OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

tena wakatoliki ndio tunawapa kipa umbele ili waujuwe ukweli, kuwa ukatoliki siyo dini ni ushetani, na ushahidi upo! Nikuwekee?
ushetani ni matendo sio maneno kaka! Dunia nzima inajua dhahiri shahiri ni dini gani ya kishetani kwa matendo yake! Ninahakika hata wewe ndani ya moyo wako unajua ni dini ipi ya kishetani kwa matendo yake! Hatuhitaji kusema au kushindana kwa maneno kwani jambo hili ni dhahiri!
 
Najuwa sana tena na sina shaka, nakuuliza kuna ushetani zaidi ya wachungaji kulawiti watoto makanisani? siyi mmoja au wawili, mamilioni, ushahidi huu hapa:
Catholic sex abuse cases

Sijui kama wewe umepona, maana hapa inaonesha na Makanisa ya Tanzania yamo:

In Tanzania, Father Kit Cunningham together with three other priests were exposed as paedophiles after Cunningham's death.[SUP][40][/SUP][SUP][22][/SUP] The abuse took place in the 1960s but was only publicly revealed in 2011, largely through a BBC documentary
 
ujuaji ni zao la mtu mjinga.

Hatulijadili KANISA KATOLIKI. tunaijadili OIC
 
Hivi hakuna shekhe aliyewahi kubaka, kulawiti? Kesi za wanafunzi wa madrasa kupewa mimba na walimu wao hakuna? Kulawiti ni suna na thawabu unapata si ndiyo imani yenu? Vijana wangapi wa kitz wameharibika kwa kulawitiwa huko uarabuni? Znz mtt wa kiume anafichwa kuliko wa kike kwa matendo ya kulawitiwa je wanaofanya hivyo ni wakristo? Tafakari kabla hujajitukana mwenyewe.
 
achani kuweweseka kwanini msiende mkapange ratiba ya misa, mnakaa mnajadili kitu msichokijua, OIC kama hamhitaki sisi tunaitaka, yaani tatizo mnapenda kurukia rukia mambo, mpiga mayowe weeee ya mahakama ya kadhi hamjachoka tu, mnatuboa bwana
 
ujuaji ni zao la mtu mjinga.

Hatulijadili KANISA KATOLIKI. tunaijadili OIC

Ziliwekwa habari za mashehe, wanahusiana nini na OIC? au mkuki kwa nguruwe?

Kama hujui hayo ya makanisani basi na wewe ni walewale wa Ubaguzi wa Ujinga. Dunia hii kuna asiyejuwa matatizo ya kulawitiwa watoto na wachungaji? pole sana!
 
Mbwa Mwitu tunaye tayari nyumbani CSSC...

Mkandara unapenda sana kuwa mwehu heh?..Si siku nyingi ulikuwa briliant person humu ndani?Au baada ya kubanwa sana ukaamua vua nguo kwa hasira.Wewe unawaita mbwa mwitu watu wanajituma na wenye kujali hata wewe unayeshinda kualalamika na kudai bure tuu.German sasa wana support miradi ya maji na afya nchi nzima.Sijui kama unajua unalosema ndugu yangu ila unatia huruma kuliko nilivyokuwa nakufikiria.
 
Mkuu Mkandara, Are you really serious????
You damn right am serious.. ikiwa OIC ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo WAKATI haipo nchini, Je, iweje CSSC inayofanya yale yale ya OIC isiwe mbwa mwitu?
 
Inahusu nini na OIC? kama si uongo na uzandiki huu ni nini? ndio mnavyofundishwa makanisani?

Cha kushangaza ni pale mnapozuwa vitu kutoka vichwani mwenu, hivi OIC ikiwa ipo kwa kuwaunganisha Waislaam kuna tatizo? hivi OIC ikiwapo kuwasaidia Waislaam kuna tatizo?

yap kama inawanufaisha waslam hakuna tatizo wajiunge nayo tu..ila wajiunge kama waslam sio kutulazimisha waTZ wote tuwe wanachama wa jumuia ya kislam,haitatokea Tz yetu ikawa kwenye list ya nchi za kislam hatutaki mikosi sisi..kuweni wastaharabu msipende uchokozi kila mara.
 
