Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kuwa nae wa hivyo yaani siku nilivyo gundua nilijiuliza maswali mengi kichwani bila majibu mkewe alikuwa nae mda gani maana akitoka job yupo na mimi,weekend yupo na mimi, simu yangu anaipokea bila tatizo.akija kwangu Pete ya ndoa anavua kiazi mbatata yule sitamsahau mwaume mjanja zaidi ya sungura.
Unajua na wewe una tabia za ofisi sana mpenzi?Hahah kuna ka ukweli, wale KE ligi ndogo hatuwatakagi ila ni simple sana kuwasaundisha na kuwakaa ni uhakika. Shida ni kwamba tunatakaga bebe zingine kali zaidi ambazo unajua bila mbinu chafu hutoboi...basi ndio kama hivyo yani!
Yes, wanashindana K zao zimewapa nini[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]That’s how it is suppose to be Best, but nowadays to the majority of ladies it is vice versa.
Ndiyo maana mimi napenda wanaume wadogo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]18-25Kuanziia umri gani na mwisho ni umri upi?
[emoji12]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mi mkristo RC yeye mkristo Mlutheri ndoa za pili hatunaga. Halafu angekua na mihela ningemkubali niwe wa pili tu nisikose vyote. Sasa hela hamna nikawe mke wa pili akuuu. Sijajikatia tamaa bado
HaahahahahahhaSi huyo alidanganya kua alishikiwa kisuu na mkewe hahaaa zeschris kasema hukooo