On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

- Kiboko cha nani? Taifa tunawalipa kutusaidia CCM na this is one of their responsibility, unamsifia mtu kwa kufanya wajibu wake?

Es!
Mbona nyie kila Uchwao hamchoki Kumsifia Mkwe.re, ina maana Mkwer.e analipwa na Magamba.
Vp, Dingi atagombea on the Next Run Mtera au ndo kishajikatia Tamaa, Vp Bi Mkubwa Same, kajipanga au, M4C ishepita kule tayar
 
Endapo ni kweli Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau alimuunga mkono Romney dhidi ya Obama na baadaye Obama aliposhinda wameendelea kushirikiana basi hii inaonyesha kuwa wenzetu wamekomaa nimesikia Netanyau akimpongeza Obama kwa kumuunga mkono katika suala la Wapalestina. Lakini pia tuliwahi kushuhudia katika uchaguzi wa kwanza na wa mbili aliyekuwa waziri wa Mambo za nje wa Marekani Collin Poweri (republican) akimuunga mkono Obama wa chama cha Demokratic

Haya yapo kwa nchi za wenzutu... bado waafrika tunapata wakati mgumu mno kukubali matokeo.. hata huko Ghana ambako ndiko tunaambia kuna demokrasia bado wanapata wakati mgumu kupongezana.. sasa fikilia leo magufuli am-support Odinga halafu kesho wapinzani wa Odinga washinde na magufuli awe Rais wa Tanzania.. itachukua muda kukubalika au kuwa na mahusiano imara
 






  • Mkurugenzi wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa EZEKIEL WENJE

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia CHADEMA kimeitaka Serikali kutolea ufafanuzi suala la WazirI wa ujenzi Dr. John Magufuli kuhudhuria Sherehe za kutambulishwa kwa mgombea urais chama cha ODM Kenya Raila Odinga endapo suala hilo lina uhusiano wowote wa Kiserikali.

Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Ezekiel Wenje amesema kitendo cha waziri huyo kuhudhuria sherehe za kutambulishwa wa Raila kinatoa picha mbaya ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Kenya iliyopo Madarakani kutokana na ushirikiano wa muda mrefu kati ya serikali hizo.

kwenye sentensi nyingine Wenje amesema Magufuli kupanda jukwaani kuanza kumnadi kiongozi wa ODM ni ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kimataifa ambapo amedai kwa mujibu wa kanuni za Umoja wa mataifa ni kosa kubwa Taifa moja kuingilia siasa za Taifa jingine hata kama hayo mataifa yanaushirikiano wowote.
 
CCM wangeweza kutofautisha hilo ingewasaidia sana, haya mambo ya chama kushindwa kukemea watumishi wa serikali wanaoboronga ndio inawaharibia. Kama chama kingekuwa kinaisimamia serikali kingeweza kujitenga na kashfa nyingi za ufisadi maana umetokea serikalini lakini kutetea makada wake kunakigharimu na hakiwezi kujitenga na uchafu huo.

Nakubaliana na wewe, labda kwa kuongeza kidogo, inakuwa ni mtaji mkubwa wa kisiasa kwa vyama vingine vya siasa kwa sababu wanapiga ndege wawili kwa jiwe moja. Hawahitajiki hata kusema kwa wananchi "wameshindwa kuisimamia serikali" kwa sababu viongozi wa chama ndiyo hao hao wamo serikalini kama Rais, Mawaziri na Watendaji katika idara mbalimbali. Kiongozi wa upinzani akisema chama, wananchi wanamwelewa kama anaisema serikali pia pamoja na kwamba ni mkanganyiko na makosa kufanya hivyo. Haya ndiyo matatizo ya chama kushindwa kwenda na wakati, bado wanaendesha chama katika misingi ya kushika hatamu za kiuongozi serikalini badala ya kujipambanua kama wao ni wasimamizi wa serikali ya chama chao.

Huu utaratibu wa kuwa na kofia mbili mbili hata tatu tatu ndiyo unaitafuna CCM na serikali yake.
 
ODM 21.JPG ODM 22.JPG ODM 23.JPG ODM 13.JPG ODM 9.JPG ODM 4.JPG
 
Mawazo ya Magufuli hayapaswi kuchukuliwa kama mawazo ya CCM. Kwa nini Magufuli ndiye atumwa kuwakilisha chama hali kuna viongozi wakubwa na wasemaji wa chama kama akina Nape. Fuattilieni maelezo ya Magufuli jinsi walivyofahamiana na Odinga, hapo ndo utajua kwa nini alikwenda huko. Tusiwe wavivu wa kufikiri kila kitu sio lazima kihusishwe na chama
 
Maoni ya CHADEMA ni mazuri, ingawa binafsi nina wasiwasi na uwezo wa kujenga hoja wa Wenje... (Not about this issue)
 
