Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

wewe ambaye si mwehu basi usingepoteza your time and energy ku comment hapa! Jf is all about hard news,economy,politics,social,culture,funs,jokes,entertiment,education e.t.c;alltogether combined in critical thinking perspective. If you dont have flexible mind,you better go and hang yourself!

hawa ndio huwa wanatembea wanaongea wenyewe tu barabarani hawajui kuna muda wa ku-relax....
 
hawa ndio huwa wanatembea wanaongea wenyewe tu barabarani hawajui kuna muda wa ku-relax....

ndio hawa mkuu. Huwa wanachanganya matatizo yao binafsi na maisha ya watu wengine!
 
Yaani mkuu unapoteza muda wako wa uzalishaji mali kufanya madudu haya...dah I wish ungekuwa na familia na watoto wanaokutegemea...ada za shule etc etc!!!

Huruma zaidi zikuendee wewe unaesoma na kukoment mambo haya.
 
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.

Ni kama vile Sijali, na mimi nataka niwe MVUMBUZI. Ni baada ya kuwa Mfuatiliaji wa Jamiiforums, japo si MwanajamiiOne wala mkuuwakaya lakini ni Kiumbemwanadamu mtaratibuuuuuu.

Mimi mambo ya kumwagiana tindikalikali au kulishana MtamaMchungu na Mauza uza ya kuwa Invisible kama Jasusi, halafu Sometimes usiku wa Mbalamwezi anakuwa kama tototundu kuchukua inkosokaazi, UmkhontoweSizwe na ak47 kisha kupandia Kichuguu na kuwa Sniper sipendi. Sawa,ninaweza kufanya kama SILENT ACtOR au Msolopagazi na watu wakaniita Mndundu au Mtumishi Wetu lakini Wacha watu hatu kama ni watu8 wanione ni Mbangaizaji.

Najua sikubaliki katika Yakuza kwani si Mr. Politician kama companero au MWANAKIjiji, wala si Polisi kama Chris Lukosi (japo alifukuzwa huko).

Mimi ni Mwafrika Halisi, MTAnzania Haswa yaani Mtanzania1, JituParaTupu, mwenye nguvu zaidi ya Yombayomba, wala si mwoga kama kautipe mmependa mchuzi wa kuku na kitumbua.
woyowoyo!!
Mwenzenu ni Mwelimishaji nafanyakazi za Mentor, si Mwalimu wala Profesa, ni Mkulima WAKUNJOMBE, (si wa Mtu wa Pwani kama Maralia Sugu) nimelima Kinyungu na mashamba, najua Duduwasha na @NG'OTIMBEMBEDZU na msadapadasi.

Hivyo Son of Africa na daughter, Mzee Mzima, Mamndenyi, Kadada pamoja Sabry001 na kadhalika wote karibu kwa mwendelezo wa habari tusichoke.

Amna uhondo wowote apo coz hujanipaisha mm
 
Last edited by a moderator:
%kubwa ya waTz ni wehu,wenzako wanafikiria kuboresha technology wew unaumiza kichwa kuunganisha majina,s...t,,,upi,,,d

Lione kwanza! Wivu utakuua, kisa eti hujatajwa. (Nimekusonya kwa sauti)
 
Rev Masanilo akiwa na Jipu mgongoni lilisababishwa Mbu sugu, alitoka Kiguu na njia kwenda Igwachanya akiwa na ThinkPad yake. Njiani akakutana na The Boss, yule Mtafiti Makini rafikiye Researcher wa MORIA, akiwa na Tumaini Jipya la kupata ushauri toka kwa Senetor huyu wa Kinyerezi. Loh! Kumbe amekosea The Boss (Kweli ni Dr wa Ukweli) lakini ni mtoto wa mjini mwenye kiingereza kama cha Mwita Maranya au Kiranga. Yaliyomkuta Rev Masa, hatakagi kusimulia. Akiwa ni Mtumiabusara aliondoka kama Mwendabure au Mkulima wa Kuku. Mbele kidogo kwenye mtaa kama wa Kwamtoro, kando ya Zagazaga kadhaa alikutana na Mnyamahodzo (mwenye Mlengo wa Kati) na Chief-Mkwawa, yule mtaalamu wa Tekelinalokujia). Akawasalimia, Kinehe Mwadila! . Wakamjibu, mwadila baba! Chief-Mkwawa, akauliza, The Priest mbona uko kama Mkimbizwambio? Akamjibu, ni The Boss yule rafikiye Pdiddy. Mnyamahodzo akauliza, Pdiddy yule mnywa Tusker Bariiiidi? Rev Masa akajibu, huyohuyo, mpenda Ngambo Ngali. Hao watu, basi tu.
Basi pakawa na maongezi marefu kidogo juu ya maswahibu yaliyomkuta.

Ilipotimu saa kenda alasiri, waliwaona St Ivuga na Zing wakishuka kwenye magari wakiwa na vifaa kadhaa tayari kwa mkutano wa hadhara. Kwa mbali walikuwapo watu wengi wakiwemo wakina Faizafox, Preta na Husinyo wakinywa supu ya Sangara. Rev Masa akawafuata, kwa sauti ya chini aliwaambia M'hodzo na Chief, sasa ni Babylon. Mnyamahodzo alijipiga kifua na kusema, The Last Don. Ndipo Rev Masa kwa sauti kavu kavu akaanza kuhutubia " Hii ni Sahara voice, voice of reason yenye kuleta Tumaini. Habari za Goodgud ambaye ni incible na Yumwema.
....Nilimbele yenu si Mpitanjia, Naipenda Tanzania,....hata kama mkitaka niwe Raisi wa Paka..." mara likasikika sauti ya bomu booom!!!

Sijui kama itaendelea..
 
Usingekuwa na haraka....ungekopy majina yao na kupaste kwenye thread yako,,ingekuwa njema sana...wahusika wangepata ujumbe kwa urahisi....anyway umejitahidi...

THE BOSS tumia u TYTA wako kule KATAVI watu hakuna SMILE tena SNIPER wanamaliza NYATI.Ila poa MALIPO KWAMUNGU na siku nikiwa PRESIDA ntatumia STRONG RULER kuwanyima SALARY SLIP MANGULI wote au najifanya KAKAJAMBAZI napanda KICHUGUU na kuwamwagia TINDIKALI au kuwatupia WASHAWASHA wasituletee mambo ya KBOSHO hapa.
 
Hahaha!!! ubunifu mzuri mkuu na nahisi imekuchukua muda mrefu kuweza kuchuja majina hayo ili yatengeneze mtiririko wenye kutoa mantiki...
 
hawa ndio huwa wanatembea wanaongea wenyewe tu barabarani hawajui kuna muda wa ku-relax....

animated-man-walking.gif
 
Back
Top Bottom