Ona maajabu ya maneno ya Hillary Clinton!

Ona maajabu ya maneno ya Hillary Clinton!

Kwa maana hiyo Hillary nae atanyonywa uchi akiingia ikulu!?you can't be serious man!!conclusion za ki mwl msigwa hizo.
 
Kwa maana hiyo Hillary nae atanyonywa uchi akiingia ikulu!?you can't be serious man!!conclusion za ki mwl msigwa hizo.


Yeye amesema kwamba D.Trump hafai kuwa Raisi wa USA kwa sababu ya maneno yaliyorekidwa miaka zaidi ya 10 iliyopita, hivyo hauwezi kuonisha hapo ninachomaanisha? Kwamba yeye Hillary akiwa Ikulu Mume wake alinyonywa mboo na kusex na Wanawake ndani ya Ikulu (Oval Office) lkn yeye Hillary Clinton alimtetea na kubakia kuwa raisi wa USA!
 
Kwa maana hiyo Hillary nae atanyonywa uchi akiingia ikulu!?you can't be serious man!!conclusion za ki mwl msigwa hizo.
😀😀 mbavu zangu mieeee mbona FRANK MSIGWA hahhaahahahahaahahaahahaha
 
Ngoja nimpigie jamaa yangu mmoja hivi atusaidie, yeye alishawahi kufika Marekani.
 
Kipimo unachopima ndicho utakacho pimiwa na husiukumu usije hukumiwa
 
Hillary Clinton Verified account ‏@HillaryClinton
This is horrific. We cannot allow this man to become president.

Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?

Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!
Obama ni mpinga Kristo? Hakika utakuwa umepungukiwa akili kidogo.
 
Unamuhukumuje mke kwa makosa ya mme??? Kwani uchaguzi mwaka huu ni kati ya Bill na Trump??? Yeye ndo alimtuma Bill afanye huo ujinga??
Mkuu, mama Clinton ndio alikuwa mstari wa mbele kuhakikisga ana wazima hao madem walio dai mmewe ka wadhalilisha kijinsia yaan tunamuita enabler, pia toka bwana Clinton akiwa Gavana alikuwa ana kesi za udharilishaji ambazo Walikuwa wanashitikiana na Hillary kuhakikisha wanawake wanao dai haki wanapotezwa kiaina, ndio Trump anacho pigia kelele.
Na HRC alisema akipita Bill ndio atakuwa Economic Czar, so sidhani kama Bill anaweza ondoka kwenye mdomo wa Trump
 
Obama ni mpinga Kristo? Hakika utakuwa umepungukiwa akili kidogo.


Ndiyo Obama ndiye mpinga Kristo namba Moja USA, na ndiye aliyetoa Amri kuuliwa kwa Gadafi na Hillary akatekeleza!
 
Hilo swali inabidi uwaulize wenye JF, kwa nini wameweka International Forum?
wewe ndio umechanganyikiwa na kuwehuka
  • Mpinga Kristo ni wapi wameandika Trumpet naye sio mpinga Kristo
  • huli Jukwaa si la DINI kuna Waislamu na Mabudha
  • hasira zako zimejaa kwa mwanamke kutawala wakati anatawala USA
  • hebu usijiabishe maana mambo ya kike ya akina Monica Lewusky ww ndio unaleta wivu kuliko Mama Clinton
  • Kifupi Hillary clinton ndio Rais ajaye wa USA
 
wewe ndio umechanganyikiwa na kuwehuka
  • Mpinga Kristo ni wapi wameandika Trumpet naye sio mpinga Kristo
  • huli Jukwaa si la DINI kuna Waislamu na Mabudha
  • hasira zako zimejaa kwa mwanamke kutawala wakati anatawala USA
  • hebu usijiabishe maana mambo ya kike ya akina Monica Lewusky ww ndio unaleta wivu kuliko Mama Clinton
  • Kifupi Hillary clinton ndio Rais ajaye wa USA


Na huo ndio utakuwa mwisho wa USA kama tuijuavyo ambayo Mpinga Kristo Obama alishauanzisha, kama kweli hili likitokea!
Laana ya kumuua Gadafi haiwezi kuwaacha, angalia civil unrests inayoendela USA, Obama karibia anatangaza marshal law, na huyu mpinga Kristo Clinton akiingia Ikulu USA ijiandae kwa civil unrest nyingi zaidi kuliko hata sasa hivi!
 
We jamaa mada zako unaandika ili upate umaarufu JF au nini tatizo? Anzisha mada acha kushambulia personality ya mtu, jenga hoja ili ueleweke na wachangiaji tujue tunachangia nini. Si unaona mada zako "wakongwe" wanazipuuza tu? Au hujagundua?

Unamdhalilisha Obama na Clinton noma sana....unatumia maneno makali kuwadhihaki.....hiyo yote inaelezea sana kukuhusu wewe sio Obama na Clinton.

Dunia sasa hivi inahitaji watu wenye mitazamo moderate, mazingira salama zaidi, upendo zaidi, watu wasikivu zaidi, maarifa zaidi.

Acha kuzingua we jamaa
 
ivi marekani wanatumia jahazi kweli?sio wana meli hawa
 
Wewe ndugu pamoja na wa kwenu kaeni kimya Marekani si kama Tanzania.
 
Ni lini nimekulazimisha wewe au hao unaowaita wakongwe kusoma na kuchangia ninachoandika? Kama haupendi mada zangu ni simple tu potezea, nashindwa hata kuelewa kwa nini unapoteza muda wako kumjibu mtu ambaye hufagilii mada zake!
Acha kushambulia personality ya Obama na Clinton......weka hoja sio maneno ya kipuuzi eti Clinton "alinyonjwa ****" Oval office. Unazingua sana we jamaa.

Unaanzisha mada nzuri halafu ikisoma unagundua huyu mtoa mada anawaza nini kwasababu kadiri unavyoandika ndivyo unaingiza maneno yako yasiyo na staha? Acha ulofa mkuu kuwa moderate. Nenda kapate usjauri kwa mkuu Kartan.
 
Back
Top Bottom