OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

sasa tatizo liko wapi mkandara ikiwa miradi hiyo haijawa specified kufaidisha kundi fulani tu la watz?
Tatizo mliko wapi? hulioni mku wangu..ebu soma kipande hiki.
The consultation was a culmination point of a dialogue process that had been going on for some time between leaders of the German Churches, the Government of Tanzania and German Churches respectively their agencies.

Kwanza Tanzania ilikuwa inatawaliwa na Mjarumani na ndio waloyajenga hayo Mahospital na Shule nchini sio wakristu Watanzania na ndio sababu mojawapo kubwa ya kutaifishwa mali zile na Nyerere ziwe za wananchi. Hilo kwanza liweke kichwani..

Sasa inapofikia serikali yetu imekaa na wakristu wa nchini kufikiria KUZIRUDIA mali hizo kwa rightful owner unadhani karudishiwa nani Mjarumani. Hapa Mbwa mwitu nani?. Jamani acheni hizi chokochoko na kutetea dini zenu wakait mnajua fika tunaliwa..

Na kupitia serikali kutupa mikopo ambayo wananchi wote wanachangia kwqa kodi zao na wanalipa ada na gharama za tiba. Sasa kilichobakia sisi kutawaliwa na Ujarumani kipi? ikiwa maendeleo ya Mtanzania yataanza na ELIMU na AFYA maana pasipo vitu hivyo hafuta UMASKINI..
 
Mkandara, juve2012,

..naomba kutofautiana na madai yako, na ninaomba nitoe mifano ifuatayo.

..hospitali ya Bugando ilijengwa na Wakatoliki btn 1968-71. ilipofika mwaka 1972 Mwalimu akaitaifisha!!

..Hospitali ya KCMC nayo ilijengwa kwa fedha za shirika la Good Samaritan mwaka 1971. bado natafuta ni mwaka gani Mwalimu alitaifisha hospitali hiyo.

..shule ya Ilboru ilianzishwa mwaka 1946[wakati wa utawala wa Muingereza] na Walutheri. Ilipofika mwaka 1969 Mwalimu akaitaifisha.

..mimi nadhani tushukuru tu kwamba leo hii Wakatoliki na Walutheri hawalalamiki na kueneza fitina kwamba walinyanganywa mali zao.

..
 
Wewe unaongelea ustaadhi wa dunia hii ya leo! Mtume wao angekuwa anaishi leo hii angekuwa jela, kuoa kabinti ka miaka 9!!!??

Actually alikuwa na miaka sita wakati anaolewa, akakabidhiwa kwa Muhamad akiwa na miaka sita.
 
ashukuru enzi zile wazee wa kunasa hawakuwepo,nae angenasa,mana naskia huyu marehem mudy alipenda sana kitu cha 0713
 
Mimi kama Muislam sipendelei Tanzania kuingia katika jumuia hii kwanini ?

sidhani kama waislam watanufaika na misaada ya jumuia hii. kama ni missaaada basi wewe utaona zinajengwa barabara zikienda manyara,tukuyu,na kama huko...lakini hutoona barabara za mtwara, lindi,ama mji watanga kujengwa barabaara zake ambazo zimebaki hivyo tangu alipo ziacha Mkoloni
na hata kama zile scholarship zikija ..basi kwa uhakika zitafichwa
kama kupiga zumari la kuingia OIC basi bora tuiwezeshe Zanzibar iingie...lakini sio Tnganyika...hapa uadilifu haupo tukitaka tusitake....lakini kule waislam watanufaika....
hivyo ndugu zangu tuache hii hadithi...angalau tuwachie zanzibar waingie, wao ni waislam kwa wingi na malengo ya OIC yanaweza kuwa na nafasi ZNZ.
KATIBA ipo katika mchakato tuwawezeshe wawe na uwezo wa kujiunga na jumuia zenye maslahi nayo.
 
Mkandara, juve2012,

..naomba kutofautiana na madai yako, na ninaomba nitoe mifano ifuatayo.

