Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Yaani hawafai kabisa mie alikuja kaachana na mkewe hilo nilikubali watoto wangapi 2, nikakubali sasa kabla sijatua moyo wangu nifanye ka FBI Mungu wangu ana watoto 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikimbia my dear
Watano wengi sana hata mimi ningetoka nduki
 
Usemavyo ni kweli....
Uongo haufai katika mapenzi na mahusiano kwa ujumla wake....
 
Hahah umenikumbusha kuna bro wangu bhana ameoa anawatoto wawili akapata kimada kingine nje uko bhana siku moja akamuaga mke wake anaenda mahali ilikuwa jioni jioni akawasha zake gari huyo kumbe alikuwa anaenda kutambulishwa ukweni kwa kimada bhana hahaha kimada kikajua kimepata bwana kumne chenyewe ndio kimepatikana na mimba akapewa kumbe kimada mtaa anaokaa bro ndio baba ake anakaa huko ila yeye anakaa sehemu nyingine na bimkubwa wake sasa wanazengo wakayapata wacha wampigie mke wa bro (shemeji) wakamuweka chini wakamueleza kila kitu na alivyomtata sasa weee moto uliwaka na mzee wa kimada nae akaelezwa ukweli alaf mzee wa kimada ni mtu mkubwa aiseeee moto ukawa sehem zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro nyumban hakukaliki mtaani ndio usiseme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro kakimbia nyumba maana mzee wakimada anamsaka alaf bro mjinga sana kumbe alidanganya kwa kimada wake kuwa mke wake ni shemeji yake yani mke wa kaka ake ambaye yuko mbele uko na wale watoto wake eet ni watotot wa kaka ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee nilivyopewa hiii story baada ya kumuonea huruma nilicheka sana
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]we should understand each other. To make it simple
Wewe sasa ndio utakuwa umemuelewa vizuri mzigua. Bora mtu amekuwa muwazi umeonesha ushirikiano. Sio maswala ya kuitana p.m mara kudenguliana
 
Hahah umenikumbusha kuna bro wangu bhana ameoa anawatoto wawili akapata kimada kingine nje uko bhana siku moja akamuaga mke wake anaenda mahali ilikuwa jioni jioni akawasha zake gari huyo kumbe alikuwa anaenda kutambulishwa ukweni kwa kimada bhana hahaha kimada kikajua kimepata bwana kumne chenyewe ndio kimepatikana na mimba akapewa kumbe kimada mtaa anaokaa bro ndio baba ake anakaa huko ila yeye anakaa sehemu nyingine na bimkubwa wake sasa wanazengo wakayapata wacha wampigie mke wa bro (shemeji) wakamuweka chini wakamueleza kila kitu na alivyomtata sasa weee moto uliwaka na mzee wa kimada nae akaelezwa ukweli alaf mzee wa kimada ni mtu mkubwa aiseeee moto ukawa sehem zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro nyumban hakukaliki mtaani ndio usiseme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro kakimbia nyumba maana mzee wakimada anamsaka alaf bro mjinga sana kumbe alidanganya kwa kimada wake kuwa mke wake ni shemeji yake yani mke wa kaka ake ambaye yuko mbele uko na wale watoto wake eet ni watotot wa kaka ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee nilivyopewa hiii story baada ya kumuonea huruma nilicheka sana
Mbinu zote hizo ni ili ale papuchi bila kikwazo tu ama?
 
Back
Top Bottom