Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Suala la kuambiana ukweli kwenye mapenzi kwa zama hizi tusahau kama unataka ukose unacho taka sema ukweli kwamba baby me nina mtu ila nimetokea kukupenda au baby mie kiukweli kitandani huwa napiga nusu bao nivumilie usiniache nakupenda utaishia kuwaita shemeji wadada wazur
hahahahaaaa
 
Hata sisi tuliowa tunatamani kuwa na dogodogo, wakati mwingine damu changa muhimu.
Niliwahi kuwa nae wa hivyo yaani siku nilivyo gundua nilijiuliza maswali mengi kichwani bila majibu mkewe alikuwa nae mda gani maana akitoka job yupo na mimi,weekend yupo na mimi, simu yangu anaipokea bila tatizo.akija kwangu Pete ya ndoa anavua kiazi mbatata yule sitamsahau mwaume mjanja zaidi ya sungura.
 
Unaandika sana huku ukiwa huna point! Kiufupi ninyi msipodanganywa hamtoi papuchi zenu ndo maana pia huwa tunawabaka, wajinga sana nyie!
Mimi kila nnapo tongoza mwanamke kuomba mbunye kwa wanawake ambao wanajua nina mke huwa wananikatalia.. sasa kwa ni nisikudanganye wakati lengo langu ni kushare kiuno chako na changu. Pumabavu sana nyie..bora nikudanganye tu ili mradi nikupate hayo mengine mi hayanihusu.
Hahah punguza hasira mkuu, sema umechapa ukweli~in Jeipiemu voice.

Hawa wanajuaga tunachotaka ila tukiwa straight hawatakagi kutoa kiroho safi. Kama atakupa basi aumize wallet yako kwa makusudi. Sasa tutaendelea kupiga kamba kama ilivyoada.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena la moyoni haswa sitakulwa dada acha nibaki kuwa mtawa nikufwe na utamu wangu

Kuchoka kweli nimechoka jamani
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Mtawa my foot... Mie nakuzoom tuu aki...


Pole kwa uchovu jamanii!
 
Aisee Mzigua90 kuna mtu nampenda na sitaki kumuumiza hajui kama nna mke na ananiamini sana, najua siku akija kugundua anaweza hata kujidhuru (uoga wangu huko hapa) ananipenda sana, namna pekee nilioona inafaa sasa ivi ni kumpiga matukio mpaka atakapoamua kuanza mahusiano mapya na kuniacha, niko sahihi?for the sake of her life

Kuna mwingine nae baada ya kuoa akaamua kuanza mahusiano mengine aniache ila juzi kati kanicheki anauliza ninaendeleaje na ndoa yangu, nikaongea kwa kutania tuu, “we sijui uliniloga things are not going well” now anataka tuyajenge tena sasa akija kujua baadae mimi na mke wangu tupo okay kosa litakuwa langu
 
Aisee Mzigua90 kuna mtu nampenda na sitaki kumuumiza hajui kama nna mke na ananiamini sana, najua siku akija kugundua anaweza hata kujidhuru ananipenda sana, namna pekee nilioona inafaa sasa ivi ni kumpiga matukio mpaka atakapoamua kuanza mahusiano mapya na kuniacha, niko sahihi?for the sake of her life
Mna dhambi nyie viumbe mfyuuu
 
Hii tabia unamtokea mtu unamdanganya uko single wakati una mke au mahusiano yenye furaha na amani ni UBINAFSI. Wewe utasema unanipenda kwa dhati ndio maana umeamua kunidanganya huwazi nitakavyoumia siku nikiujua ukweli?

Halafu utetezi wenu ni "Ooh bby nilijua nikikuambia ukweli utanikataa". Unaona kukukataa na kuniumiza moyo wangu Bora uniumize ili utimizie lengo lako?
Kwa dhati kabisa ya moyo wangu nawaomba mseme tu ukweli ili mtu ajue anajiingiza kwenye nini Kuliko unidanganye.

Mimi mwenyewe muhanga wa hili jambo na nilikua head over heals kwa huyu mkaka kumbe moyoni mwenzangu anajua kabisa mimi anapita ana mtu wake. Na baada ya kuujua ukweli akaanza kuniambia hana furaha na huyo mwanamke ananipenda mimi. Ila kwa jinsi nilivyompenda nilishindwa kuvumilia nikamwambia tuachane tu siwezi kukushare maan nilimwambia kama huna furaha achana nae uwe na mimi akashindwa. Niliumia mpaka nikaamsha vidonda vya tumbo siku hiyo namshukuru Mungu nimemove.

Rafiki yangu juzi tu kajua mtu aliempenda kwa mara ya kwanza toka apate akili ni mume wa mtu. Na alimdanganya eti hajaoa ana baby mama tu kumbe huyo baby mama ndio mkewe. Na alishamuuliza mwanzo akasema hana mahusiano ana mtoto tu ila yeye na baby mama hawana mahusiano. Mungu alivyo mwema last weekend wamekaa bar kaja mtu anaomba msamaha kwa jamaa kuwa alishindwa kuhudhuria harusi mbele ya rafiki yangu. Rafiki wa jamaa alivyondoka alimuapia rafiki yangu miungu yote kuwa hana mke na ndoa ilishindikana kufungwa halafu kwa sababu ya kijinga sijui kwanini rafiki yangu akamuamini. Sasa nikasikia tena jamaa kaoa nikamwambia rafiki yangu.
Kufupisha tu jamaa ni kweli ameoa na anaesema ni baby mama ndio mkewe nae utetezi wake hakutaka kusema alivyomuona rafiki yangu kwa kuwa aangemkataa ila anampenda.

Mwingine mpaka Pete kavalishwa na mchumba wa mtu na jamaa anaoa week ijayo anamuacha mwenzie na mtoto na aibu ya kupeleka mchumba ambae alikua na mtu mwingine.

Ukijijua huna mpango na mtu mwambie ukweli mtuepushie maumivu makubwa wengine kupenda kwetu kwa bahati tukipenda tunapenda kweli sasa kukaa na kugundua wewe ni side chick kwa bwana wa mtu inauma sana.

Samahanini kwa gazeti ila nimesisitiza na hivyo visa viwili kukazia maombi yangu kwenu. MTUONEE HURUMA na mioyo yetu.
Sijaoa bado, ila 2021 ndio mwisho, kama upo tayar...
na miaka mitatu tangu niajiliwe kwenye utumishi wa umma...

karibu tuanzishe mahusiano
 
Back
Top Bottom