Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Niliwahi kuwa nae wa hivyo yaani siku nilivyo gundua nilijiuliza maswali mengi kichwani bila majibu mkewe alikuwa nae mda gani maana akitoka job yupo na mimi,weekend yupo na mimi, simu yangu anaipokea bila tatizo.akija kwangu Pete ya ndoa anavua kiazi mbatata yule sitamsahau mwaume mjanja zaidi ya sungura.
😀Pole dada
 
Kwa nn toka mwanzo usimwambie ukweli kuliko kumdanganya uongo mkubwa hivyo?

Hivi kwa nini nyie viumbe mnapenda kucheza na mioyo ya watu jamani

Kwani unadhani nimependa kumuumiza moyo Shunie?kiukweli nnamkubali sana, ningekuwa muislamu ningeoa awe wa pili, ananifaa sana
 
Akishakudanganya hana malengo marefu na wewe! Lengo ni moja tuu, akukule tuu!

Hakuna kitu kibaya kama kumjeruhi mtu moyo kwa faida yako! Mwambie ukweli, akiamua kuwa na wewe awe na wewe akiwa anaujua ukweli!
Hahah huo uamuzi wa kuvua chupi ndio huwa haufanyiki sasa na lengo la kukufuata ndio hilo. Sasa niseme ukweli nikose nachotaka au nikudanganye nipate nachotaka
 
Back
Top Bottom