OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

Nadhani kuna mtu ameshauliza hili...Hivi ni nchi gani za africa zenye mahusiano na OIC na zimenufaika vipi kwa kuwa mwanachama wa OIC? Wenye facts...
 
Sasa mkuu kama malengo ya oic ni kukomboa msikiti wa al aqsa kuna ubaya gani ..?? ...
 
Nadhani kuna mtu ameshauliza hili...Hivi ni nchi gani za africa zenye mahusiano na OIC na zimenufaika vipi kwa kuwa mwanachama wa OIC? Wenye facts...

Scholarships na sponsorship nafasi za masomo .. katika nchi wanachama... Ama college nyingine yeyote! Uganda wanafaidika hilo Tanzania wanetugaia nafasi ya kusoma Turkey .. though bachelor tu! Sababu si wanachama..

Ni kama unavyoona uhusiano wa Tanzania na China katika swala zima la elimu
 
Scholarships na sponsorship nafasi za masomo .. katika nchi wanachama... Ama college nyingine yeyote! Uganda wanafaidika hilo Tanzania wanetugaia nafasi ya kusoma Turkey .. though bachelor tu! Sababu si wanachama..

Ni kama unavyoona uhusiano wa Tanzania na China katika swala zima la elimu
Hizo nafasi ni kwa waislamu tu au hata wakatoliki kama akina siye tunaweza kupata nafasi??
 
Hizo nafasi ni kwa waislamu tu au hata wakatoliki kama akina siye tunaweza kupata nafasi??

Tena wakatoliki ndio tunawapa kipa umbele ili waujuwe ukweli, kuwa ukatoliki siyo dini ni ushetani, na ushahidi upo! nikuwekee?
 
Tena wakatoliki ndio tunawapa kipa umbele ili waujuwe ukweli, kuwa ukatoliki siyo dini ni ushetani, na ushahidi upo! nikuwekee?
Sasa mbona unatoka nje ya mada? Kama Ukatoliki ni ushetani basi peleka vithibitisho vyako jukwaa la dini na watu watajadili. Sisi hata ukituambia ni mashetani, tunajionyesha kwa matendo yetu...
 
Kuna nchi nyingi hapa duniani zimejiunga na oic na wala hakuna matatizo,kwanini watanzania mna chuki? Acheni oic iwanufaishe watanzania hasa wananchi maskini
Umasikini wa akili ni kitu kibaya sana. Huyu kama JK bado wanaota ndoto za kusaidiwa, kusaidiwa, kusaidiwa. Halafu mnawasumbua akina Marehem Matonya na jamii yake. Karne hii bado mpo kwenye njozi za kuomba misaada? Mmekuwa taifa la tatu duniani kwa kupewa misaada mingi, wakati hakuna janga lolote wala vita, huo umasikini umeisha? Umasikini unaletwa na wewe, JK, na wajinga wengine wengi msiojitambua kwamba ni wanadamu kamili, wenye akili na uwezo wa kujiondolea matatizo yenu kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Kwa akili za kijinga za kudhani kwamba OIC ni mjomba atakayewaletea utajiri na matumaini ya maisha kwa watu masikini, ama kuna watu wengine mahala fulani duniani walio tayari kuwamegea utajiri wao ili mfanane nao, basi ninyi hamna tofauti na mfu. Sisi ni binadam kamili wenye fikra kamili na sahihi, hao mnaokimbilia kuomba omba kwao wapo kama ninyi kwa kila kitu, tofauti tu ni kwamba wao wamewahi kujitambua. Leo tunanunua sehemu kubwa ya mahitaji yetu toka china, wakati tunapata uhuru walitugroup pamoja, leo ni taifa la pili kwa uchumi mkubwa duniani, taifa la tatu kwa nguvu za kijeshi. Sisi tumebaki kutegemea wafadhili weeeeeee. Aibuuuuuuu
 
