Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,265
- 2,155
Hawa wanakuwaga hawajaoa ila wanavijibaby kama 100
Wanakuwa hawajaoa bado.
Wanakuwa hawajaoa bado.
Haina tatizo, nitazidisha ufundi.Hawa wanakuwaga hawajaoa ila wanavijibaby kama 100
Hahaha...Nakupenda sana Mzigua
Haina tatizo, nitazidisha ufundi.
mpaka apewe pocket money au asubiri boom ni Leo.Tule ujana pamoja.
Labda ni kwa sababu kwangu mapenzi ni zaidi ya money.mpaka apewe pocket money au asubiri boom ni Leo.
haha huo ni msemo tu watamka. Bibi zetu ndo waliweza.Labda ni kwa sababu kwangu mapenzi ni zaidi ya money.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]haha huo ni msemo tu watamka. Bibi zetu ndo waliweza.
Mie ndio Kwanza 22 na bado sijatimiza.Ndiyo kama haujafika 25
wamesikiaBora umewaambia ukweli.
Kama ni kweli inapendezawamesikia
haha jitafutie profesa kapuya wako uanze kula maisha mapema. Sisi vijana mpaka tuje tutoboe si Leo inahitaji uvumilivu ambao wengi wenu sikuhizi hamna nao huo uvumilivu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Tunatafuta ladha tofauti Zeshchriss, halafu tuombe msamaha dada umetutukana tusi kubwa sana, sisi sio mbuzi wa kafara.Umeandika kwa hisia sana pole mpenzi ......
Naunga mkono hoja habari za kuwekana na matarajio makubwa mwisho wa siku yanakuja kutokea haya kwa kweli sio poa ....yameshawahi kunikuta haya tena mtu anakwambia oooh watoto hawa mamayao alitaka kunichoma kisu nikaponea chupuchupu akapelekwa police ushahidi alitoa mwanangu huyu kwahiyo mama yao sipo nae pamoja.....mtu najitutumua kuwapenda watoto nawaweka dp huko Sijui vikorombwezo gani siku ya siku nakuja kujua jamaa ana mke tena mwanamke alikamata namba zangu akanipigia kanichimba mkwara wa nguvu
Me huwaga mpole tu kwenye kesi za ndoa za watu nikamwomba msamaha yule dada yakaisha ...lile punguwani nikalipiga stop kunitafuta kwa namna yoyote.....
Kwakweli wanaume muwe wawazi mnapotuficha vitu kama hivi mnatutengenezea mazingira ya kufakufa ....wake zenu wengine ni vichaa anakuiba namba anamtafuta huyo uliyemfanya mchepuko anaenda kumfanyia kitu kibaya .....
Kuweni na huruma tu ....halafu nyinyi mmeoa huku nje mnatafuta nini mbuzi wa kafara nyinyi mnataka nini hukuuuuuu aaaaagggggrrrrr[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kama na wewe umeoa halafu bado unatafuta huku nje hilo jina linakuhusuTunatafuta ladha tofauti Zeshchriss, halafu tuombe msamaha dada umetutukana tusi kubwa sana, sisi sio mbuzi wa kafara.
Ni kweli nimeoa na huwa natafuta huko nje pia lkn hilo jina sijalipenda kwakweli.Kama na wewe umeoa halafu bado unatafuta huku nje hilo jina linakuhusu
Pambana na hali yakoooo kijana wacha ubazazi tulia na mkeo.....Ni kweli nimeoa na huwa natafuta huko nje pia lkn hilo jina sijalipenda kwakweli.