Inaonekana umepata girlfriend mwingine vipi unajisoap soap ,hii post ikifutwa nitajua kuna mod mwenye ID ya Tuntemeke kuna kitu nakifuatilia na huyu mjamaa
 
Hapa suala ni kuwa kuna upofu wa hekima unaoendelea kutoka katika kambi ya CCM. Ukiangalia sana unaweza kukuta hata pesa huwa wanapeana kusaidiana kwenye chaguzi. Ni upofu huu anaozaa ujeuri wa kutoa majibu rahisi katika mambo ambayo yanahusu mustakabali wa kitaifa. Hili suala linaingilia sana maslahi ya nchi (na sio ya CCM). Kitendo cha waziri wa nchi nyingine kuhusika katika siasa za ndani ya nchi nyingine - kinatishia sana mahusiano ya nchi husika. Hivyo CCM wangepaswa wawe na hekima kuliweka hili jambo wazi zaidi - kwamba kufanya hivyo hakutishii maslahi ya nchi.
 
Ni kweli kimataifa hairuhusiwi nchi moja kushabikia hadharani mgombea urais wa nchi nyingine. Lakini ninavyomjua Magufuli ni kipenzi cha kupenda sifa ama kwa kujikomba au kujinasibu kwa kauli zisizopimwa kabla ya kuzitamka. Hao ndio viongozi wa magamba bwana.
 
Sio hili la Magufuri tu bali hata la makada wa CCM(Nape, Kinana) kuwaita watumishi wa umma kwenye mikutano ya CCM ili wajieleze wamelipata wapi? Wanatumia sheria gani? Wanatumia mamlaka ipi?

Ile dhana ya Chama kushika hatamu na serikali kuwa mtekelezaji bado ipo.
 
- Nimeona Mkurugenzi wa CHADEMA leo akidai maelezo kuhusiana na safari ya hivi karibuni ya Waziri wa CCM Magufuli huko Kenya na kuhusika na mikutano ya kampeni za Urais huko,

- Now kwenye hilo this time CHADEMA wapo on the right side of the coin, CCM itoe maelezo ya kina as to how and why Magufuli didi that, kwa sababu ieleweke kwamba Waziri wa Jamhuri anakuwa On Duty 24 hours akiwakilisha Jamhuri sasa alikwenda huko kuwakilisha Jamhuri au CCM?

- Ni muhimu Serikali ya CCM ikatoa maelezo sasa kabla haijageuka kuwa a big deal ni ishu ndogo sana ila ikiachwa itageuka kuwa kubwa na kutuumiza CCM, so CCM let's get the facts out now!

Es!

KENYA'S Vice President Dr Kalonzo Musyoka, has said there is need for Tanzanians to re-elect Dr Jakaya Kikwete for president due to urgent regional and international tasks that only the latter can fulfil.

Addressing a dinner event organized for his honour by Tanzanian and Kenyan business persons in Arusha Friday night, Mr Musyoka said Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi are currently working hard to make the East African regional integration happen and Mr Kikwete is an important force in the joint efforts.


"Those who have been following the process would recall that it was not easy to revive the EAC after the original one collapsed in 1977, we remained suspicious of each other and had it not for the wisdom of our former leaders, the late Mwalimu Nyerere, Daniel Arap Moi and former Tanzanian Presidents Ally Hassan Mwinyi and Benjamin Mkapa there would still be no East African Community," said Mr Musyoka.


The Kenyan VP explained that a lot has been achieved so far, including the latest milestone launch of the East African common market but said there were still more crucial tasks ahead to ensure that the community becomes stronger.


The laid ground works would require more joint efforts from the Heads of State in the member countries who had been involved in the first place. Dr Kikwete is the current chairman for the Summit of the East African Heads of States, having been elected during the EAC's 10th Anniversary milestone celebrations last November.


"But I did not come to Arusha to campaign for Mr Kikwete. I am only stating the facts, we have been going very well in the community and we do not want anything to interrupt the promising development. But again even from personal point of view, I still support Dr Jakaya Kikwete for his unquestionable leadership ability as well as for the fact that, as my personal friend, we have long history including that of suffering together," maintained the Kenyan VP.


"I wish I had one single strong vote to reinstate Dr Kikwete I would have cast it in his favour. Tanzanians should also vote for him again if they know what is good for them," said the Kenyan VP.


Mr Kalonzo Musyoka also commented on Tanzania's election campaigns; "Kenyans need to learn something from Tanzania. There is an election going on here but things are so peaceful and serene, it is like nothing is happening, people are taking things easy.


In Kenya right now there is no election but already people have started to argue and conducting heated debates over the issue even though the next polls are coming up in 2012," he said.


He told business people in Arusha that Kenya has thrown open the doors for all Tanzanian professionals to go and work in the country without the need to seek for work permits; "President Mwai Kibaki has reiterated his statement that he wants Tanzanians to go and work in Kenya without qualms or any hindrance and while at that I also take the opportunity to invite business people and investors in Tanzania to also extend operations in Kenya," said the VP.