Islamic Community popote duniani wana malengo sawa ya Kuisilimisha Dunia yote iwe chini ya Kitabu chao kitakatifu sana kuliko vyote duniani kiitwacho Koran. Malengo yao yanatakiwa yaenee kwa njia yoyote ile ijulikanayo kama Jihad ambayo si zaidi ya Hate Speech zitolewazo kila Ijumaa na Mihadhara yao inayozaa Vurugu, maandamano na Uharibifu wa mali na hofu kama tulivyoona hapa Tanzania. Hatuhitaji tena kuambiwa zaidi kuhusu Dini hii kwa sababu tumeshajionea RANGI HALISI YA RELIGION OF PEACE. Dini pekee duniani inayoua wasiokuwa Waislamu na Waislamu wakisali kama inavyotkea huko Pakstan, Nigeria na Somalia in the name of ALLAH. Dini yenye Majeshi yanaowapiga Risasi hata wasichana wadogo wanaoomba tu heshima ya msingi katika kujiendeleza kielimu kama Malala aliyepigwa Risasi na TALIBAN mwezi huu. Msichana ambaye hakuwa na silaha zaidi kuomba Wanawake kupatiwa haki za Msingi kama Elimu. Tanzania ni nchi isiyo na Dini wala kuongoza kwa Mfumo wa wowote wa Dini zinazofuatwa na watu wake. Hatuna haja ya kuwa wanachama wa Taasisi zenye Malengo bayana ambayo baadaye tukujakujutia. Tuokoe kizazi cha sasa na kijacho na Hate Speech na Jihad inayohubiriwa na Taasisi kama hii.
 
Hizo nafasi ni kwa waislamu tu au hata wakatoliki kama akina siye tunaweza kupata nafasi??

Algeria kila mwaka wanakwenda wanafunzi wa dini mbali mbali.. usiogope kuomba...! ...

pia hawahawa waturuki wanamiliki feza schools je zile shule wanasoma waislam peke yao..?

 


Algeria kila mwaka wanakwenda wanafunzi wa dini mbali mbali.. usiogope kuomba...! ...

pia hawahawa waturuki wanamiliki feza schools je zile shule wanasoma waislam peke yao..?


Okey dokey...
 
peke yako ndo utakuwa huna akili, OIC ni kama Ukatoliki na mikataba ya kipapa na Israel, sasa kama nanyi hamtaki waislamu wawe na OIC basi Nanyi mjiandae kufuta mikataba ya kipapa, nchi iwe haina mashikamano ya aina yoyote kidini. lkn kupigia kelele suala la OIC hasa kwa propaganda za usingizini ni kutaka kutega bomu ambalo siku likilipuka hakuna wa kunusurika Mkuu. kuwa na busara usikoment kwa mihemko ya kidini, nchi ni yetu sote, unachihisi wewe unastahili basi kumbuka na mwenzie naye anastahili hichox2/.
I think tatizo ni ELIMU! Hivi mzee mpaka leo hujui tofauti ya hiyo unayoiita mikataba ya mapapa na kujiunga na OIC? Hivi hiyo mikataba ya mapapa imesainiwa kinchi au kikanisa? Kwani kuna mtu amewakataza nyinyi kama BAKWATA AU UAMSHO kujiunga? Kama serikali inamikataba na ISRAEL ni kwasababu israel ni nchi sio jumuiya! Ni kama unavyoona serikali inamahusiano na wapendwa wenu WAIRAN hakuna tatizo hapo!Lakini NCHI KUJIUNGA NA JUMUIYA YA OIC (uamsho wa kimataifa) no way brother! forget about it! Mtachoma makanisa mpaka mchoke lakini haitatokea coz HII NI NCHI YETU SOTE!
 


Algeria kila mwaka wanakwenda wanafunzi wa dini mbali mbali.. usiogope kuomba...! ...

pia hawahawa waturuki wanamiliki feza schools je zile shule wanasoma waislam peke yao..?



tunazungumzia OIC na siyo Turkey
 
Serikali imewahi kutamka kuwa imefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa hakuna madhara kwa tanzania kujiunga na oic kwa hiyo tuache uchadema na kejeli za kijinga humu ndani

Mbona haijajiunga?
Usiwe kama dudu washa wewe.
 
I think tatizo ni ELIMU! Hivi mzee mpaka leo hujui tofauti ya hiyo unayoiita mikataba ya mapapa na kujiunga na OIC? Hivi hiyo mikataba ya mapapa imesainiwa kinchi au kikanisa? Kwani kuna mtu amewakataza nyinyi kama BAKWATA AU UAMSHO kujiunga? Kama serikali inamikataba na ISRAEL ni kwasababu israel ni nchi sio jumuiya! Ni kama unavyoona serikali inamahusiano na wapendwa wenu WAIRAN hakuna tatizo hapo!Lakini NCHI KUJIUNGA NA JUMUIYA YA OIC (uamsho wa kimataifa) no way brother! forget about it! Mtachoma makanisa mpaka mchoke lakini haitatokea coz HII NI NCHI YETU SOTE!
ukiongea na mtu ambae haelewi au ana mihemko ya itikadi fulani basi itaonekana kama mnabishana na sio kuelimishana, tatizo ninaloona kwako ni ubinafsi wa itikadi uliyoishikilia. na unajifanya wewe ni serikali hadi kutoa maamuzi ambayo yapo nje ya uwezo wako, nikuulize misaada inayoletwa na papa kuja tanzania inasaidia watu gani>? kama sio makanisa, na hiyo misaada hailipiwi kodi kumbuka lkn wenzenu wanalipa kodi bado hapo mnapata hela kutoka serikalini regardless na kusamehewa kodi, hiyo fursa ya misaada kutoka kwa waislamu wenzao ndo waislamu wameikosa kutokana na ubinafsi wenu. sitaki kuongea sana kwa sababu naitakia nchi yangu aman lkn huku kujifanya ninyi mna haki ya kupata hayo, na waislamu hawastahili kwa sababu mmewabana hadi kwenye katiba na kisera halafu mnawabeza etu hawana elimu, huu ndo ufa mkubwa sana ninauona ktk aman ya nchi yetu na usipozibwa basi juhudi zote zitakuwa ni bure, bado waislam wawe na subira kupambana na uonevu huu.
 
Na wewe pia una tatizo la uelewa, kama mikataba uliyoitaja inahusiana na mahusiano baina ya taasisi za kidini hakuna shida, na kama waislamu watatafuta mechanism itakayowafanya wanufaike na misaada inayosemwa wao kama waislamu pia si tatizo nionavyo. Shida ni pale suala na OIC linapotakiwa llijadiliwe kama suala la kitaifa ilhali suala lipo wazi kabisa kwamba OIC ipo kwa ajili ya maslahi ya waislamu na uislamu!
kwani papa yupo kwa ajili waislamu au ukiristo? ni wazi yupo kwa ajili ya ukiristo na wakiristo, na misaada inayoletwa kupitia balozi wa papa nchini hapa inaenda makanisani na siyo misikitini, sasa unataka kunifanya niamini nchi hii ni ya kikiristo na uislamu waislamu hawana nafasi kimataifa kama walivyo wakiristo.
 
oic, mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.

Jumuiya ya nchi za kiislam oic[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,

jumuiya hii ilianzishwa nchini morocco tarehe 21agust 1969 ad, au 12 rajab 1389 h,

*. Jumuiya hii ilianzishwa kutokana na mashabulizi ya israel yaliyofanywa dhidi ya nchi za kiarabu, na kutekwa kwa mji wa yerusalem,[ al-quda], katika vikao viwili kile cha morocco tarehe 25 september 1969, na kile cha mjini jeddah cha mwezi machi 1970 kiliweka maazio ya kuuteuwa kwa muda mji jeddah kuwa makao makuu ya muda ya oic ambapo kikao hicho kiliazimia kuwa makao makuu ya kudumu ya oic yatakuwa ni yerusalemu.

Moja ya kipaumbele kikuu na lengo kuu la kuasisiwa kwa oic ni kuikomboa yerusalemu kutoka mikononi mwa israeli pamoja na msikiti mtakatifu wa al-aqsa ulio sehemu muhimu kwa imani ya kiislam kwani al-aqsa ndiyo qibla cha kwanza cha waislam kabla hakijageukia al-kaaba. Hivyo yaliwekwa maazimio matatu muhimu,

1. Kujijengea uwezo kwa kufanya yafuatayo. [a] kujenga mshikamano miongoni mwa waislam,
kujenga mashirikiano ya jamii nzima ya kiislam,
[c] kuupigania uislam kwa kulindamaeneo matakatifu pamoja kulinda vitabu vitakatifu,

2. Kuunganisha nguvu ili [a] kupigania sehemu takatifu.
kuunga mkono harakati za wapalestina kujikomboa,
3.kufanya kazi kwa pamoja
[a] kuondoa ubaguzi miongoni mwa waislam na
kueneza dini na utamaduni wa kiarabu. Nk.