..hospitali ya Bugando ilijengwa na Wakatoliki btn 1968-71. ilipofika mwaka 1972 Mwalimu akaitaifisha!!

..Hospitali ya KCMC nayo ilijengwa kwa fedha za shirika la Good Samaritan mwaka 1971. bado natafuta ni mwaka gani Mwalimu alitaifisha hospitali hiyo.

..shule ya Ilboru ilianzishwa mwaka 1946[wakati wa utawala wa Muingereza] na Walutheri. Ilipofika mwaka 1969 Mwalimu akaitaifisha.

..mimi nadhani tushukuru tu kwamba leo hii Wakatoliki na Walutheri hawalalamiki na kueneza fitina kwamba walinyanganywa mali zao.

..

ukweli zilijengwa na kodi za wananchi na wakoloni wakazikabidhi mashirika hayo kuziendesha na nyengine waliwezeshwa na wakoloni kutokana na kodi za wananchi
makanisa tanganyika hayakuja na mapesa walikua wakipendelewa na wakoloni..na huwezi uka tofautisha ukoli afrika na ukristo ..wao lao ni moja
hizo alizo taifisha nyerere (lakini zikawa bado zinaendeshwa na wakristo wale wale)
hakuna mahali ambapo hizo shule ama hospitali ziliwahi kuongonzwa na asiekua mkristo....
nyerere alifanya hiana tu...hakuwa mkweli katika kutaifisha .....alio nea wahindi na waraabau na waswahili kuwanya nganya nyumba zao katika miji yao yote dar,arusha,mwanza,tanga na kwengineko....hapa aliwatia umaskini wasilam ili wasijeweze.
kwenye ukweli tuseme kanisa haliko dhoofika na nyerere bali lili neemeka zaidi...lakini jumuia za wasialm zilididimia...na akaziweka chini ya uangalizi wa mashushu
lazima tufike mahali tuseme wazi nyerere ni baba wa taifa, tunakubali kwa sababu ndie kiongozi wa mwamnzo baada ya uhuru, hilo halina ubishi...lakini bila ya kukubali ubinafsi wake ndo ulotufikisha hapa leo taifa likiwa limegawanyika..basi hatufiki hatufiki
kama alifanya hiana isemwe, kama alifanya mazuri yasemwe..
lakini sio kusifu mambo aliyo fanya kiuja nja janja
 
MWANAWAVITTO Hivi kujiunga na OIC kuna athari gani kwa Tanzania kama nchi ambao serikali yake haina dini bali wananchi wake? Nadhani hakuna haja ya kuumiza vichwa kwa suala ambalo kujiunga kwake hakuna athari yoyote na naamini hakuna lazima kutakuwepo na faida japo faida hizo haziwezi kuonekana moja kwa moja kwa upande wa waumini wasiyo waislamu.

:laser: SOMA KWA MAKINI NILICHOKIANDIKA ACHA KUKURUPUKA
 
ukweli zilijengwa na kodi za wananchi na wakoloni wakazikabidhi mashirika hayo kuziendesha na nyengine waliwezeshwa na wakoloni kutokana na kodi za wananchi
makanisa tanganyika hayakuja na mapesa walikua wakipendelewa na wakoloni..na huwezi uka tofautisha ukoli afrika na ukristo ..wao lao ni moja
hizo alizo taifisha nyerere (lakini zikawa bado zinaendeshwa na wakristo wale wale)
hakuna mahali ambapo hizo shule ama hospitali ziliwahi kuongonzwa na asiekua mkristo....
nyerere alifanya hiana tu...hakuwa mkweli katika kutaifisha .....alio nea wahindi na waraabau na waswahili kuwanya nganya nyumba zao katika miji yao yote dar,arusha,mwanza,tanga na kwengineko....hapa aliwatia umaskini wasilam ili wasijeweze.
kwenye ukweli tuseme kanisa haliko dhoofika na nyerere bali lili neemeka zaidi...lakini jumuia za wasialm zilididimia...na akaziweka chini ya uangalizi wa mashushu
lazima tufike mahali tuseme wazi nyerere ni baba wa taifa, tunakubali kwa sababu ndie kiongozi wa mwamnzo baada ya uhuru, hilo halina ubishi...lakini bila ya kukubali ubinafsi wake ndo ulotufikisha hapa leo taifa likiwa limegawanyika..basi hatufiki hatufiki
kama alifanya hiana isemwe, kama alifanya mazuri yasemwe..
lakini sio kusifu mambo aliyo fanya kiuja nja janja
Macos,

