Haya matusi ya nguoni akyanani 😂😂😂, pata picha kama CAG angepewa maiki aseme neno, "Binafsi naona hali ya Makalio ni DHAIFU" 😂😂😂😂😂😂😂😂Vile ulivyo flat screen![emoji851][emoji851][emoji851] View attachment 1085453
Hii tabia unamtokea mtu unamdanganya uko single wakati una mke au mahusiano yenye furaha na amani ni UBINAFSI. Wewe utasema unanipenda kwa dhati ndio maana umeamua kunidanganya huwazi nitakavyoumia siku nikiujua ukweli?
Halafu utetezi wenu ni "Ooh bby nilijua nikikuambia ukweli utanikataa". Unaona kukukataa na kuniumiza moyo wangu Bora uniumize ili utimizie lengo lako?
Kwa dhati kabisa ya moyo wangu nawaomba mseme tu ukweli ili mtu ajue anajiingiza kwenye nini Kuliko unidanganye.
Mimi mwenyewe muhanga wa hili jambo na nilikua head over heals kwa huyu mkaka kumbe moyoni mwenzangu anajua kabisa mimi anapita ana mtu wake. Na baada ya kuujua ukweli akaanza kuniambia hana furaha na huyo mwanamke ananipenda mimi. Ila kwa jinsi nilivyompenda nilishindwa kuvumilia nikamwambia tuachane tu siwezi kukushare maan nilimwambia kama huna furaha achana nae uwe na mimi akashindwa. Niliumia mpaka nikaamsha vidonda vya tumbo siku hiyo namshukuru Mungu nimemove.
Rafiki yangu juzi tu kajua mtu aliempenda kwa mara ya kwanza toka apate akili ni mume wa mtu. Na alimdanganya eti hajaoa ana baby mama tu kumbe huyo baby mama ndio mkewe. Na alishamuuliza mwanzo akasema hana mahusiano ana mtoto tu ila yeye na baby mama hawana mahusiano. Mungu alivyo mwema last weekend wamekaa bar kaja mtu anaomba msamaha kwa jamaa kuwa alishindwa kuhudhuria harusi mbele ya rafiki yangu. Rafiki wa jamaa alivyondoka alimuapia rafiki yangu miungu yote kuwa hana mke na ndoa ilishindikana kufungwa halafu kwa sababu ya kijinga sijui kwanini rafiki yangu akamuamini. Sasa nikasikia tena jamaa kaoa nikamwambia rafiki yangu.
Kufupisha tu jamaa ni kweli ameoa na anaesema ni baby mama ndio mkewe nae utetezi wake hakutaka kusema alivyomuona rafiki yangu kwa kuwa aangemkataa ila anampenda.
Mwingine mpaka Pete kavalishwa na mchumba wa mtu na jamaa anaoa week ijayo anamuacha mwenzie na mtoto na aibu ya kupeleka mchumba ambae alikua na mtu mwingine.
Ukijijua huna mpango na mtu mwambie ukweli mtuepushie maumivu makubwa wengine kupenda kwetu kwa bahati tukipenda tunapenda kweli sasa kukaa na kugundua wewe ni side chick kwa bwana wa mtu inauma sana.
Samahanini kwa gazeti ila nimesisitiza na hivyo visa viwili kukazia maombi yangu kwenu. MTUONEE HURUMA na mioyo yetu.
Haya matusi ya nguoni akyanani 😂😂😂, pata picha kama CAG angepewa maiki aseme neno, "Binafsi naona hali ya Makalio ni DHAIFU" 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni balaa haya mambo sio kuchukulia poaa.. Huwezi mpotezea mtoto wa watu muda miaka 7 sijui unakuja kuoa mwingine.. Hata Mungu atamsaidiaa ulogeke vizurii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja anakaribia 55 yuko single ila alishaoaga ndoa ikafa. Mkewe kamove on na kashaolewa na mtu mwingine yeye mpaka Leo hajaoa
Wewe unasemaa... watu wanadate miaka 10 bila ndoaa mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daa miaka 7 mie siwezi msubili mtu aje kunioa
Papuchi ashakula sana sema kimada kwao pesa ipo mshua mtu mkubwa kitengoni na kimada yuko njema pia kwaiyo bro alikuwa anataka kitonga wakati ye pia yuko njema tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbinu zote hizo ni ili ale papuchi bila kikwazo tu ama?
Mie hapana mwaka ukiisha basi hakuna kitu natafuta mbadala, uhawara sugu siutaki kabisa mtu hasomi yupo tu anakwambia ngoja nijipange mwisho wa siku anaoa mwingine mmmmm nkanile kabisaWewe unasemaa... watu wanadate miaka 10 bila ndoaa mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya matusi ya nguoni akyanani [emoji23][emoji23][emoji23], pata picha kama CAG angepewa maiki aseme neno, "Binafsi naona hali ya Makalio ni DHAIFU" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku naye mkewe akimripishia atasema nini sasa hapoPapuchi ashakula sana sema kimada kwao pesa ipo mshua mtu mkubwa kitengoni na kimada yuko njema pia kwaiyo bro alikuwa anataka kitonga wakati ye pia yuko njema tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nilichoka nikasema bora kuumia mara moja kuliko kuishi huku unaumia nduki hapana kabisaWatano wengi sana hata mimi ningetoka nduki
Ila mkome tuu we unakta boy anamidevu kama yangu afuu oooh m cjaoa nakupenda nawe unatwaika komaeniiiuuu
Hahaha bro wako makuzi sana 😂😂😂Papuchi ashakula sana sema kimada kwao pesa ipo mshua mtu mkubwa kitengoni na kimada yuko njema pia kwaiyo bro alikuwa anataka kitonga wakati ye pia yuko njema tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli, wataalam wanasema the closer the bone the sweeter the meat. Vimodo hawa kama ni asali basi ni ile ya nyuki wadogo..watabaki vileleni.Nimekumbuka Flipped the movie yule mtoto wa mchoraji aliambiwa na babake...ukitaka kuifaidi picha look to the whole sketch not a part of it.
Haya matusi ya nguoni akyanani [emoji23][emoji23][emoji23], pata picha kama CAG angepewa maiki aseme neno, "Binafsi naona hali ya Makalio ni DHAIFU" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwachie mtoto aliwe kiroho safi bana, mbona unataka kuharibu sherehe mzee mwenzetu unakwama wapi? Hamia ata kwa manengelo basi huko ndio kuna chura wa kukata na shoka
Mwachie mtoto aliwe kiroho safi bana, mbona unataka kuharibu sherehe mzee mwenzetu unakwama wapi? Hamia ata kwa manengelo basi huko ndio kuna chura wa kukata na shoka
Sasa usipodanganywa utavuliwaje chupi? kuchezewa moyo ni kujitakia mwenyewe ..maan ukweli huwa amkubali..Kudanganywa. Kuvuliwa chupi kawaida ila kuchezewa moyo wangu sipendi kabisa
Hahaha sindio fahari yenu nyie...unaweza ukaingia bar tu ukaagiza vinywaji ukanywa na ukaondoka bila deni kisa msambwanda tu!Nyie ndo mnayakuza makalio..mtu h7na hela lakini unajivunia kalio😣