Ona maajabu ya maneno ya Hillary Clinton!

Ona maajabu ya maneno ya Hillary Clinton!

Acheni uchwara hii sio ukawa bhana ..
Ww umekaa huko chanika unaongea mambo ya USA wakat maneno yako Trump mwenyew anaona sawa na kelele za ngedere ..
Hivi unaakili kweli? Ww ambaye hata njiti ya kibiriti imekushinda kutengeneza unatoa ushauri kwa watu wanaoplan kwenda kuishi mars? Ajabu sana .. Acha ungumbaro kijana

Hahah nani anaplan kwenda kuishi Mars? huyo Clinton? Usichanganye Wanasayansi na Wanasiasa!
Au kwa sababu ni Mwanasiasa wa USA ndiyo unafikiri ni mtu intelligent? Hata wewe pia ungezaliwa USA ukapata mtu wa kukuback kama vile Wall street ili uje uwatimizie malengo yao wangekuchukuwa pia!
Mwanasiasa ni kama day worker tu na haijalishi ni wa wapi tena bora hata wa Afrika angalau anaamua mwenyewe lkn hao wa Kizungu ndiyo wamejiriwa tu na finance indutry!
 
Hujielewi wewe unafikir mwanasayansi bila siasa safi unafikir kutakuwa na mafanikio?
Tanzania kila siku tunailaumu ccm kwa kutokiw na hata kiwanda cha baiskeli unafikir ni kwanini? Kweli ww nyumbu
 
Hujielewi wewe unafikir mwanasayansi bila siasa safi unafikir kutakuwa na mafanikio?
Tanzania kila siku tunailaumu ccm kwa kutokiw na hata kiwanda cha baiskeli unafikir ni kwanini? Kweli ww nyumbu

Wewe ndiyo haujielewi, unafikiri Wazungu ni Superhuman? Ninyi ndiyo mnaouza nchi mkiona Mzungu tu basi mnababaika na kumkabidhi kila kitu!
Wazungu kama sisi tu wana matapeli, wezi, wala rushwa, vile vile wana watu wazuri, wachapa kazi n.k. tofauti ya USA na TZ ni muda tu, TZ yetu ina miaka 50 tu, wakati Bara la Marekani Wazungu walianza kuishi tangu miaka ya 1400 huko Columbus alipokanyaga, hata hivyo ni nje ya Mada!
 
ya ngoswe tuwaachie akina ngoswe wenyewe
Unajua nilikuwa nataka kumuuliza Barbarosa anaishi nchi gani.

Mtu anamshambulia Hillary Clinton kwa sababu mum wake kafanya ufuska, wakati anamuacha Donald "Grab them by the pussy" Trump?

Wwanyamwezi wenyewe tumetulia tu, tunajua safari hii tumeula wa chuya kwa miaka minne no matter anashinda nani.

Uchaguzi wa rais wa kuangaliwa sasa ni wa 2020.

Na wote wawili hawa, hakuna atakayepita.

Kwa sasa tunaingia kipindi kinachoitwa "interregnum"

interregnum

[in-ter-reg-nuh m]
See more synonyms on Thesaurus.com
noun, plural interregnums, interregna

[in-ter-reg-nuh] (Show IPA)
1.
an interval of time between the close of a sovereign's reign and theaccession of his or her normal or legitimate successor.
2.
any period during which a state has no ruler or only a temporaryexecutive.
3.
any period of freedom from the usual authority.
4.
any pause or interruption in continuity.
 
Mambo ya clinton yanakusumbua sana kichwa kuliko ajira za watanzania na cuf
 
Hillary Clinton Verified account ‏@HillaryClinton
This is horrific. We cannot allow this man to become president.

Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?

Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!

NADHAN WATU WA KUONGELEA NI WAWILI TU, ITS TRUMP VS CLINTON HILARY. MAMBO YA BILL YANAINGIAJE HUMU?
MBONA MNACHANGANYA MADA?
HAYO NDO YAMEMFANYA TRUMP APOTEZE DEBATES ZOTE! ANATUMIA MUDA MWINGI KUONGELEA MAMBO AMBAYO WATU HAWAKO INTERESTED NAYO! HII MAANA YAKE MMESHINDWA KUPATA UBAYA WA BI HILARY APART FROM THOSE EMAILS KWENYE PRIVATE SERVER!
MMEKWISHA.
 