..nimeonyesha kwamba KCMC na Bugando zilijengwa baada ya UHURU. zilijengwa kwa msaada wa mashirika ya nje ya Kikristo. sasa kodi za wananchi na wakoloni zinatoka wapi??

..pia kuna shule ambazo zilijengwa na Wamishionari toka Ujerumani wakati wa utawala wa Muingereza. Tena ktk kipindi ambacho Uingereza na Ujerumani walikuwa maadui. Sasa ulitegemea Muingereza asaidie Wajerumani?? Pia ukumbuke kwamba miaka ya mwanzo ya Muingereza kuna maeneo yalirudi nyuma kielimu kwasababu Muingereza aliwatia ndani wamisionari wa Kijerumani.

..Nyerere mnayemlaumu ndiye aliyetaifisha shule na hospitali nyingi zikiwa za kanisa lake mwenyewe. Nyerere alifanya hivyo ili kila Mtanzania aweze kupata elimu na matibabu. Hata ilipoonekana kuna maeneo yanaachwa nyuma kielimu, Nyerere akateremsha pass mark kwa kuanzisha mfumo wa QUOTA SYSTEM ktk nafasi za shule za sekondari. Sasa hebu nieleze kama hiyo haikuwa kuwainua wale wote waliokuwa disadvantaged, Waislamu included??

NB:

..waathirika wakubwa wa zoezi la UTAIFISHAJI ni wale waliokuwa na biashara kubwakubwa kama mabenki,viwanda,na mashamba makubwa[haswa mkonge].

..unaposema Wakristo na Ukoloni walikuwa kitu kimoja, what about Waislamu na utawala wa Wajerumani??

..hivi unafahamu kwamba Maakida na Askari wa Mjerumani walikuwa ni Waswahili watu wa Pwani?
 
kuna watu wapo kulaumu tu! Kila saa Nyerere mwonevu,hata kanisa leo likiwapa nusu ya mashule na hocp,hawawez songa hawana technique!
 
mada kama hizi zinalengo la kuchochea fitna, ubaguzi na kupoteza upendo tulio nao watanzania wote bila kujali itikadi ya dini zetu. vile vile mtoa mada anaonekana kuwa hana elimu ya kutosha ya darasani pamoja na yakumjua MUNGU . Kwani dini zote kupitia vitabu vyake vitakatifu zinasisitiza upendo na amani kwa binadamu wote.MUNGU alituumba kwa lengo la kumwabudie yeye peke yake na kuwa yeye ndie atakaye wahukumu wale wote walio kinyume na mafunzo yake.hivyo tunashauriwa tupendane. kitendo cha kueneza propaganda za udini sio nzuri kwni madhara yake ni makubwa.mtoa mada hajui analolifanya tumuombee MUNGU amsamehe kwani hajui atendalomy take: ingekuwa amri yangu ningempiga vibao kama saba hivi ila MUNGU anasisitiza tupendane na tusameheane
"chuki nichukie roho yangu niachie"niambie katika maelezo yangu propaganda ni ipi,
 
