Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Endeleeni kucheka na ujanja wenu
Unajua nini Hawachi mie napokufuata unajua kabisa interest yangu ni mambo mawili, mahusiano ama kuvuana chupi. Sasa katika hayo mawili kuna moja ni jepesi kueleweka kuliko jingine kulingana na aina ya mwanamke hasa hilo la kuvuana chupi ambalo ndio main point.

Kuna KE ambao wana assess uzuri wa mwanaume kimuonekano na kuna wanao assess uwezo wa kipesa.

Sasa ukimfata mwanamke ambaye ana assess uzuri/muonekano kama kipaumbele ukasema kuwa lengo ni kuvuana chupi tu none serious na kweli ukawa umemvutia atakubaliana na hilo bila hiyana. Hali kadhalika ukiwa anakuona huna mvuto atakupiga chini tu tena inaweza ikawa kwa nyodo sana hadi ukajiona kama katuni tu hapa duniani.

Ukimafata mwanamke ambaye anavutiwa na pesa tu na kweli ukamuonesha viwango ukiomba mchezo inaweza kuwa chap tu bila usumbufu na mlolongo mrefu halikadhalika ukimfata mwanamke huyo huyo akagundua huna hela au umeenda kisakala utakula nyembe takatifu tu.

Solution: Lazima tutumie njia ya pili ya kutaka uhusiano na kuchanganya mbinu zote ikiwa kipesa na kimuonekano na success rate ya kuvuana chupi ni kubwa zaidi. Hatupendi kuwadanganya ila ndio namna pekee ya kusawazisha mambo. Laiti kama mwanamke angekuwa anapenda ukweli kwa dhati na kuwa tayari kutoa uchi bila usumbufu kwa madume yote yanayotangaza nia basi kesi za uwongo zisingekuwepo kabisa.

Na ubaya kinachouma roho sio uongo bali ni kupotezewa muda. You trust a wrong guy you waste your precious time or even mess your entire life.
 
Wanaume mna dhambi nyie acha tu, chuoni nilidate mume wa mtu for a year bila kujua, kuja kujua bila hata aibu analia kabisa eti nisimuache, i was like WTF[emoji134][emoji134][emoji134]

Kuna kipindi napo nusura nidate mume wa mtu, ila nafsi ilisita sana ikabidi nifanye uchungizi kwanza, ilinichukua miezi kama 7 kuja kugundua he is married. Utetezi wake "eti nilijua vile unawachukulia vibaya wanaume waliooa alafu wanaotoka nje ya ndoa zao hivyo usingenikubali na ungenidharau" yaani ndio nikamdharau maradufu.

Akili zao sojui kama ziko sawa na huwa zinawaza nini[emoji134][emoji134][emoji134]
We unaonekana unanyota ya kuwa na mahusiano na waume za wanawake wenzio, jiangalie usije ukaolewa kwa jamaa aliyeowa
 
Tatzo Wanawake wanapenda kuongopewa.... Mwanaume ukiwa mkweli Sana utahisi una mkosi
 
Back
Top Bottom