Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Me kuna dada yangu alidanganywa Mwaka mzima na Mahari ikatolewaaa... michango ya Harusi ikakusanywaaa... Mimba akapewaaa... Kuja kushtukaa mwana kumbe huko iringa ana Familia ya Watoto watatu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24] Yule mbwa alifanya ukoo wetu uaibikee sanaa mamaeee...dada angu ilibdi asiolewe abaki tu home akilea mtoto sasa baada ya ule mkasaa aisee mwanaume usijichanganye umsogelee kizembee atakutukanaa mamaeee matusi hujawahii sikiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] na hajali nani anasikia au nani yupoo around ilichukua muda sana Kurecover na kuwa kama binadamu ya kawaidaa..

NB. Wadada Leo umekutana na Mwanaume ana nyumbaa na gari miaka 30+.. sijui na biashara zakeee kama Hajaoaa bhasi ana watoto ambao aliachana na mama zao au Ana mchumba wake some where so labda ukubali Kumpindua mwanamke mwenzio[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Na sababu mnapenda wenye mafanikio lazima mkubali uongoo
Kumpindua mke ulie mkuta kaolewa huwa ni mziki labda ukite nae ni mzembe mzembe na bwana nae akili ni mbili
 
Mwanaume kuanzia miaka 35 anakwambia yupo single, lazima ujiulize maswali na umuhoji sana, sisi wanaume ni Ngumu kuvuka miaka 32 bila ya kuwa na na mtoto/watoto hata akiwa single ujue lazima kuna anakipozeo
35 mbali sanaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani kuanzia 30+ lazima uchunguzee mnooo.. Mwanaume kuwa single sababu kubwa ni pesaaa sasa kama Pesa anayoo Usingle unatokea wapi.????
 
Kunila wakati una mke ni kunichezea huko
Jamani mie sikuchezei bali ntakupa tulizo la moyo tu mpenzi, unajua kuchezeana ni kwa vijana wadogo. Sisi watu wa makamo tunaliwazana tu lazizi.
 
Mwanaume kuanzia miaka 35 anakwambia yupo single, lazima ujiulize maswali na umuhoji sana, sisi wanaume ni Ngumu kuvuka miaka 32 bila ya kuwa na na mtoto/watoto hata akiwa single ujue lazima kuna anakipozeo
Kuna mmoja anakaribia 55 yuko single ila alishaoaga ndoa ikafa. Mkewe kamove on na kashaolewa na mtu mwingine yeye mpaka Leo hajaoa
 
Hatarii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Kumpindua mchumba tu hilo balaa lakeee sio kitotoo... Watu wanalogwaaa mnatafuta watoto mpaka mnanyoosha mikono...
Mchumba anatoka ila asiwe anaishi na mwanaume. Kama wanaishi mbali mbali unapindua
 
Back
Top Bottom