Ili kufanikisha azma na malengo ya jumuiya vilianzishwa vyombo mbalimbali vya kusimamia shughuli zote kulingana na vipaumbele husika, ili kuyafikia malengo hayo kikao kiligusia maeneo haya. Elimu, siasa, uchumi na dini , mambo haya yaliwekwa chini ya katibu mkuu ili kuhakikisha kuwa malengo yanafanikiwa
1-kuhakikisha kuwa zinaanzishwa shule za kidini[madrassa ] zitakazo toa elimu ya dini-siasa kazi kubwa ya shule hizi ni kujenga uadui kati ya utawala wa kizayuni[israel ] uliolikalia kwa nguvu eneo takatifu la yerusalem ulipo mskiti wa al-aqsa , mbinu hii imesaidia sana kwani baada vijana wengi kufunzwa katika madrasa hizi za dini siasa[ udini] tumewashuhudia wakitamka hadharani kuwa utawala wa kizayuni unapaswa kufutwa kwenye ramani ya dunia na palestina liwe taifa huru,

chini ya mwamvuli huu mara kadhaa tumewasikia wahubiri wadini ya kiislam kama vile abood mohamedy rogo, anwar al awalaki, abu qatada, na wengineo wakiwahamasisha vijana wa kiislam kwenda palestina kuwapigania ndugu zao.
Kivuli hiki cha dini siasa kimeendelea kukua hasa pale mataifa ya magharibi kuonekana wakiingua mkono israel, mafundisho haya ya dini siasa sasa yanazigusa hata nchi hizi zinazoonekana kuwa ni washirika wa utawala wa kizayuni,
katika mafundisho haya ya dini siasa yaliyoasisiwa na oic yamefanikiwa kuzalisha makundi ya kigaidi na misimamo mikali ya dini-siasa[udini] ndiyo maana nchi ambazo zilikuwa za mwanzo kujiunga na jumuiya hii kwa sasa zinakabiliwa na mfumuko wa siasa kali za udini,
udini ulionwa kuwa ndiyo njia pekee ya kuyayafikia malengo, yaani kuwafundisha vijana wa kiislam kuwa adui yao ni yule anayewanyima haki ya kuwa na yerusalem.
Hapa ndipo yalipoanza madai ya kile kinachoitwa mfumo kristo, yaani washirika wa utawala wa mazayuni
unaowanyima haki waislam, kwa kutumia mbinu za hali ya juu za kutengeneza mazingira wamefanikiwa kuziteka nyoyo za wengi.

Madhumuni ni mamoja tuu, kukusanya nguvu na kuikomboa yerusalem ili iwe ni makao makuu ya oic.
Hata hapa kwetu mafundisho haya tayari yamekwisha kupenyezwa.



usisahau kutuletea na habari kuhusu ubalozi wa vatican hapa tanzania na msaada wake kwa jamii ya wasiokuwa wakatoliki
 
Nadhani kaka bado kunatatizo la kimsingi la kutoelewa nilichoainisha! Vatican kutoa misaada ambayo hailipiwi kodi hilo si tatizo la UKRISTO. Ni serikali ilitoa ruhusa kwa vyombo vya kidini vinavyotoa huduma kwa UMMA kupata huo msamaha! Rais wetu mpendwa ambaye pia ni MUISLAM MZURI KAMA WEWE, kwenye moja ya hotuba zake pale dodoma wakati alipokataa hoja yetu ya mahakama ya kadhi, alitoa ufafanuzi mzuri tu kwa kuwaambia waislam hata wao wanaruhusiwa kupata hiyo misamaha hivyo waitumie ipasavyo lakini iwe kwa ajili ya kusaidia huduma za msingi kama afya na elimu. Hiyo misamaha unayoiimba kaka ni kwa ajili ya huduma za hospitali na elimu ambapo at the end of the day tunatmia wote (waislam,wakristo, na wasio na dini). Sasa cha kushangaza nyinyi wenzetu mnataka ifutwe badala ya nyinyi pia kutumia fursa! HIVI HAO WANAOPIGA KELELE WANAUELEWA ZAIDI KULIKO MHESHIMIWA RAIS AMBAYE PIA NI MUUMIN NA MWANAZUONI? TAFAKARI KAKA HAPO KUNA AGENDA NYINGINE YA HAO WASIOISHA MALALAMIKO!
 
Back
Top Bottom