Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Kiswahili somo gum sana mkuu

Nilipata D yaani dada mambo ya tamathali za semi
Tabaini
Taklili
Tafsida
Tashtiti
Misemo na ngeli vinanipa shida sana

Mara stiani nknknk

Hii lugha balaa sana Mara vivumishi kisha vivumishi vya sifa, kisha vya majina kwa majina nk

[emoji3][emoji3][emoji3] I never get in love with my kiswahili
In that case, let's use English instead....
 
Me kuna dada yangu alidanganywa Mwaka mzima na Mahari ikatolewaaa... michango ya Harusi ikakusanywaaa... Mimba akapewaaa... Kuja kushtukaa mwana kumbe huko iringa ana Familia ya Watoto watatu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24] Yule mbwa alifanya ukoo wetu uaibikee sanaa mamaeee...dada angu ilibdi asiolewe abaki tu home akilea mtoto sasa baada ya ule mkasaa aisee mwanaume usijichanganye umsogelee kizembee atakutukanaa mamaeee matusi hujawahii sikiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] na hajali nani anasikia au nani yupoo around ilichukua muda sana Kurecover na kuwa kama binadamu ya kawaidaa..

NB. Wadada Leo umekutana na Mwanaume ana nyumbaa na gari miaka 30+.. sijui na biashara zakeee kama Hajaoaa bhasi ana watoto ambao aliachana na mama zao au Ana mchumba wake some where so labda ukubali Kumpindua mwanamke mwenzio[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Na sababu mnapenda wenye mafanikio lazima mkubali uongoo
 
Mzigua90 me nilikuja tujayenge ukanifungia vioo [emoji41]

Mtu aliyeoa/kuolewa kumjua rahisi tu mnakwama wapi!
Ulikuja wapi tena?? Ngumu kama hawaishi wote. Halafu bado walikua hawaonani mara nyingi.
 
Hakika, ila sasa ndio kama hivyo mama. Ushajiuliza watu kama mimi wapo wangapi jukwaani hapa na huko mtaani?
Mpo wachache ila ningetaka kukupa ningekupa tu wala gf wako asingenizuia mimi kutimiza hamu zangu
 
Back
Top Bottom