Hillary Clinton Verified account @HillaryClinton
This is horrific. We cannot allow this man to become president.
Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?
Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!
Sawa,Yeye na Obama wamemuua Gadafi!
![]()
Kwahiyo Gaddafi ndio huyo kristo??Yeye na Obama wamemuua Gadafi!
![]()
Duh,Ndiyo!
Hillary Clinton Verified account @HillaryClinton
This is horrific. We cannot allow this man to become president.
Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?
Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!
Na wewe ya kwangu yanakuhusu?
Achana na mimi!
IPTL,ESCROW, MEREMETA,nk!Yote haya yamewashinda.Mnaongea ya Clinton. Aiseee.
Mleta mada ni mtu aliyechanganyikiwa, hajitambui wala hajui hiyo Marekani viuzri japo yuko uko uko.Nimeshindwa kuconnect dots.... Hivi mleta mada, unamuhusisha vipi mpinga kristo na gaddafi??? Hapo unamuunga mkono nani???
Aache watu na democrasia zao ajue huku tunapopiga kura na kuzilinda usiku mzima na mapanga.Sasa we yanakuhusu nini
Acheni uchwara hii sio ukawa bhana ..Hillary Clinton Verified account @HillaryClinton