Unkolonized
Member
- Dec 8, 2010
- 50
- 8
Mawazo ya Magufuli hayapaswi kuchukuliwa kama mawazo ya CCM. Kwa nini Magufuli ndiye atumwa kuwakilisha chama hali kuna viongozi wakubwa na wasemaji wa chama kama akina Nape. Fuattilieni maelezo ya Magufuli jinsi walivyofahamiana na Odinga, hapo ndo utajua kwa nini alikwenda huko. Tusiwe wavivu wa kufikiri kila kitu sio lazima kihusishwe na chama
wewe ndio mvivu wa kufikiri! Magufuli sio ccm bali yeye ni waziri wa serikali ya JMT! Kwa maana hiyo unataka kuniambia kuwa Nape yupo sahihi kuwaamrisha watumishi wa umma ???