OkayWife hakai hapa kabisa. Akija ni siku chache tu. Itakua vitu vyake alivificha
Malipo ni hapahapa duniani, ulikataa kupelekwa kibosho ukanywe mbege matokeo yake ndiyo hayo sasa!
Na nani huyo tena??
PM ina kufuli halafu funguo kaondoka nayo shemeji yako
Mfano, sasa ivi nikisema mm nakuelewa kinoma noma nataka nikugegede afu tuachane utakubali?Mmezidi sasa uongo.
Kivip mama hata mm ni mdogoNdiyo maana mimi napenda wanaume wadogo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mama tukiwaambia ukweli hawataki sasa sisi tufanyeje tunadanganya tukipata nyapu tunapita hivNimekumbuka mbali sana... hii mbinu ni chafu sana ila inatusaidia kupata totozi mtaani. Yaani unapiga sound mpaka unataja tarehe ya kwenda kwao kujitambulisha next day unapiga mzigo.
Ukitongoza kwa kutema ukweli papuchi utakuwa unazisikia harufu tuMwanaume gani ambaye alikuja kukwambia ukweli hana hela ukamkubali? mazingira ya kudanganywa unayaweka wenyewe hii yote kwa sababu ujinga umeweka makazi ktk vichwa vyenu ukiabudia umbo au muonekano badala ya akili na maarifa watu watakuja kama ujiwekavyo
ovar
Unachagua uongo mzuri na mbaya eeh?Bora unidanganyie hela nitakuelewa maana na mimi nitapenda hela zako. Ila ukija kwa mapenzi bila hela wala nini halafu nikupende kumbe unanidanganya utaniumiza sana.
Ukinidanganya una hela kumbe huna sitaumia sana wala nini ila kuniongopea moyo wangu nitaumia mno mno
ili mdanganyane vizuriNdiyo maana mimi napenda wanaume wadogo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]