Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Unajua nini Hawachi mie napokufuata unajua kabisa interest yangu ni mambo mawili, mahusiano ama kuvuana chupi. Sasa katika hayo mawili kuna moja ni jepesi kueleweka kuliko jingine kulingana na aina ya mwanamke hasa hilo la kuvuana chupi ambalo ndio main point.

Kuna KE ambao wana assess uzuri wa mwanaume kimuonekano na kuna wanao assess uwezo wa kipesa.

Sasa ukimfata mwanamke ambaye ana assess uzuri/muonekano kama kipaumbele ukasema kuwa lengo ni kuvuana chupi tu none serious na kweli ukawa umemvutia atakubaliana na hilo bila hiyana. Hali kadhalika ukiwa anakuona huna mvuto atakupiga chini tu tena inaweza ikawa kwa nyodo sana hadi ukajiona kama katuni tu hapa duniani.

Ukimafata mwanamke ambaye anavutiwa na pesa tu na kweli ukamuonesha viwango ukiomba mchezo inaweza kuwa chap tu bila usumbufu na mlolongo mrefu halikadhalika ukimfata mwanamke huyo huyo akagundua huna hela au umeenda kisakala utakula nyembe takatifu tu.

Solution: Lazima tutumie njia ya pili ya kutaka uhusiano na kuchanganya mbinu zote ikiwa kipesa na kimuonekano na success rate ya kuvuana chupi ni kubwa zaidi. Hatupendi kuwadanganya ila ndio namna pekee ya kusawazisha mambo. Laiti kama mwanamke angekuwa anapenda ukweli kwa dhati na kuwa tayari kutoa uchi bila usumbufu kwa madume yote yanayotangaza nia basi kesi za uwongo zisingekuwepo kabisa.

Na ubaya kinachouma roho sio uongo bali ni kupotezewa muda. You trust a wrong guy you waste your precious time or even mess your entire life.
Bora umetufafanulia
 
Umeandika kwa hisia sana pole mpenzi ......


Naunga mkono hoja habari za kuwekana na matarajio makubwa mwisho wa siku yanakuja kutokea haya kwa kweli sio poa ....yameshawahi kunikuta haya tena mtu anakwambia oooh watoto hawa mamayao alitaka kunichoma kisu nikaponea chupuchupu akapelekwa police ushahidi alitoa mwanangu huyu kwahiyo mama yao sipo nae pamoja.....mtu najitutumua kuwapenda watoto nawaweka dp huko Sijui vikorombwezo gani siku ya siku nakuja kujua jamaa ana mke tena mwanamke alikamata namba zangu akanipigia kanichimba mkwara wa nguvu


Me huwaga mpole tu kwenye kesi za ndoa za watu nikamwomba msamaha yule dada yakaisha ...lile punguwani nikalipiga stop kunitafuta kwa namna yoyote.....


Kwakweli wanaume muwe wawazi mnapotuficha vitu kama hivi mnatutengenezea mazingira ya kufakufa ....wake zenu wengine ni vichaa anakuiba namba anamtafuta huyo uliyemfanya mchepuko anaenda kumfanyia kitu kibaya .....

Kuweni na huruma tu ....halafu nyinyi mmeoa huku nje mnatafuta nini mbuzi wa kafara nyinyi mnataka nini hukuuuuuu aaaaagggggrrrrr[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Tatizo kabla hujaoa unaona umemaliza nyama zote za kila mnyama kula mara gafla anatokea mbwa pori hujawah mla unaacha kila kitu unaenda kula
 
Ni nadra snaaaaa kufankiwa kwa kile ukitakacho kwa mwanamke ukiwa mkweri ....ila ilvyozoeleka uongo ndo suluhu ya kufankishaa na UKWERiI ni nadra kufankishaa binafsi yngu napenda kua mkwer ila cfanikish ....nakimbiwA
 
Na wakike ua hapend ad akifaham ulichonacho Sina maana ya lyfe material baliii apa ni kile ulichonacho mwilin na Cha kueZa kumshawishi mwanamke adi akuingie akufahamu upoje tafauti na sis wanaume ni muonekano tu wa mwanamke wA njee wanaume ndo tunachofulaishwa
Nacho mengne ya ziada tuuu huu ndo msing was mwanaume yeyote kupendaaa.ayo tu ahsanten
 
Du, pole saaaaana sister, inaelekea brazamen mwenzetu alifaidi love la ukweli kwa muda aliokupata. Naami naamini ulijiona una bahati ya mtende kumpata huyo braza.

Mi nakushauri siku nyingi unapokutana nasi kigezo cha kwanza kisiwe kama nina mpunga au sina. Huo mtego unawashinda sana nyie tausi ndege wazuri.
Nina uhakika hukujuta muda wote mwenzetu alipokuwa nawewe
Asante mwaya. Nilienjoy na sijuti
 
Suala la kuambiana ukweli kwenye mapenzi kwa zama hizi tusahau kama unataka ukose unacho taka sema ukweli kwamba baby me nina mtu ila nimetokea kukupenda au baby mie kiukweli kitandani huwa napiga nusu bao nivumilie usiniache nakupenda utaishia kuwaita shemeji wadada wazur
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom