Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,511
Umetisha japo jina langu halijatengeneza habari yako.
Mpwa atakuwa alikusahau
Umetisha japo jina langu halijatengeneza habari yako.
Chizi Fureshi, Katavi ni Mkoloni sana Mamzalendo alisema alimwona Sikonge na mabomu akiwa anakimbia Mchakamchaka na MwanaCBE. Usininukuu.
She is a nameless girl who lives in Katavi and Never give up to seduce Elli whenever she sees him with Mnyamahodzo and mshana jr
Umetisha japo jina langu halijatengeneza habari yako.
Naona limetengeneza tayari.Nashukuru mkuu, litatengeneza tu.
kwa sababu wakati anaandika ulikuwa na Mikazo ya tumbo itabidi Nyaningabu aliyepo mbugani Katavi akuchimbie Mzizi mkavu uchemshe unywe! Ingawa nae huko porini nasikia ametekwa na kakajambaz ambaye nyumbani kwake anafuga kina pakajimi wengi. Kwa kuwa mimi ni kamanda,nitatuma Swat team huko ikamuokoe ili upate dawa ya tumbo!
we kiazi kweli aweke picha ya nini sasa?weka picha
She is a nameless girl who lives in Katavi and Never give up to seduce Elli whenever she sees him with Mnyamahodzo and mshana jr
Majina mengine ni magumu kutaja.
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.
Ni kama vile Sijali, na mimi nataka niww MVUMBUZI. Ni baada ya kuwa Mfuatiliaji wa Jamiiforums, japo si MwanajamiiOne wala mkuuwakaya lakini ni Kiumbemwanadamu mtaratibuuuuuu.
Mimi mambo ya kumwagiana tindikalikali au kulishana MtamaMchungu na Mauza uza ya kuwa Invisible kama Jasusi, halafu Sometimes usiku wa Mbalamwezi anakuwa kama tototundu kuchukua inkosokaazi, UmkhontoweSizwe na ak47 kisha kupandia Kichuguu na kuwa Sniper sipendi. Sawa,ninaweza kufanya kama SILENT ACtOR au Msolopagazi na watu wakaniita Mndundu au Mtumishi Wetu lakini Wacha watu hatu kama ni watu8 wanione ni Mbangaizaji.
Najua sikubaliki katika Yakuza kwani si Mr. Politician kama companero au MWANAKIjiji, wala si Polisi kama Chris Lukosi (japo alifukuzwa huko).
Mimi ni Mwafrika Halisi, MTAnzania Haswa yaani Mtanzania1, JituParaTupu, mwenye nguvu zaidi ya Yombayomba, wala si mwoga kama kautipe mmependa mchuzi wa kuku na kitumbua.
woyowoyo!!
Mwenzenu ni Mwelimishaji nafanyakazi za Mentor, si Mwalimu wala Profesa, ni Mkulima WAKUNJOMBE, (si wa Mtu wa Pwani kama Maralia Sugu) nimelima Kinyungu na mashamba, najua Duduwasha na @NG'OTIMBEMBEDZU na msadapadasi.
Hivyo Son of Africa na daughter, Mzee Mzima, Mamndenyi, Kadada pamoja Sabry001 na kadhalika wote karibu kwa mwendelezo wa habari tusichoke.
we kiazi kweli aweke picha ya nini sasa?