Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
- Thread starter
- #341
Halafu hawajui tunavyowapenda wao wanaona watuchezee tuuNimekunywa mpenzi wanaume sio viumbe ....baada ya kujuwa na kuamua kumwacha ....nilikua nafanya kazi ya kulia tu .....kazi hazifanyiki Sista ananibembelezaaa mpaka nilizowea ile hali ......shida nilimpenda sana yule mwanaume jamani yaani hata wazo LA kusema nimcheat sikuwa nalo