Hivi hakuna shekhe aliyewahi kubaka, kulawiti? Kesi za wanafunzi wa madrasa kupewa mimba na walimu wao hakuna? Kulawiti ni suna na thawabu unapata si ndiyo imani yenu? Vijana wangapi wa kitz wameharibika kwa kulawitiwa huko uarabuni? Znz mtt wa kiume anafichwa kuliko wa kike kwa matendo ya kulawitiwa je wanaofanya hivyo ni wakristo? Tafakari kabla hujajitukana mwenyewe.

vipi hili kanisa la mbeya ni la wazanzibari ???Welcoming Gay Friendly Churches in Africa

[TD="width: 82"][/TD]
[TD="width: 272"] Tanzania [/TD]
[TD="width: 173"] 1 church [/TD]
[TD="width: 202"] [/TD]

[TD="width: 82"] [/TD]
[TD="width: 201"] [/TD]
[TD="width: 173"] [/TD]
[TD="width: 202"] [/TD]

[TD="width: 82"] [/TD]
[TD="width: 272"] Pentecostal Evangelistic Church [/TD]
[TD="width: 173"] Mbeya [/TD]
[TD="width: 202"] Non-denominational [/TD]

[TD="width: 82"] [/TD]
[TD="width: 272"] [/TD]
[TD="width: 173"] [/TD]
[TD="width: 202"] [/TD]

Homosexuality and the Bible
 
You damn right am serious.. ikiwa OIC ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo WAKATI haipo nchini, Je, iweje CSSC inayofanya yale yale ya OIC isiwe mbwa mwitu?

Mkuu naona huna ufahamu wa kutosha kuhusu CSSC na hujui ni wa-Tanzania wangapi wananufaika na huduma za kijamii zitolewazo na Shirika hili bila kuangalia Dini zao! Pamoja na kuwa na hasira juu ya watu wanaopinga OIC lakini kama GT jipambanue kuwa huna "bias" ktk kuhukumu mambo! Kuilinganisha SCCS na OIC ni kuonyesha ufahamu mdogo wa "Entities" zote mbili!!!
 
MWANAWAVITTO Haijasomeka. Mada za udini zinakuwa ngumu kuchangia wewe? hasa kwa wale tunaoamini katika utanzania na siyo udini kama wewe.

nang'atuka. unapoinamisha mgongo wako wazalendo wa kitanzania wapite juu yako, kwa maslahi ya watanzania wapo watanzania wanapita juu ya mgongo wako kwa maslahi ya dini yao. ndio hao azungumziao mwanawavito. ukidhani hao wanajali utanzania, utakuwa umekosea. vinginevyo wewe uwe kambi yao, sintokushangaa. na hata kupinda kwako mgongo ni kwa masalahi ya kambi yako.
 
Ziliwekwa habari za mashehe, wanahusiana nini na OIC? au mkuki kwa nguruwe?

Kama hujui hayo ya makanisani basi na wewe ni walewale wa Ubaguzi wa Ujinga. Dunia hii kuna asiyejuwa matatizo ya kulawitiwa watoto na wachungaji? pole sana!

naam. ni watoto wa kiume wangapi wamelawitiwa madrasa. ni wangapi mabinti wamebeba mimba madrasa. lakini kwenu kulawiti ni suna. si hivyo tu je si kweli waislam wanafuga majini. mmoja wa waliokuwa wanafuga majini ni shekhe yahya. kamwachia mwanae. kufuga majini ndio shetani mwenyewe.
 
MWANAWAVITTO Hivi kujiunga na OIC kuna athari gani kwa Tanzania kama nchi ambao serikali yake haina dini bali wananchi wake? Nadhani hakuna haja ya kuumiza vichwa kwa suala ambalo kujiunga kwake hakuna athari yoyote na naamini hakuna lazima kutakuwepo na faida japo faida hizo haziwezi kuonekana moja kwa moja kwa upande wa waumini wasiyo waislamu.

Hakuna ubaya kama waislamu wenyewe kama jumuia watajiunga na OIC; kwa maana kwamba wachangishane wenyewe michango na gharama zote za lazima kujiunga na kudumu katika hiyo jumuia na si fedha za walipa kodi ambao baadhi si waislamu na jumuia hiyo ina madhumuni kinyume na maslahi yao. Vivyo hivyo kwa Mahakama ya kadhi. Hatuna sababu za kupinga uwepo wake kama itaendeshwa kwa michango ya waislamu pekee na itahusika na kuwahukumu wao wenyewe bila ya kuwaathiri wasiohusika na imani hiyo. Wenzao wakristu wana jumuia zao ambazo hata serikali haifahamu lini wanalipia uendeshaji na udumifu wao katika jumuia hizo.
 
Back
Top Bottom