On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

Field Marshall ES Kaa kimya bana, inatakiwa ifike mahali CHADEMA nao wachukuwe nchi, angalau kwa miaka mitano tu tuone kama wataweza au vp, kwani naamini watafanya mambo mengi makubwa ya kimaendeleo kwa kuhofia kunyang'anywa na CCM.
hivyo basi ili CCM ife, USIMUAMSHE ALIYELALA.
 
- Hapana CCM hapa tuna kesi ya kujibu, Magufuli amekwenda huko kwa mgongo upi? Waziri wa Jamhuri, Mjumbe wa CCM, au Mtu binafsi, CCM ni lazima ithibitishe kwamba Magufuli amekwenda huko kwa nauli yake mwenyewe, hakulipiwa na Serikali wala CCM, na kwamba akiwa huko hakulipiwa anything na Serikali yetu wala ya Kenya, na CCM ni lazima iathibitishe kwamba ni kawaida kwa safari kama hizi kwa MAwaziri wetu kwa kuonyeshwa kuwa zimewahi kufanywa na mawaziri wengine pia!

- So baada ya majibu ya haya maswali kuna mengi ya nyongeza kutokana na majibu yatakayotolewa!!

Es!

nasisitiza pia ni lazima ccm imkane nape juu ya amri zake kwa watumishi wa umma.hata kauli za sitta,lowassa na membe dhidi ya malawi ni lazima zijadiliwe.tukomeshe tabia ya uropokaji inayofanywa na wanaccm.
 
Ni kweli katika hapa ufafanuzi unahitajika hali ikizingatiwa RAILA na MAGUFURI kama na urafiki ulitokana na uwaziri sio kingine, na pale walimtaja kama waziri kutoka Tz hawakumtaja kama Magufuli in personal kama walianza kumtaja kwa jina la Waziri ina maana alitumwa na Serikali.
 
Loading . . . . . . . . . ! Ginx 502! Untrusted source! Update antivirus
 
Hili umeona la Magufuli Igunga hukuona? Yule mzenji aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Tunduma? Mke wa Kikwete kusomewa ripoti ya mkoa wa Mara? Open your eyes
 
ccm ni chama cha ukombozi afrika tatizo ni nn? mmekosa cha kuongea au huo umaskini wenu wa sera mnataka mdandie na hili mpayuke weee!
 
sina la kusema zaidi ya hili

raila na rostam.JPG

raila na bashe.JPG

raila na mongela.JPG

sina shaka kuwa magufuli alitumwa na ccm
 
Ni kweli katika hapa ufafanuzi unahitajika hali ikizingatiwa RAILA na MAGUFURI kama na urafiki ulitokana na uwaziri sio kingine, na pale walimtaja kama waziri kutoka Tz hawakumtaja kama Magufuli in personal kama walianza kumtaja kwa jina la Waziri ina maana alitumwa na Serikali.

Mwaka jana Naibu Waziri wa Maendeleo wa Ujerumeni alikuja Tanzania,alichofanya yule waziri mhuni akakutana na wahuni wenzake na kufanya nao kikao hotel moja marangu kilimanjaro baada ya hapo ndio akataka kuonana na Serikali Membe aka mwambia uishie huko huko Chadema! hoja hapa Chadema mwaka huu ndio wametambua protocol za kidiplomasia? Hapa kelele zote ni unafiki tu wa kujikweza,kama hoja ni Magufuli kugombanisha Tanzania na Serikali ya Kenya mbona wao walimleta Naibu Waziri wa Ujerumani Kinyemela,hawakujua kuwa wanaigombanisha Ujerumani na Tanzania? Chadema ulimbukeni na Uchanga wa kisiasa unawasumbua! Afrika hatu hitaji vyama vya Kikabila matatizo ndio kama haya!
 
jibu hoja!kwa hiyo magufuli alitumwa na ccm au serikali?
 
Uvivu wa kufikiri, magufuli hakwenda kuiwakilisha CCM wala serikali, ameenda Kama mtu binafsi Huyu wenje Hana la kuongea tamko limekaa kimajungu majungu, yeye ndiye anatakiwa kuthibitisha iwapo magufuli alisema anaiwakilisha CCM au serikali. CHADEMA wa jipange kushughulika na issues waachane na individuals vinginevyo wanapoteza mwelekeo kwa sasa na kuchezeshwa Kama Joyce wowo sindimba ya CCM
hivyo ndivyo akili yako ilivyofikri mkuu.shtuka angalia mbele zaidi.
 
