 
Last edited by a moderator:
Na wewe LADY DOCTOR,MALARIA SUGU haiponi kwa ASPRIN,KLOROQUIN au MZIZIMKAVU.

Mpe Dawakali na Kloroquin kuuwa vijidudu vy Malaria Sugu iliyosababishwa Mbu Sugu; na Aspirin kutuliza maumivu. Mzizimkavu ni Sumu.

Maumivu yakizidi muone Dr wa Ukweli.
 
Great creativity. Keep it up!

Leo mchana nilikutana na Mama mdogo na Lara1 wakiwa wanazungumzia habari za Simiyu yetu. Nikiwa Mpitanjia nikaenda kuwasalimia. Pasco yeye alikuwa kwenye Bodaboda lake kama Ambakisye.
Si wakabadilisha story ghafla, ooh unajua FirstLady anajua kulea watoto wake halafu ni Hardworker. She Never give up! Lara1 akaongezea, unajua watoto wa siku hizi tusiwadekeze, unakuta Mzazi anampa mtoto Mwekundu kadhaa, Mtoto halali na hela! Unafikiri maisha ni kama mchezo ws Cricket au ule wa wakina Kaduguda, utayapata yakina Snura.
 
Back
Top Bottom