Earlier, on the chairman for the Confederation of Tanzanian Industries (CTI) in the Northern Zone, Mr Anup Modha told the Kenyan VP that Tanzanian investors were ready and confident enough to grab the Kenyan market.
 
-Hili suala nilisema tangu Mwanzo.Nilikua kwenye huo mkutano na speech ya Magufuli ilikua very undiplomatic na pia nilipost hapa kwamba huyu jamaa ajifunze kuongea kwenye majukwaa ya kimataifa

-Hata wajumbe waliizungumzia sana speech yake hiyo.Hata hivyo Magufuli ni rafiki wa karibu wa Odinga sasa kilichotokea ni breach of protocal.Odinga ni smart kwa kutumia strateggy kama hizi.Nilichojifunza ni kwamba kitengo cha itifaki na mambo ya nje cha ODM kilikua kimejipanga na hakikufanya arrangement kwa bahati mbaya.Tatizo ni wageni waliolikwa kukurupuka


Niliandika hapa haya hapa Nikiwa Nairobi bado:



-Nilikua kwenye mkutano huu pamoja na wanasiasa vijana kutoka nchi nyingine za Afrika walioalikwa

-Mkutano ulikua mzuri sama na CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tuna mengi ya kujifunza.

-Magufuli alikuepo amekiwakilisha CCM lakini pia yeye ni rafiki wa Karibu na Odinga.Hata yeye amekiri kwamba alipofiwa na Baba yake Raila Odinga alienda hadi nyumbani kwao Chato

-Ukumbini amezua kituko kwa kumpigia debe Odinga na kudai kama Odinga angeenda kuchukua fomu jimboni kwake ya Ubunge basi yeye (Magufuli) asingethubutu kuchukua fomu

NB: Sijui kama Magufuli anajua protocal na aina ya Matamshi anapokua katika jukwaa la kimataifa

Kauli yake hii ni ya kijinga endapo ana nia ya kuja kuchukua fomu ya kugombea urais.Hatuko tayari kuona Rais inferior kama huyu akitaka kutuongoza.

-Kwenye hafla baada ya mkutano pale Kasarani kauli yake hii imezua gumzo sana hasa kwa wageni waalikwa kutoka nchi nyingine.Kauli imeniudhi sana sana hii.

-Fred Okidanawa mwanadiasa kijana wa Nigeria ameniuliza huyu minister wenu alikua over jubilant ama urafiki wao ulivuka mpaka?'
 
By GeniusBrain
Ambacho mnashindwa kuelewa ni kuwa Magufuli na Odinga ni marafiki sana ambapo sasa wamekuwa kama ndugu,hata kama magufuli ni waziri wa JMT je akienda kumfanyia kampeni Odinga yeye binafsi, kipi kibaya ? acheni fitna zenu cdm na habari tulizo nazo ni kuwa kile chama rafiki cha kwenu kenya ndicho ambacho kimeonyesha wazi kuwa kinashindwa,kwa hiyo aibu yao itakuwa yenu pia. Nendeni mkajipange upya hakuna cha maana kwenye thread yako zaidi ya wivu wa kike


- Tunaishi kwa kuongozwa na Sheria za Jamhuri, Magufuli ni Waziri Masaa 24/7, kwenda kwake kwenye kampeni za siasa za Taiafa lingine kunatakiwa kutolewa maelezo ya kina na Chama chake in this case CCM, angeuliwa akiwa huko unafikiri ni familia yake tu ndio ingehitaji maelezo kutoka Serikali ya Kenya? Au Taifa zima la Tanzania lingehitaji maelezo?

- Mengine muwe mnatumia akili kidogo tu kuliko Uchama kipofu na ishu kama hizi ndio sometimes zinakuwa ni abuse of power!!

Es!

Naona CCM wenyewe kwa wenyewe. FMES (Wazazi) Vs GeniusBrain (Vijana)...................... Mnatofautiana wapi???

Anayway, Nafikiri ni Rais na si CCM inayotakiwa kumhoji Pombe Magufuri kuhusu hili swala!!
 
Redio uhuru haikuwa hewani muda huo,chombo chetu pekee tunachokiamini,ndio maana phd hakuelewa nini kilikuwa kinaendelea.

kwan kabla ya kuja kujibu hoja humu huwaga hamuulizana na kuambia cha kujibu. Ila sikulaumu sababu kiongozi wenu mwenyewe wa propaganda ni vuvuzela.
 
hii nchi ya ajabu hadi wenzetu wa kenya wanatushangaa

Wakenya ni Wenzetu!!!!!???? Tanzania iko dunia tofauti sana na hao tunaofikiri ni wenzetu .......... Inaelekea hatuko smart kama hao tunaowaita wenzetu............ Nafikiri wenzetu ni Zimbabwe!!!
 
Back
Top Bottom