Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Hahah unaongea utamu sanaKwamba umegundua inacharge kijinga?
Hahah unaongea utamu sanaKwamba umegundua inacharge kijinga?
Sisi tunatumia mioyoUkienda kwa mtu wa level yako yule ambaye hali zenu mnafanana ni rahisi kukuelewa na kukubalia. Tatizo mmoyo unavyozimikia vile vitu vikubwa ambavyo haviendani na hali yangu hapo ndipo mbinu hubadilikia maana nikionesha hali halisi Mzigua90 sitampata.
Alafu mna kwama wapi mbona rahisi sana. sisi tunagunduaga mapema tu, huyu ni mpenda hela, huyu ni kicheche ni kikaa vibaya ntakufa, huyu ni mpenda bata,huyu ni wife material anafaa wekwa ndani
Kunywa maji mwananguUmeandika kwa hisia sana pole mpenzi ......
Naunga mkono hoja habari za kuwekana na matarajio makubwa mwisho wa siku yanakuja kutokea haya kwa kweli sio poa ....yameshawahi kunikuta haya tena mtu anakwambia oooh watoto hawa mamayao alitaka kunichoma kisu nikaponea chupuchupu akapelekwa police ushahidi alitoa mwanangu huyu kwahiyo mama yao sipo nae pamoja.....mtu najitutumua kuwapenda watoto nawaweka dp huko Sijui vikorombwezo gani siku ya siku nakuja kujua jamaa ana mke tena mwanamke alikamata namba zangu akanipigia kanichimba mkwara wa nguvu
Me huwaga mpole tu kwenye kesi za ndoa za watu nikamwomba msamaha yule dada yakaisha ...lile punguwani nikalipiga stop kunitafuta kwa namna yoyote.....
Kwakweli wanaume muwe wawazi mnapotuficha vitu kama hivi mnatutengenezea mazingira ya kufakufa ....wake zenu wengine ni vichaa anakuiba namba anamtafuta huyo uliyemfanya mchepuko anaenda kumfanyia kitu kibaya .....
Kuweni na huruma tu ....halafu nyinyi mmeoa huku nje mnatafuta nini mbuzi wa kafara nyinyi mnataka nini hukuuuuuu aaaaagggggrrrrr[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
We nae, umeandika nini na mtoa mada kaandika nini? Acha kukurupukaMwanaume gani ambaye alikuja kukwambia ukweli hana hela ukamkubali? mazingira ya kudanganywa unayaweka wenyewe hii yote kwa sababu ujinga umeweka makazi ktk vichwa vyenu ukiabudia umbo au muonekano badala ya akili na maarifa watu watakuja kama ujiwekavyo
ovar
Nimekunywa mpenzi wanaume sio viumbe ....baada ya kujuwa na kuamua kumwacha ....nilikua nafanya kazi ya kulia tu .....kazi hazifanyiki Sista ananibembelezaaa mpaka nilizowea ile hali ......shida nilimpenda sana yule mwanaume jamani yaani hata wazo LA kusema nimcheat sikuwa naloKunywa maji mwanangu
Unaandika sana huku ukiwa huna point! Kiufupi ninyi msipodanganywa hamtoi papuchi zenu ndo maana pia huwa tunawabaka, wajinga sana nyie!
Mimi kila nnapo tongoza mwanamke kuomba mbunye kwa wanawake ambao wanajua nina mke huwa wananikatalia.. sasa kwa ni nisikudanganye wakati lengo langu ni kushare kiuno chako na changu. Pumabavu sana nyie..bora nikudanganye tu ili mradi nikupate hayo mengine mi hayanihusu.
Unajua white, mapenzi ya sasa yamekaa kama kamari, udanganyifu umetawala sana..Nakuja kaka mrefu
Huwezi kosa mtu wewe lol...Nakuja kaka mrefu
Sasa hii comment yako ndo majibu ya post ya mwenzako....nadhani umeshajua kwanini tunadanganya [emoji41][emoji41]Pambana na hali yakoooo kijana wacha ubazazi tulia na mkeo.....
Kuna mpuuzi mmoja wiki iliyopita alinitokea nilimuuliza una mke!! Akaanza kujiumauma nikamwambia usinichekee sitaki kuchekewa kwenye hili kama una mke sema ....akajibu ndio ninae lakini usimfikirie yeye jali kuhusu Mimi na wewe hiiiiiiiiii nikaona anataka kunitia ujinga nkamwambia hiyo biashara baba hapana we kaa na mkeo tu mambo yasiwe mengi
Sawa mkuuUnaandika sana huku ukiwa huna point! Kiufupi ninyi msipodanganywa hamtoi papuchi zenu ndo maana pia huwa tunawabaka, wajinga sana nyie!
Mimi kila nnapo tongoza mwanamke kuomba mbunye kwa wanawake ambao wanajua nina mke huwa wananikatalia.. sasa kwa ni nisikudanganye wakati lengo langu ni kushare kiuno chako na changu. Pumabavu sana nyie..bora nikudanganye tu ili mradi nikupate hayo mengine mi hayanihusu.
Hatutaki mtudanganye mnatuhatarishia maishaSasa hii comment yako ndo majibu ya post ya mwenzako....nadhani umeshajua kwanini tunadanganya [emoji41][emoji41]
Mbona mimi siringi wala sijisikii na nikadanganywaNa nyie muwe mnatongoza wanaume mnaowapenda.
Hiyo ya kudanganywa huwatokea sana wasichana wanaojifanya wanaringa na kujisikia. Kuna mmoja miaka ya zamani alijua nitamuoa yeye nikapindua matokeo.
ApooNa wakike ua hapend ad akifaham ulichonacho Sina maana ya lyfe material baliii apa ni kile ulichonacho mwilin na Cha kueZa kumshawishi mwanamke adi akuingie akufahamu upoje tafauti na sis wanaume ni muonekano tu wa mwanamke wA njee wanaume ndo tunachofulaishwa
Nacho mengne ya ziada tuuu huu ndo msing was mwanaume yeyote kupendaaa.ayo tu ahsanten