😂😂😂😂Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
No reform no election 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿View attachment 3361268
Punguzeni vitisho basiNajua habari unayo kilichomtokea john mnyika kondoa😂😂
#OctobertunatikiHaya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Mkuu hiyo NRNE kiuhalisia ni NRNP.Mbona mnatuangusha jamani, si tumeshasema tusicomment kwenye nyuzi za hawa vichaa? Hapa mtazifikisha hizo reply anazozitaka. Badala ya kuhangaika na NRNE. Aisee mnasikitisha sana, mbona ni kiswahili rahisi, kuwasusia nyuzi zao wataacha andika haya mashudu yao. Aah
Wale wa kupangwaNajua habari unayo kilichomtokea john mnyika kondoa😂😂
Mwana CCM mwenzangu asante sana. Nadhani tukienda pamoja hivi ni vizuriHaya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
No Reforms, No Elections.Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie