Ona maajabu ya maneno ya Hillary Clinton!

mkuu uko huko lakini unasahau sera za nje za marekani ni sawa bila kujali nani yuko madarakani. pia wote wapinga kristo hao..
Huyo Kristo mmeletewa na mzungu leo mnajifanya nyie mnamjua kuliko wao waafrica mna tabu kweli
 
Hillary Clinton Verified account ‏@HillaryClinton
This is horrific. We cannot allow this man to become president.

Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?

Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!
Wewe unamjua Mungu kuliko Clinton?
Ungekuwa unamjua Mungu usingekuwa ccm, ccm nyie ni waabudu Shetani.
Mnatawala nchi Kwa nguvu za dola wakati hampendwi.
mmepora pesa na jasho la wafanyakazi, miaka zaidi ya 50 mmeifanya nchi yetu nzuri kuwa maskini na ombaomba.
Hakuna watu katili na hatari Kama ccm, mnatamani Sana kuwa kama North Korea ila tu mnaogopa Kwa kuwa hamna ubabe huo.
Mwenge ni tambiko la kichawi na kuwafanya watanzania wawe mazezeta wasijue haki zao.
Ni bora Clinton mzinzi kuliko ccm majambazi ya uchumi wetu na raslimali zetu.
Nenda Lumumba kawasaidie wenzako, issues za marekani wewe huzijui na ukae kimya.
 
Uko nje ya Mada, CCM inaingiaje hapa? Kuna jukwaa la Siasa hapa JF, ambapo hayo yote uliyoyaongelea yanajadilika lkn siyo hapa!
 
Nimekujibu ulivyokuwa unataka, unasema Clinton ni devil worshipper, wakati ma devil worshippers mnao kibao hapo Lumumba, sasa ulitaka nikujibuje?
 
Ni wapi nimesema Clinton ni devil worshiper?
 
Hillary Clinton Verified account ‏@HillaryClinton
This is horrific. We cannot allow this man to become president.

Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?

Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!

Masuala ya Mpinga Kristu yanaingiaje tena kwenye Urais wa Marekani
 
Mbona unasheheneza post yako kwa jina KRISTO? Wewe huyo kristo aliletwa kwako na Nani?
 
Unavyomuita Mpinga-kristo unamaana sio mkristo ama??
 
Back
Top Bottom