Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Me kuna dada yangu alidanganywa Mwaka mzima na Mahari ikatolewaaa... michango ya Harusi ikakusanywaaa... Mimba akapewaaa... Kuja kushtukaa mwana kumbe huko iringa ana Familia ya Watoto watatu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24] Yule mbwa alifanya ukoo wetu uaibikee sanaa mamaeee...dada angu ilibdi asiolewe abaki tu home akilea mtoto sasa baada ya ule mkasaa aisee mwanaume usijichanganye umsogelee kizembee atakutukanaa mamaeee matusi hujawahii sikiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] na hajali nani anasikia au nani yupoo around ilichukua muda sana Kurecover na kuwa kama binadamu ya kawaidaa..

NB. Wadada Leo umekutana na Mwanaume ana nyumbaa na gari miaka 30+.. sijui na biashara zakeee kama Hajaoaa bhasi ana watoto ambao aliachana na mama zao au Ana mchumba wake some where so labda ukubali Kumpindua mwanamke mwenzio[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Na sababu mnapenda wenye mafanikio lazima mkubali uongoo
Hii iliomkuta dadaako ni "Major 1" kama Nabii Bushiri toka Malawi!😂😂😂
 
Huyo mwanaume pepo haioni
 
Hii iliomkuta dadaako ni "Major 1" kama Nabii Bushiri toka Malawi![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli Major 1
 
Kupitia yule rafiki yako (does it ring any bell). Pole yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe nawe bwana. Sasa si ungesema tu ni wewe yaishe.
 
Hahahahaaaaa.. kwanza shemeji ako anafunga ndoa mwezi wa Saba. Na yeye ni mmoja wapo waliocheza na moyo wangu avumilie tu akijisoma humu sikumtuma mimi awe muongo kisa papuchi tu. Wakati angeniambia kawaida ningempa wala hakuhitaji kunidanganya.
Mkiwa kwenye umri 20-25,kipindi ambacho unatakiwa upate mtu utulie badala yake mnakuwa na mambo mengi,ni ngumu sana kukuta mwanaume wa 35+ hayuko kwenye familia ni wachache sana,mwanaume kukudanganya ili ajue vya ndani kawaida maana mkiambiwa ukweli hamlainiki
 
How far does the content of this thread impacted you?
It has not impacted me at all...because I'm not a victim and I will never be[emoji13][emoji13][emoji13].
But my advice is both parties should conduct deep research before jumping into a relationship.
 
Back
Top Bottom