Kuhusu uanzishwaji wako kuwa Morocco na kuuendeleza uislamu ni kweli, lakini umepindisha mambo mengi aidha kwa bahati mbaya au kwa lengo unalolijua wewe, miongoni mwa wanachama wa OIC ni Russia yenye observer status na USA taifa hili unajua ni swahiba mkuu wa Israel, hivyo malengo kuwa Israel inapaswa kufutwa kwenye uso wa dunia hayajawahi kujadiliwa na OIC bali ni maneno aliyotamka Rais Ahmanejad wa Iran, na OIC iljadili na kupitisha sheria dhidi ya ugaidi, na hivi karibuni walijadili ili kuiondoa Syria kama mwanachama kutokana na machafuko yanayoendelea, cha msingi tusiwe wavivu katika usomaji google ipo wazi so itumike.
sasa hao IOC ndo wamenichefua kumbe syria ni mshirika wao aalafu wameacha tu mpaka mambo yanaharibika wanaunga mkono...hawajajifunza ya iraq,afghanistan,libya?...basi hao IOC watakua ma-hypocrity tu!....hadi leo irq na afghan hakukaliki ndo yatakayotokea syria kwa kusupport influence za marekani!...lini wamarekani wakajenga kama sio kuja tu na kuharibu kwa mwamvuli wa demokrasia ambazo zimekua demoghasia!... na ishu yoyote inayohusu dini kuihusisha na nchi ni kuleta uhasama na uhosama
 
2. Any State, member of the United Nations, having Muslim majority and abiding by the Charter, which submits an application for membership may join the Organisation if approved by consensus only by the Council of Foreign Ministers on the basis of the agreed criteria adopted by the Council of Foreign Ministers.
sasa nimeelewa kwa nini senss ilileta shida sana....kumbe watu walikuwa wanataka kujua idadi ngapi ya waislam na wakristo?...kweli mjinga mara nyingi ndo huwa maskini na dini ndo kifungo chake...
 
Chezea pengine si Israel. Kama wanataka kuharibikiwa waendelee kuendeleza chuki hizo, zitawarudia. Biblia haijipingi ukiilaani Israel laana hiyo inakurudia wewe na badala ya laana inageuka na kuwa baraka.
 
Thread za upotoshaji zinazohamasisha uchochezi na chuki mods zifuteniiiiii
 
OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.

Jumuiya ya nchi za kiislam OIC[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,

jumuiya hii ilianzishwa nchini MOROCCO tarehe 21Agust 1969 AD, au 12 Rajab 1389 H,

*. Jumuiya hii ilianzishwa kutokana na mashabulizi ya ISRAEL yaliyofanywa dhidi ya nchi za kiarabu, na kutekwa kwa mji wa YERUSALEM,[ AL-QUDA], katika vikao viwili kile cha MOROCCO tarehe 25 september 1969, na kile cha mjini JEDDAH cha mwezi machi 1970 kiliweka maazio ya kuuteuwa kwa muda mji JEDDAH kuwa makao makuu ya muda ya OIC ambapo kikao hicho kiliazimia kuwa MAKAO MAKUU YA KUDUMU YA OIC YATAKUWA NI YERUSALEMU.

Moja ya kipaumbele kikuu na lengo kuu la kuasisiwa kwa OIC ni kuikomboa YERUSALEMU kutoka mikononi mwa ISRAELI pamoja na msikiti MTAKATIFU WA AL-AQSA ulio sehemu muhimu kwa imani ya kiislam kwani AL-AQSA ndiyo QIBLA cha kwanza cha waislam kabla hakijageukia AL-KAABA. hivyo yaliwekwa maazimio matatu muhimu,

1. kujijengea uwezo kwa kufanya yafuatayo. [a] kujenga mshikamano miongoni mwa waislam,
kujenga mashirikiano ya jamii nzima ya kiislam,
[c] kuupigania uislam kwa kulindamaeneo MATAKATIFU pamoja kulinda vitabu VITAKATIFU,

2. kuunganisha nguvu ili [a] kupigania sehemu TAKATIFU.
kuunga mkono harakati za WAPALESTINA KUJIKOMBOA,
3.Kufanya kazi kwa pamoja
[a] kuondoa ubaguzi miongoni mwa waislam na
kueneza dini na utamaduni wa kiarabu. nk.

