Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Mchumba anatoka ila asiwe anaishi na mwanaume. Kama wanaishi mbali mbali unapindua
Inategemean uchumba wa muda gani wamekaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Miaka 7 unadhani mwanamke kwa mganga hakujuii...
 
Mkiwa kwenye umri 20-25,kipindi ambacho unatakiwa upate mtu utulie badala yake mnakuwa na mambo mengi,ni ngumu sana kukuta mwanaume wa 35+ hayuko kwenye familia ni wachache sana,mwanaume kukudanganya ili ajue vya ndani kawaida maana mkiambiwa ukweli hamlainiki
Tuliwapata pia wakapotea. Wakatuacha wazee tunatafuta wazee wenzetu sasa hivi
 
Kuna mmoja anakaribia 55 yuko single ila alishaoaga ndoa ikafa. Mkewe kamove on na kashaolewa na mtu mwingine yeye mpaka Leo hajaoa

Anamatatizo huyo mwanaume aliyekamilika kimwili (Mashine iko njema) hawezi kuishi kwa shida kisa kaachana na mwanamke, au ana michepuko mingi ameamua kupiga mashine tu mabinti
 
Ni balaa haya mambo sio kuchukulia poaa.. Huwezi mpotezea mtoto wa watu muda miaka 7 sijui unakuja kuoa mwingine.. Hata Mungu atamsaidiaa ulogeke vizurii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
It has not impacted me at all...because I'm not a victim and I will never be[emoji13][emoji13][emoji13].
But my advice is both parties should conduct deep research before jumping into a relationship.
Sure! This myopic has somehow a disgrace to me

Should I revisit page by page
Labda anapika chapati za maji saa hizi si unajua ni wa pwani? Atarudi bana hapo hapo hahaaaa
See now Baby Doll has disappeared

[emoji849][emoji849]
Nimejibu kitambo sana.
Mnajidai hamjaona[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mfano mimi nakaribia kufikisha 21.
Na boyfriend wangu ana miaka 19. Sina hata hofu [emoji13][emoji13][emoji13]
Utapataje hofu na wakati wote bado ni ma learner,ipo siku akiri itakuja,mwanamke anakuwa kuanzia 25yrs,so 19 bado litoto watu wanachovya na kukimbia ,no malengo hapo
 
Back
Top Bottom