OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

Unajua kwanini hiyo jumuiya ilianzishwa na malengo yake yalikuwa nini?



Swali hili si mtoa mada kashalielezea hapo juu,sasa kama malengo yake ni kuipiga vita Israel kama nilivyomuelewa mimi,sasa sisi ambao hatufungamani na upande wowote ugomvi wetu na Israel ni upi...
 
Umeshawahi kujiuliza kwanini Tanzania haina ubalozi wa Israel wakati ubalozi wa Palestina upo?
 
Umeshawahi kujiuliza kwanini Tanzania haina ubalozi wa Israel wakati ubalozi wa Palestina upo?


Na mimi nimekuuliza ugomvi wetu na Israel ni upi mpaka tusiwe na ubalozi nao na tuwakumbatie wapalestina...na usisahau kuwa Inteligensia yote iliyotusaidia kumshinda Amin mwaka 1979 ilikuwa ni ya waisrael lakini baada ya hapo tukavunja uhusiano nao..Wametukosea nini hawa watu mpaka tufikie kujiunga na watu ambao lengo lao ni kuwafuta Israel duniani..??
 
Serikali imewahi kutamka kuwa imefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa hakuna madhara kwa tanzania kujiunga na oic kwa hiyo tuache uchadema na kejeli za kijinga humu ndani


Umechangia vizuri kwa kutanabaisha kauli ya serikali kuhusu mtizamo wake juu ya OIC

Ila umepotoka ulipo sema : Uchadema. Haikuwa thread ya vyama sasa sijui umeingizaje chadema hapa. Au kuna watu muda wote vichwani wanasumbuliwa na mzimu wa Chadema? Take care rafiki otherwise hata mkeo akikuudhi utajikuta unamdokea " sitaki uchadema hapa nyumbani kwangu" teh teh teh... ... ...

Ila si ajabu unaitwa T2015ccm umejitambulisha vizuri. yamkini ndio kazi uliyojitolea au umetumwa kuifanya humu. But think of relevance unapochomeka hoja zako za chuki dhidi ya CHADEMA. vinginevyo utaonekana kituko upochanganya njegere na gololi
 
Wanaotaka tz ijiunge oic wana akili timamu kweli?
peke yako ndo utakuwa huna akili, OIC ni kama Ukatoliki na mikataba ya kipapa na Israel, sasa kama nanyi hamtaki waislamu wawe na OIC basi Nanyi mjiandae kufuta mikataba ya kipapa, nchi iwe haina mashikamano ya aina yoyote kidini. lkn kupigia kelele suala la OIC hasa kwa propaganda za usingizini ni kutaka kutega bomu ambalo siku likilipuka hakuna wa kunusurika Mkuu. kuwa na busara usikoment kwa mihemko ya kidini, nchi ni yetu sote, unachihisi wewe unastahili basi kumbuka na mwenzie naye anastahili hichox2/.
 
Haijasomeka. Mada za udini zinakuwa ngumu kuchangia wewe? hasa kwa wale tunaoamini katika utanzania na siyo udini kama wewe.

Una utanzania gani usieweza kuelewa mambo yanayohusu mustakabali wa tz? Haijasomeka kwako
 
Mh. Moh'd Raza, Mwakilishi wa jimbo la Uzini (CCM) Zanzibar anaona manufaa tele na faida kubwa kwa Zanzibar au hata Tanzania kujiunga na OIC na kuwa suala hili pia ni kero ktk masuala ya Muungano kwani madhumuni ya Zanzibar kuwa mwanachama OIC ni suala la NJAA na siyo DINI endele kusikiliz hoja zake ktk Baraza la Wakilishi:



tuyakague kwanza manufaa ya somalia
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi mkuu huna sababu ya kushambullia hata wasiohusika kwenye maada kama chadema! Hii ndio inawafanya watu wawaone hamna hoja za msingi zaidi ya chuki zenu za udini mlizopandikiziwa na CUF! Swala lipo wazi mtoa maada ameonyesha malengo (objectives) ya IOC tena kizuri zaidi ametafsiri kwa lugha yetu ya kiswahili hivyo naamini kila mtu ameelewa. Malengo yote yanauhusiano wa mojakwa moja na KUUTETEA UISLAM NA KUHAKIKISHA USTAWI WA UISLAM DUNIANI! Haiihitajiki PhD KUELEWA HIZI OBJECTIVES! swali ni kwamba kuna watu sio waislam na hawakubaliani na hayo malengo ambayo kwa namna moja au nyingine yanapingana na IMANI ZAO PIA:Sasa inawezekana vipi nchi ijiunge kwenye jumuia ambayo ipo KUUKUZA UISLAM WAKATI SISI WENGINE NI BANIANI? Why OIC na sio jumuiya nyingine nyingi tu ambazo bado TZ haijajiunga? Why JUMUIA HII TU NDIO INAPIGIWA KELELE TENA NA WAISLAMU? The answer is simple, ni jumuia yaenye maslahi na waislamu ndio maana wanapigania ili nchi nzima ijiunge! Hivi mkuu kunahitajika uchunguzi wa serikali kujua malengo ya OIC? Siunajua kusoma, simply google na usome basi! Its IMPOSSIBLE FOR NON MUSLIM TO BE PART OF ISLAMIC STRATEGIES ! Most of times utasikia oooh mbona Kenya sijui na nchi gani zimejiunga! Hao ni kenya na sisi ni TZ! Sio kila lifanywalo kenya hata kama ni nonsense we are supposed also to do the same! Lets stick to the objectives of OIC! Are they really make sense for non-muslim community? If not why are you forcing other people to agree with you even if it doesnt make sense? MKIAMBIWA MNAMALENGO YA KUISILIMISHA TZ NA DUNIA KWA UJUMLA MNAKATAA; INGAWA HUO NI UKWELI KWA MUJIBU WA IMANI YENU ; LAKINI MATENDO YENU YANAPINGANA NA MANENO YENU NA HILI LINATHIBITISHA AGENDA YA UDINI MLIYONAYO! Why always you talk as MUSLIMS and not Tanzanians? Tunapojadili masuala ya nchi sisi ni watanzania lakini nyinyi wenzetu always mnataka tucheze MUZIKI WA DINI YENU even when it doesnt make sense!

HESHIMA KWAKO MKUU, kama haelewi na hapa hatokaa aelewe milele Amina.
 
I think there is serious problem the ways Africans are arguing in ISSUES! WHAT MAKES OIC AN ISLAMIC ORGANIZATION ARE ITS OBJECTIVES AND NOT WHAT YOU ARE TRYING TO PIRATE HERE IN JF ; SIMPLE LIKE THAT! You simply need to know how to read to understand that, it is for ISLAM WELL BEING full stop! Sometimes i am really surprised why people are trying to defend OIC, and even trying to convince us that it's not religious organization while its objectives are openly religious! Why dont you convince OIC to change its objectives first before convincing us? YOU NEED TO MAKE US BLIND FIRST TO AGREE WITH YOUR AGENDA!


ORGANISTION of ISLAMIC...... (who is ISLAM if not MUSLIMS)
 
Mtoa uzi umesomeka! Uzi wako ni darasa tosha kama ilivyo kawaida ya jf. Mwenye kumeza ameze na mwenye kutema ateme!
 
peleka ujumbe huu kwa watanzania wenye mapenzi mema na Taifa letu :majani7:
 
peke yako ndo utakuwa huna akili, OIC ni kama Ukatoliki na mikataba ya kipapa na Israel, sasa kama nanyi hamtaki waislamu wawe na OIC basi Nanyi mjiandae kufuta mikataba ya kipapa, nchi iwe haina mashikamano ya aina yoyote kidini. lkn kupigia kelele suala la OIC hasa kwa propaganda za usingizini ni kutaka kutega bomu ambalo siku likilipuka hakuna wa kunusurika Mkuu. kuwa na busara usikoment kwa mihemko ya kidini, nchi ni yetu sote, unachihisi wewe unastahili basi kumbuka na mwenzie naye anastahili hichox2/.

Na wewe pia una tatizo la uelewa, kama mikataba uliyoitaja inahusiana na mahusiano baina ya taasisi za kidini hakuna shida, na kama waislamu watatafuta mechanism itakayowafanya wanufaike na misaada inayosemwa wao kama waislamu pia si tatizo nionavyo. Shida ni pale suala na OIC linapotakiwa llijadiliwe kama suala la kitaifa ilhali suala lipo wazi kabisa kwamba OIC ipo kwa ajili ya maslahi ya waislamu na uislamu!
 
msamehe kwa kuwa hajui asemalo ila ujumbe ameupata :majani7:
 
Back
Top Bottom