Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Baby Doll doll kumbe we ni dam changa kiasi hiko,,,sio mbaya lakini upo kwenye stage ya ukuaji. When you arrive 23 yrs utaanza kuwa na mindset tofauti na kuyaona mapenzi in a different perspective, trust me kama utakuwa na same boyfriend utapofika 25 yrs naomba uje utoe ushuhuda humu.
Nitakuwa wa kwanza kukupa zawadi, ya 5th annivesary ya uchumba wenu thabiti. Amini kwamba 21-24 kuna mengi sana yatatokea katika ulimwengu wako wa mapenzi wa mtoto wa kike.
Nitakuwa wa kwanza kukupa zawadi, ya 5th annivesary ya uchumba wenu thabiti. Amini kwamba 21-24 kuna mengi sana yatatokea katika ulimwengu wako wa mapenzi wa mtoto wa kike.