ili kufanikisha azma na malengo ya jumuiya vilianzishwa vyombo mbalimbali vya kusimamia shughuli zote kulingana na vipaumbele husika, ili kuyafikia malengo hayo KIKAO KILIGUSIA maeneo haya. ELIMU, SIASA, UCHUMI na DINI , mambo haya yaliwekwa chini ya KATIBU MKUU ili kuhakikisha kuwa malengo yanafanikiwa
1-KUHAKIKISHA KUWA ZINAANZISHWA SHULE ZA KIDINI[MADRASSA ] zitakazo toa ELIMU ya DINI-SIASA kazi kubwa ya shule hizi ni kujenga uadui kati ya UTAWALA WA KIZAYUNI[ISRAEL ] uliolikalia kwa nguvu eneo takatifu la yerusalem ulipo mskiti wa AL-AQSA , mbinu hii imesaidia sana kwani baada vijana wengi kufunzwa katika MADRASA hizi za DINI SIASA[ UDINI] tumewashuhudia wakitamka hadharani kuwa UTAWALA WA KIZAYUNI UNAPASWA KUFUTWA KWENYE RAMANI YA DUNIA NA PALESTINA LIWE TAIFA HURU,

chini ya mwamvuli huu mara kadhaa tumewasikia wahubiri wadini ya kiislam kama vile ABOOD MOHAMEDY ROGO, ANWAR AL AWALAKI, ABU QATADA, na wengineo wakiwahamasisha vijana wa kiislam kwenda PALESTINA kuwapigania ndugu zao.
Kivuli hiki cha DINI SIASA kimeendelea kukua hasa pale mataifa ya MAGHARIBI kuonekana wakiingua mkono ISRAEL, mafundisho haya ya dini siasa sasa yanazigusa hata nchi hizi zinazoonekana kuwa ni washirika wa utawala wa KIZAYUNI,
katika mafundisho haya ya DINI SIASA yaliyoasisiwa na OIC yamefanikiwa kuzalisha makundi ya KIGAIDI na MISIMAMO MIKALI YA DINI-SIASA[UDINI] ndiyo maana nchi ambazo zilikuwa za mwanzo kujiunga na jumuiya hii kwa sasa zinakabiliwa na mfumuko wa siasa kali za udini,
UDINI ulionwa kuwa ndiyo njia pekee ya kuyayafikia malengo, yaani kuwafundisha vijana wa kiislam kuwa ADUI YAO NI YULE ANAYEWANYIMA HAKI YA KUWA NA YERUSALEM.
hapa ndipo yalipoanza madai ya kile kinachoitwa MFUMO KRISTO, yaani washirika wa utawala wa MAZAYUNI
unaowanyima haki waislam, kwa kutumia mbinu za hali ya juu za kutengeneza mazingira wamefanikiwa kuziteka nyoyo za wengi.

Madhumuni ni mamoja tuu, KUKUSANYA NGUVU NA KUIKOMBOA YERUSALEM ILI IWE NI MAKAO MAKUU YA OIC.
hata hapa kwetu mafundisho haya tayari yamekwisha kupenyezwa.

Waswahili wanasema USILO LIJUA NI SAWA NA USIKU WA KIZA KINENE. nakupa pole sana Mtoa uzi kwani kama ulitaka kujua kuhusu haya basi ungeuliza kama suala na sisi tungekusaidia sana kujua haya. Kumbuka kuna nchi nyingi sana zimejiunga na vile nyingine zikiwa na Balozi za Israek ina maana hawakuyaona hayo?

Waarabu tunasema UJINGA USIO NA KHASARA NI BORA KULIKO ILMU ISIYO NA FAIDA.

Pole sana

labda nikuulize wewe unayejua.

