OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Kwa iyo mze mama kinachokuuma nini? kuvuliwa chupi au kudanganywa?Tunajiongezaje sasa?
Kwa iyo mze mama kinachokuuma nini? kuvuliwa chupi au kudanganywa?Tunajiongezaje sasa?
Haina tatizo, nitazidisha ufundi.
Pole sana , mtu wakukwambia eti tumeachana kuwa makini sana naye, kuna mwingine atakwambia simpendi mke wangu lakini kila siku wanafyatua watoto , ukitaka ukweli mwambie nioe no kukutana kama ndoa za Kikristo lazima aumbukeUmeandika kwa hisia sana pole mpenzi ......
Naunga mkono hoja habari za kuwekana na matarajio makubwa mwisho wa siku yanakuja kutokea haya kwa kweli sio poa ....yameshawahi kunikuta haya tena mtu anakwambia oooh watoto hawa mamayao alitaka kunichoma kisu nikaponea chupuchupu akapelekwa police ushahidi alitoa mwanangu huyu kwahiyo mama yao sipo nae pamoja.....mtu najitutumua kuwapenda watoto nawaweka dp huko Sijui vikorombwezo gani siku ya siku nakuja kujua jamaa ana mke tena mwanamke alikamata namba zangu akanipigia kanichimba mkwara wa nguvu
Me huwaga mpole tu kwenye kesi za ndoa za watu nikamwomba msamaha yule dada yakaisha ...lile punguwani nikalipiga stop kunitafuta kwa namna yoyote.....
Kwakweli wanaume muwe wawazi mnapotuficha vitu kama hivi mnatutengenezea mazingira ya kufakufa ....wake zenu wengine ni vichaa anakuiba namba anamtafuta huyo uliyemfanya mchepuko anaenda kumfanyia kitu kibaya .....
Kuweni na huruma tu ....halafu nyinyi mmeoa huku nje mnatafuta nini mbuzi wa kafara nyinyi mnataka nini hukuuuuuu aaaaagggggrrrrr[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Akishakudanganya hana malengo marefu na wewe! Lengo ni moja tuu, akukule tuu!
Hakuna kitu kibaya kama kumjeruhi mtu moyo kwa faida yako! Mwambie ukweli, akiamua kuwa na wewe awe na wewe akiwa anaujua ukweli!
Dr. Akala..!!Sio wewe lakini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂Haya uwanja wake huu
Asiyejuwa= asiyejua.Ufundi kwa asiyejuwa maana ya huo ufundi....
Ufundi kwa wenyekujuwa sio watoto
Asiyejuwa= asiyejua.
Wenyekujuwa=wanaojua.
Khaaaah, haufundishiki wewe.Haohao wenyekujuwa ambao Ndio wanajuwa Tofauti na asiyejuwa ambocho yule asiyejuwa anapenda
Nani ana hamu ya kuwakosa mpaka awaeleze ukweli....! Eboooohh.Hii tabia unamtokea mtu unamdanganya uko single wakati una mke au mahusiano yenye furaha na amani ni UBINAFSI. Wewe utasema unanipenda kwa dhati ndio maana umeamua kunidanganya huwazi nitakavyoumia siku nikiujua ukweli?
Halafu utetezi wenu ni "Ooh bby nilijua nikikuambia ukweli utanikataa". Unaona kukukataa na kuniumiza moyo wangu Bora uniumize ili utimizie lengo lako?
Kwa dhati kabisa ya moyo wangu nawaomba mseme tu ukweli ili mtu ajue anajiingiza kwenye nini Kuliko unidanganye.
Mimi mwenyewe muhanga wa hili jambo na nilikua head over heals kwa huyu mkaka kumbe moyoni mwenzangu anajua kabisa mimi anapita ana mtu wake. Na baada ya kuujua ukweli akaanza kuniambia hana furaha na huyo mwanamke ananipenda mimi. Ila kwa jinsi nilivyompenda nilishindwa kuvumilia nikamwambia tuachane tu siwezi kukushare maan nilimwambia kama huna furaha achana nae uwe na mimi akashindwa. Niliumia mpaka nikaamsha vidonda vya tumbo siku hiyo namshukuru Mungu nimemove.
Rafiki yangu juzi tu kajua mtu aliempenda kwa mara ya kwanza toka apate akili ni mume wa mtu. Na alimdanganya eti hajaoa ana baby mama tu kumbe huyo baby mama ndio mkewe. Na alishamuuliza mwanzo akasema hana mahusiano ana mtoto tu ila yeye na baby mama hawana mahusiano. Mungu alivyo mwema last weekend wamekaa bar kaja mtu anaomba msamaha kwa jamaa kuwa alishindwa kuhudhuria harusi mbele ya rafiki yangu. Rafiki wa jamaa alivyondoka alimuapia rafiki yangu miungu yote kuwa hana mke na ndoa ilishindikana kufungwa halafu kwa sababu ya kijinga sijui kwanini rafiki yangu akamuamini. Sasa nikasikia tena jamaa kaoa nikamwambia rafiki yangu.
Kufupisha tu jamaa ni kweli ameoa na anaesema ni baby mama ndio mkewe nae utetezi wake hakutaka kusema alivyomuona rafiki yangu kwa kuwa aangemkataa ila anampenda.
Mwingine mpaka Pete kavalishwa na mchumba wa mtu na jamaa anaoa week ijayo anamuacha mwenzie na mtoto na aibu ya kupeleka mchumba ambae alikua na mtu mwingine.
Ukijijua huna mpango na mtu mwambie ukweli mtuepushie maumivu makubwa wengine kupenda kwetu kwa bahati tukipenda tunapenda kweli sasa kukaa na kugundua wewe ni side chick kwa bwana wa mtu inauma sana.
Samahanini kwa gazeti ila nimesisitiza na hivyo visa viwili kukazia maombi yangu kwenu. MTUONEE HURUMA na mioyo yetu.
Labda ni kwa sababu kwangu mapenzi ni zaidi ya money.
Kina nano hao?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ingekua thread ya kufungia mwezi kama baadhi yetu tusingeanza kutongozana na kuchat mambo binafsi yasiyohusiana na thread. . nilianza kuiperuzi wakati nataka kuondoka mzigoni nikasema thread ndo hii mapigo yake ilikua ni unapewa mguu wa shingo, unaswekwa mguu wa roho.. wote mliochangia kuiharibu hii thread jichagulieni tusi au vinginevyo niwape tusi la shangazi zenu
Ulimwambia uko single au hamkuongelea hilo suala kabisa?