Mwaka jana Naibu Waziri wa Maendeleo wa Ujerumeni alikuja Tanzania,alichofanya yule waziri mhuni akakutana na wahuni wenzake na kufanya nao kikao hotel moja marangu kilimanjaro baada ya hapo ndio akataka kuonana na Serikali Membe aka mwambia uishie huko huko Chadema! hoja hapa Chadema mwaka huu ndio wametambua protocol za kidiplomasia? Hapa kelele zote ni unafiki tu wa kujikweza,kama hoja ni Magufuli kugombanisha Tanzania na Serikali ya Kenya mbona wao walimleta Naibu Waziri wa Ujerumani Kinyemela,hawakujua kuwa wanaigombanisha Ujerumani na Tanzania? Chadema ulimbukeni na Uchanga wa kisiasa unawasumbua! Afrika hatu hitaji vyama vya Kikabila matatizo ndio kama haya!

Tutajua tuu kama Diplomasia inahusika ama laa,wewe jibu hoja acha kuhalalisha makosa ....
 
CDM wakati mwingine mtashindwa kupata maelezo kwa yale mnayoyauliza kwa vile hayana mantiki.

CCM ni chama kilichochoka na hakiko kwenye hadhi ya chama kama ODM. ODM ni chama cha kupigania mageuzi na demokrasi. Kitu kimoja kilichowaalika baadhi ya viongozi kutoka nchi jirani kufika kwenye kikao cha ODM ni infuence ya Odinga. Ulikuwa ni mwaliko wa binafsi kwa baadhi ya viongozi na vyama. Kama mwakilishi wa Sudan na Uganda naamini walitumwa na marais wao kwenye mkutano wa ODM. Lakini mtu kama Magufuli na Morgan Tchangerai naamini ulikuwa ni mwaliko binafsi.

Mtu ambaye alikuwa na hadhi kualikwa kwenye mkutano wa ODM na ODM kama chama ni Tchangerai. Magufuli naamini alialikwa kama Magufuli. CCM isingepeleka mwakilishi kwenye chama cha ODM kwani sera na misimamo yao ni tofaut,i naamini hata ODM wasingewaalika. Odinga na Magufuli ni marafiki na hicho ndicho kilichomfanya Odinga amualike lakini si eti anatoka CCM. Magufuli hahusiki na chama cha CCM sana tofauti na kazi yake ya uwaziri. Kama ingekuwa CCM kumpeleka mwakilishi nadhani kuna viongozi wa kichama wangehusika. Kwenye mkutano lazima wangetajwa kwa vyeo na vyama vyao lakini hii hauondoi uwakilishi binafsi. Ni ujinga tu kufikiri kuwa mtu anaweza kuwa addressed kuwa huyu fulani bila kutaja cheo chake kwenye nchi anayotoka.

Labda CDM wangefikiri wao ndio wanarandana na ODM lakini hawajajenga urafiki na chama hicho na hata vyama vya kupigania demokrasi nchi za jirani. Nakumbuka kuna wakati Zito Kabwe alialikwa kwenye mkutano wa ODM.

Maghufuli na serikali watakuwa na makosa kama bwana Pombe alisafiri kwa gharama za serikali kwa shughuli binafsi. Lakini kwamba kwanini alihudhuria mkutano wa ODM wakati ana shughuli za kufanya si hoja kwasabu kuwa waziri hakukunyimi nafasi ya kushiriki shughuli zako binafsi. Wangapi ni wafanya kazi na wanahudhuria harusi za marafiki na ndugu zao hata misiba?

Kwa kifupi CDM iulize Maghufuli alienda kwenye mkutano cha ODM kwa gharama za nani lakini si kuuliza kwanini alihudhuria mkutano huo.
 
Mie nafikiri Magufuli kafanya jambo la maana kwani kashaanza kupanua mipaka ya CCM.