Je ni nini malengo ya kusisiwa kwa OIC
 
Kuna nchi nyingi hapa duniani zimejiunga na oic na wala hakuna matatizo,kwanini watanzania mna chuki? Acheni oic iwanufaishe watanzania hasa wananchi maskini

tuambie nchi mojawapo iliyojiunga na hiyo OIC na imenufainikije?
NO RESEARCH NO EVIDENCE NO RIGHT TO SPEAK...
 
Thread imejaa uzushi! OIC for muslims and Islam! wewe kama haiku "hu" ni bora kukaa kimya tu.
 
OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.

Jumuiya ya nchi za kiislam OIC[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,

jumuiya hii ilianzishwa nchini MOROCCO tarehe 21Agust 1969 AD, au 12 Rajab 1389 H,

*. Jumuiya hii ilianzishwa kutokana na mashabulizi ya ISRAEL yaliyofanywa dhidi ya nchi za kiarabu, na kutekwa kwa mji wa YERUSALEM,[ AL-QUDA], katika vikao viwili kile cha MOROCCO tarehe 25 september 1969, na kile cha mjini JEDDAH cha mwezi machi 1970 kiliweka maazio ya kuuteuwa kwa muda mji JEDDAH kuwa makao makuu ya muda ya OIC ambapo kikao hicho kiliazimia kuwa MAKAO MAKUU YA KUDUMU YA OIC YATAKUWA NI YERUSALEMU.

Moja ya kipaumbele kikuu na lengo kuu la kuasisiwa kwa OIC ni kuikomboa YERUSALEMU kutoka mikononi mwa ISRAELI pamoja na msikiti MTAKATIFU WA AL-AQSA ulio sehemu muhimu kwa imani ya kiislam kwani AL-AQSA ndiyo QIBLA cha kwanza cha waislam kabla hakijageukia AL-KAABA. hivyo yaliwekwa maazimio matatu muhimu,

1. kujijengea uwezo kwa kufanya yafuatayo. [a] kujenga mshikamano miongoni mwa waislam,
kujenga mashirikiano ya jamii nzima ya kiislam,
[c] kuupigania uislam kwa kulindamaeneo MATAKATIFU pamoja kulinda vitabu VITAKATIFU,

2. kuunganisha nguvu ili [a] kupigania sehemu TAKATIFU.
kuunga mkono harakati za WAPALESTINA KUJIKOMBOA,
3.Kufanya kazi kwa pamoja
[a] kuondoa ubaguzi miongoni mwa waislam na
kueneza dini na utamaduni wa kiarabu. nk.

ili kufanikisha azma na malengo ya jumuiya vilianzishwa vyombo mbalimbali vya kusimamia shughuli zote kulingana na vipaumbele husika, ili kuyafikia malengo hayo KIKAO KILIGUSIA maeneo haya. ELIMU, SIASA, UCHUMI na DINI , mambo haya yaliwekwa chini ya KATIBU MKUU ili kuhakikisha kuwa malengo yanafanikiwa
1-KUHAKIKISHA KUWA ZINAANZISHWA SHULE ZA KIDINI[MADRASSA ] zitakazo toa ELIMU ya DINI-SIASA kazi kubwa ya shule hizi ni kujenga uadui kati ya UTAWALA WA KIZAYUNI[ISRAEL ] uliolikalia kwa nguvu eneo takatifu la yerusalem ulipo mskiti wa AL-AQSA , mbinu hii imesaidia sana kwani baada vijana wengi kufunzwa katika MADRASA hizi za DINI SIASA[ UDINI] tumewashuhudia wakitamka hadharani kuwa UTAWALA WA KIZAYUNI UNAPASWA KUFUTWA KWENYE RAMANI YA DUNIA NA PALESTINA LIWE TAIFA HURU,

