Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,430
- 191,695
Duh, bittersweetMkiwa kwenye umri 20-25,kipindi ambacho unatakiwa upate mtu utulie badala yake mnakuwa na mambo mengi,ni ngumu sana kukuta mwanaume wa 35+ hayuko kwenye familia ni wachache sana,mwanaume kukudanganya ili ajue vya ndani kawaida maana mkiambiwa ukweli hamlainiki