Wakati mwingine mkubali CHADEMA ni kiboko
- Leo nimeona taarifa maalum ya Serikali ya Kenya kwamba Magufuli alialikwa rasmi na Odinga na ndiye aliyelipia gaharama zote za Magufuli kule, now kama muanzisha mada I am ok lakini bado Magufuli anahitaji kupewa darasa na CCM kuhusu this kind of unwanted attention kwa chama.
Es
Tunataka majibu kutoka serikalini na sio kusoma habari za kenya.
Gharama si kitu, kuna maswali mengi ya kujibu.
- Alikuwa likizo?
- Alitumwa na nani?
- Alikabidhi majikumu kabla ya kuondoka?
- Na je Raila ni chaguo la CCM?
- Akishindwa itakuwaje, chama kingine hakitapewa support kutoka Tanzania?
- Kama hakuwa likizo nani alitoa ruhusa maana mshahara wake unaendelea kulipwa kwenye jasho letu kwa matumizi mabaya ya muda.
Penye makosa pakosolewe!
Amejilipia mwenyewe kwasababu ni safari binafsi ya kirafiki; malazi na chakula yalikarimiwa na ODM; kwa hiyo ondoa shaka hakuna hata senti moja ya walipa kodi iliyotumika.- Swali langu la msingi lilikuwa nani amelipia safari yake, mengine hayo uko sawa kabisa!!
Es!