Ukiacha ya kufungua Matawi nje ya nchi, sasa wanaanza kuingia hadi kwenye vyama vya Siasa nje ya Tanzania maana vya Tanzania wameshamaliza kwa kupanda watu wao na hilo wote tunalielewa.

HONGERA SANA NGOSHA Magufuli.

UKICHEKA NA DOG ATAKUFUATA MPAKA MSIKITINI, SITOSHANGAA WAKAENDA KUMUUNGA MKONO MAMA BANDA JAPO ANATAKA KUCHUKUA PART YA NCHI YETU, II HAIFAI NA HAITOFAa
 
Thesi

maelezo yako ni mengi lakini hitimisho lake linahitaji ufafanuzi ule ule alioleta muanzisha thread.je alienda kama nani?
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanasumbuliwa na tatizo la kutokualikwa na ODM kwani hawajulikani,pia Chama hiki(chadema) nchi nyingi za Afrika wana kichukulia kama chama cha kabila hakina sura ya kitaifa ndio maana viongozi wa chadema hawajulikani ukiaacha kidogo Zitto anae fahamika baadhi ya nchi za ulaya,Chadema wao wanajuana na Dr Kiza Besigye mpinzani wa Uganda lakini kwa kenya wanaonekana ni ethnic centered part(kiji chama cha kikabila). Hata kama Magufuli kawakilisha CCM au kaenda mwenyewe Chadema inawasumbua nini?

Hivi wakati wa utawala wa clinton ccm ilikuwa inamtambua G.W.Bush?
 
kama CCM ilishindwa kutoa maelezo juu ya role ya nape kuamrisha watumishi wa umma itaweza kufafanua juu ya hili?
Kuna mambo mawili ya kufafanua hapa...
Moja ,je CCM inamuunga mkono Raila?
Pili,je serikali yetu inamuunga mkono Raila?

Hakuna tatizo katika hiyo namba moja kati ya hayo mawili unayosema yanahitaji ufafanuzi. Tatizo, tena si dogo, liko hapo kwenye namba mbili.
 
- Kiboko cha nani? Taifa tunawalipa kutusaidia CCM na this is one of their responsibility, unamsifia mtu kwa kufanya wajibu wake?

Es!

Kiboko ya magamba! Ninyi mnapotaka kutulazimisha tuwasifie ama kuwapongeza kwa kutekeleza ilani yenu ama kutekeleza wajibu wa msingi wa kuwepo kwenu madarakani huwa mnafanya hivyo kwa kufikiria kwa kutumia kiungo aina ya masaburi kufikiri!?
 
Tatizo hapa ni IQ ya magufuli. Amekuwa akisikia akitoa kauli za hovyo hovyo kama vile kutaka JK a'double' safari za kutembeza bakuli, nk. Kwa kifupi ni mropokaji na mkurupukaji.
 
Mie nafikiri Magufuli kafanya jambo la maana kwani kashaanza kupanua mipaka ya CCM.

Ukiacha ya kufungua Matawi nje ya nchi, sasa wanaanza kuingia hadi kwenye vyama vya Siasa nje ya Tanzania maana vya Tanzania wameshamaliza kwa kupanda watu wao na hilo wote tunalielewa.

HONGERA SANA NGOSHA Magufuli.

Sikonge.. uhusiano wetu Tanzania utakuwaje ikitokea hawa wanaoambiwa kwamba hawawezi kusafiri nje ya nchi wakashinda na Magufuli akaendelea kuwa waziri katika Tanzania?
Huoni kwamba itakuwa ni jambo la ajabu na aibu na la kuhatarisha mahusiano yetu mema ya kimataifa ndani ya EA... Mfano wake ni Obama na Netanyahu na sasa Netanyahu aona aibu zake kumsogelea Obama ukizingatia kwamba alim- support Romney...inafaa hawa akina Magufuli na wengineo kama yule wa Zimbabwe wawe neutral full stop !
 
Hakuna tatizo katika hiyo namba moja kati ya hayo mawili unayosema yanahitaji ufafanuzi. Tatizo, tena si dogo, liko hapo kwenye namba mbili.
kote hakuna tatizo!tunachohitaji ni uthibitisho tu ya kuwa ccm na serikali yake inamsupport odinga kama tulivyofanya kwa palestine.
 
Back
Top Bottom