Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,265
- 2,155
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbuka usitumie vitu kumpata mtu mpate mtu mtumie vituBora unidanganyie hela nitakuelewa maana na mimi nitapenda hela zako. Ila ukija kwa mapenzi bila hela wala nini halafu nikupende kumbe unanidanganya utaniumiza sana.
Ukinidanganya una hela kumbe huna sitaumia sana wala nini ila kuniongopea moyo wangu nitaumia mno mno