Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Hahah kuna ka ukweli, wale KE ligi ndogo hatuwatakagi ila ni simple sana kuwasaundisha na kuwakaa ni uhakika. Shida ni kwamba tunatakaga bebe zingine kali zaidi ambazo unajua bila mbinu chafu hutoboi...basi ndio kama hivyo yani!Ukienda kwa mtu wa level yako yule ambaye hali zenu mnafanana ni rahisi kukuelewa na kukubalia. Tatizo mmoyo unavyozimikia vile vitu vikubwa ambavyo haviendani na hali yangu hapo ndipo mbinu hubadilikia maana nikionesha hali halisi Mzigua90 sitampata.
Alafu mna kwama wapi mbona rahisi sana. sisi tunagunduaga mapema tu, huyu ni mpenda hela, huyu ni kicheche ni kikaa vibaya ntakufa, huyu ni mpenda bata,huyu ni wife material anafaa wekwa ndani