Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Awali ya yote nipende kukapa pole kwa mkasa uliokukuta wewe pamoja na shoga yako.

Lakini pili kwa kuzingatia bandiko lako ambalo limetamka kwamba ni OMBI hivyo basi nasikitika Sana kukuambia ya kwamba OMBI LAKO LIMEKATALIWA

Najua utajisikia vibaya lakini naomba tu ujitahidi kuelewa kwamb MAOMBI yana majibu mawili KUKUBALIWA AU KUKATALIWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I will be here waiting to know what you want if you don't mind.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]asante kwa kunipa muda niendelee kukua Extrovert. But mind you nina akili sana.
Ni kweli nina damu changa inayonuka maziwa, najua kuna kutendwa na kutenda mtu in any relationship. I am not much better but somehow I am the best in knowing who I am and what I want.
 
Honey this is a daylight dream

Think of
Adam
David
Samson

Then think of all divorced
If what you portray is valid...... wait as you haven't yet crossed the River
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]asante kwa kunipa muda niendelee kukua Extrovert. But mind you nina akili sana.
Ni kweli nina damu changa inayonuka maziwa, najua kuna kutendwa na kutenda mtu in any relationship. I am not much better but somehow I am the best in knowing who I am and what I want.
You talk a good game senorita. Buena suerte!
 
In the name of LOVE I will prove you all wrong[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Inshaallah
I see you in that fantasy world, Love is more than what you think chica...kwa sasa nyie endeleeni kunjunjana tu mpaka mtapofikia stage ya kujua kipi hasa kina matter katika maisha.
 
Usiache kuwa na moyo huo huo. Ukimpenda mtu sahihi basi ufalme wa mbinguni utakuwa wako. If you wanna love someone love him trully maana hutajua ni yupi atakuwa wako wa maisha. Usibadili mfumo maana hapo ndipo wengi wanakosea na kuanza kuishi katika mfumo wa kimalaya. Haisaidii huwa inaharibu kabisaaa.
Eeeeeh kwakweli hapana nafsi ilishatua ganzi
 
Eeeeeh kwakweli hapana nafsi ilishatua ganzi
Seriously? Chuki ni ngumu sana ku deal nayo mi nimechagua upendo what about you? Unakwama wapi?
Love a person with all your heart ili hata ukiondoka kwemye maisha yake ajue kuna mtu kweli alimpenda haswa!
 
Back
Top Bottom