Faizafox hawezi kuwa Kilaza vile.., Mtu anaongea utafikiri anatafuna Bisi, ni haki yake kuambiwa ana IQ ndogo na yule Mzee wa Ngololo!!!kwa habari nilizo nazo za uhakika ni kwamba MSHANA jr. ni ZEMBWELA wa kipindi cha uswazi na FAIZER FOX ni JULIANA SHONZA