Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]duuhh!!!!!pole mkwe aseeh!!yaani ni wasanii balaa..!!!
Mjitafakari kwa kweli uongo haufai kwenye mapenzi
Mwenyewe Dokta kanidanganya. Madokta wajitafakari nao tabia za ubabaifu haziwapendezi kabisa
 
Mmejua umri wangu mnaninyanyasa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hahaha hell no, we here just having fun😂😂😂
 
Why should we hide? Otherwise this thread Will bear no meaningful honey

Am planning to win you at any cost... being through

Special treatment and care

Adherence to you're needs

Being transparent, honest and humbled

To make you more than happy at any cost

Actually reliable love means peace, happiness and truth throughout

Don't you think you'll be more than a queen in this aspect Baby Doll?
That last picku up line is a killer! I bet she in from there on! The ball is in your court Baby Doll
 
adolay James Comey , Extrovert , if cap fits and et al , I would like to thank you for advises, and your concerns. But Mara nitakapofanikiwa You will hide , you fill find a cave to hide in.
I promise you in the name of love.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Who knows you might as well be hooking up with one of us! Lets leave it to the hands of time.
 
I LOVE YOU TOO. I don't beat around the bush.
You have already win my attention and my heart too.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Life has never been this fun with this kind of women out there! Understanding at its best version....thats a flawless victory!
 
Mi mkristo RC yeye mkristo Mlutheri ndoa za pili hatunaga. Halafu angekua na mihela ningemkubali niwe wa pili tu nisikose vyote. Sasa hela hamna nikawe mke wa pili akuuu. Sijajikatia tamaa bado
Mngeungana mkale upupu
 
Na atarudi kajiandaa siku anakuja kushituka wana watoto 2 na mkewe kachakaa kama shati la profeseri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa basi jiandae akijua ukweli
 
Hata kama.
Vile ulivyo flat screen![emoji851][emoji851][emoji851]
PRESIDENT%20OF%20HB%20TZ%20on%20Instagram_%20_Aina%20ya%20wanawake(JPG).jpeg
 
Hii tabia unamtokea mtu unamdanganya uko single wakati una mke au mahusiano yenye furaha na amani ni UBINAFSI. Wewe utasema unanipenda kwa dhati ndio maana umeamua kunidanganya huwazi nitakavyoumia siku nikiujua ukweli?

Halafu utetezi wenu ni "Ooh bby nilijua nikikuambia ukweli utanikataa". Unaona kukukataa na kuniumiza moyo wangu Bora uniumize ili utimizie lengo lako?
Kwa dhati kabisa ya moyo wangu nawaomba mseme tu ukweli ili mtu ajue anajiingiza kwenye nini Kuliko unidanganye.

Mimi mwenyewe muhanga wa hili jambo na nilikua head over heals kwa huyu mkaka kumbe moyoni mwenzangu anajua kabisa mimi anapita ana mtu wake. Na baada ya kuujua ukweli akaanza kuniambia hana furaha na huyo mwanamke ananipenda mimi. Ila kwa jinsi nilivyompenda nilishindwa kuvumilia nikamwambia tuachane tu siwezi kukushare maan nilimwambia kama huna furaha achana nae uwe na mimi akashindwa. Niliumia mpaka nikaamsha vidonda vya tumbo siku hiyo namshukuru Mungu nimemove.

Rafiki yangu juzi tu kajua mtu aliempenda kwa mara ya kwanza toka apate akili ni mume wa mtu. Na alimdanganya eti hajaoa ana baby mama tu kumbe huyo baby mama ndio mkewe. Na alishamuuliza mwanzo akasema hana mahusiano ana mtoto tu ila yeye na baby mama hawana mahusiano. Mungu alivyo mwema last weekend wamekaa bar kaja mtu anaomba msamaha kwa jamaa kuwa alishindwa kuhudhuria harusi mbele ya rafiki yangu. Rafiki wa jamaa alivyondoka alimuapia rafiki yangu miungu yote kuwa hana mke na ndoa ilishindikana kufungwa halafu kwa sababu ya kijinga sijui kwanini rafiki yangu akamuamini. Sasa nikasikia tena jamaa kaoa nikamwambia rafiki yangu.
Kufupisha tu jamaa ni kweli ameoa na anaesema ni baby mama ndio mkewe nae utetezi wake hakutaka kusema alivyomuona rafiki yangu kwa kuwa aangemkataa ila anampenda.

Mwingine mpaka Pete kavalishwa na mchumba wa mtu na jamaa anaoa week ijayo anamuacha mwenzie na mtoto na aibu ya kupeleka mchumba ambae alikua na mtu mwingine.

Ukijijua huna mpango na mtu mwambie ukweli mtuepushie maumivu makubwa wengine kupenda kwetu kwa bahati tukipenda tunapenda kweli sasa kukaa na kugundua wewe ni side chick kwa bwana wa mtu inauma sana.

Samahanini kwa gazeti ila nimesisitiza na hivyo visa viwili kukazia maombi yangu kwenu. MTUONEE HURUMA na mioyo yetu.
I Love u baby Mzigua,yoyote atakayekudanganya ashindwe na alegee uume.
 
Back
Top Bottom