Wewe ndiyo haujielewi, unafikiri Wazungu ni Superhuman? Ninyi ndiyo mnaouza nchi mkiona Mzungu tu basi mnababaika na kumkabidhi kila kitu!
Wazungu kama sisi tu wana matapeli, wezi, wala rushwa, vile vile wana watu wazuri, wachapa kazi n.k. tofauti ya USA na TZ ni muda tu, TZ yetu ina miaka 50 tu, wakati Bara la Marekani Wazungu walianza kuishi tangu miaka ya 1400 huko Columbus alipokanyaga, hata hivyo ni nje ya Mada!
Duh! Hivi miaka ya 1400 Africa au tz ilikuwa haipo kwenye ulimwengu?
Ona unavyojidhirihisha ujinga wako kinachokuaminisha kwamba Hilary Clinton hafai na Trump anafaa ni kipi?
Ww unayeishi yombo kwa dadaako akiwa ameolewa unataka kuniambia unaijua USA kuliko raia wenyewe?
 
Inawezekana nikawa naijua USA kwa kiasi fulani klk raia hata baadhi ya raia wa USA, cha ajabu ni kipi hapo?
Mbona wao Wazungu wanaoingolea Afrika na hata kupanga policy na wakati mwingine hata kuchagua Viongozi wa Afrika wkt hata hawajtia mguu Afrika? Mbona hilo hulilalamikii?
World bank sasa hvi wamekaa New York wanapanga jinsi ya wewe utakavyo ishi mbona wao unaona ni sawa lkn unaona siyo kwangu kuwaongela wao? Iweje uone ajabu mimi Mwafrika kujua mambo ya USA? Isitoshe ni kipi cha USA kisichojulikana Dunia hii?
 
Inawezekana nikawa naijua USA kwa kiasi fulani klk raia hata baadhi ya raia wa USA, cha ajabu ni kipi hapo?
Mbona wao Wazungu wanaoingolea Afrika na hata kupanga policy na wakati mwingine hata kuchagua Viongozi wa Afrika wkt hata hawajtia mguu Afrika? Mbona hilo hulilalamikii? Iweje uone ajabu mimi Mwafrika kujua mambo ya USA? Isitoshe ni kipi cha USA kisichojulikana Dunia hii?
Ww hakuna unachokijua bali ni ushabiki uchwara uliokuandama.
Watu kama nyinyi ndio mazuzu duniani hapa
 
Ww hakuna unachokijua bali ni ushabiki uchwara uliokuandama.
Watu kama nyinyi ndio mazuzu duniani hapa

Ni kweli hakuna ninachokijua ukilinganisha na complexities ya mambo ya Dunia, vinginevyo ningeshatatua matatizo ya hii Dunia!
 
Unajua nilikuwa nataka kumuuliza Barbarosa anaishi nchi gani.

Mtu anamshambulia Hillary Clinton kwa sababu mum wake kafanya ufuska, wakati anamuacha Donald "Grab them by the pussy" Trump?

Wwanyamwezi wenyewe tumetulia tu, tunajua safari hii tumeula wa chuya kwa miaka minne no matter anashinda nani.

Uchaguzi wa rais wa kuangaliwa sasa ni wa 2020.

Na wote wawili hawa, hakuna atakayepita.

Kwa sasa tunaingia kipindi kinachoitwa "interregnum"

interregnum

[in-ter-reg-nuh m]
See more synonyms on Thesaurus.com
noun, plural interregnums, interregna

[in-ter-reg-nuh] (Show IPA)
1.
an interval of time between the close of a sovereign's reign and theaccession of his or her normal or legitimate successor.
2.
any period during which a state has no ruler or only a temporaryexecutive.
3.
any period of freedom from the usual authority.
4.
any pause or interruption in continuity.

Kabisa mkuu...mm sio mnyamwezi ila yoyote atakatepita nadhani anaweza kuwa one term president...Ila sidhani kama Trump anaweza pita...naona hata kwenya debate kabase kwenye personal attacks zaidi ya kuongea na wapiga kura.,halafu kama hajui anachoongea au anajikanyagakanyaga

Hata debate ya juzi kwenye lile swali la sexual assault aliacha kujibu swali akaanza kuongea kuhusu ISIS sijui...huyu jamaa simwelewi elewi kabisa.
 
Tujdiliane yetu ya Zanzibar na mikutano mpaka 2020. Wamarekani tuwaache wajadiliane ya kwao.
 
Back
Top Bottom