chini ya mwamvuli huu mara kadhaa tumewasikia wahubiri wadini ya kiislam kama vile ABOOD MOHAMEDY ROGO, ANWAR AL AWALAKI, ABU QATADA, na wengineo wakiwahamasisha vijana wa kiislam kwenda PALESTINA kuwapigania ndugu zao.
Kivuli hiki cha DINI SIASA kimeendelea kukua hasa pale mataifa ya MAGHARIBI kuonekana wakiingua mkono ISRAEL, mafundisho haya ya dini siasa sasa yanazigusa hata nchi hizi zinazoonekana kuwa ni washirika wa utawala wa KIZAYUNI,
katika mafundisho haya ya DINI SIASA yaliyoasisiwa na OIC yamefanikiwa kuzalisha makundi ya KIGAIDI na MISIMAMO MIKALI YA DINI-SIASA[UDINI] ndiyo maana nchi ambazo zilikuwa za mwanzo kujiunga na jumuiya hii kwa sasa zinakabiliwa na mfumuko wa siasa kali za udini,
UDINI ulionwa kuwa ndiyo njia pekee ya kuyayafikia malengo, yaani kuwafundisha vijana wa kiislam kuwa ADUI YAO NI YULE ANAYEWANYIMA HAKI YA KUWA NA YERUSALEM.
hapa ndipo yalipoanza madai ya kile kinachoitwa MFUMO KRISTO, yaani washirika wa utawala wa MAZAYUNI
unaowanyima haki waislam, kwa kutumia mbinu za hali ya juu za kutengeneza mazingira wamefanikiwa kuziteka nyoyo za wengi.

Madhumuni ni mamoja tuu, KUKUSANYA NGUVU NA KUIKOMBOA YERUSALEM ILI IWE NI MAKAO MAKUU YA OIC.
hata hapa kwetu mafundisho haya tayari yamekwisha kupenyezwa.

Uwakilishi wa Papa Tanzania ambao ni Mwiba Wenye Sumu Ndani ya Moyo wa Utanzania si tatizo. Mnalipua mabomu kisha mhalalishe madai kufutilia mbali madai ya OIC, Mahakama ya kadhi ambayo kimsingi ilikuwepo. Nia ni ileile kuwavuruga waislam kama ilivyofanyika kuvunjwa kwa EAMWS na sasa kwa chuki, ghilba uzandiki tumeanza kusakama taasisi ambayo Umoja wa Mataifa wanaitambua na ina nafasi, pia hata baadhi ya nchi zisizo za kiislam zinafaidika kwa hapa EA Uganda ni mojawapo. Halafu idots wanaongelea puani kama mashoga eti "Wanaotaka tz ijiunge oic wana akili timamu kweli?" In Tanzania this is a controversy of church as state. Kamuulize M-embe alivyofungwa mdomo si kwa maslahi ya nchi bali kwa maslahi ya RC......:tongue::disapointed:
 
Tatizo mliko wapi? hulioni mku wangu..ebu soma kipande hiki.

Kwanza Tanzania ilikuwa inatawaliwa na Mjarumani na ndio waloyajenga hayo Mahospital na Shule nchini sio wakristu Watanzania na ndio sababu mojawapo kubwa ya kutaifishwa mali zile na Nyerere ziwe za wananchi. Hilo kwanza liweke kichwani..

Sasa inapofikia serikali yetu imekaa na wakristu wa nchini kufikiria KUZIRUDIA mali hizo kwa rightful owner unadhani karudishiwa nani Mjarumani. Hapa Mbwa mwitu nani?. Jamani acheni hizi chokochoko na kutetea dini zenu wakait mnajua fika tunaliwa..

Na kupitia serikali kutupa mikopo ambayo wananchi wote wanachangia kwqa kodi zao na wanalipa ada na gharama za tiba. Sasa kilichobakia sisi kutawaliwa na Ujarumani kipi? ikiwa maendeleo ya Mtanzania yataanza na ELIMU na AFYA maana pasipo vitu hivyo hafuta UMASKINI..
kwa hiyo ilitawaliwa na wajerumani na si "German Churches" au ukiongelea ukoloni una maanisha utawala wa kanisa?
 
Back
Top Bottom