Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Mwingamba atakuwa anahusika, anaroho mbaya sana huyo jamaa. MM2 na MM3
hata aibu huna mnachoma wenyewe ili mkae kwenye news halafu mnasingizia wengine.......silly comment
 
Inamaana kuna sharia ya Nchi inayosema ukiwa MCHAGGA haustahili kuwa kiongozi wa chama cha siasa?Au ndiyo sababu CCM kwenye safu yenu yauongozi hakuna Wamasai,Wachagga,wala wabarbeig ni sababu ya kuwabagua watu wa kaskazini?Msipende kupotosha umma huwa mnaudhi sana hata tusiopenda kuwajibu inafika mahali unawajibu sababu mnawabagua watanzania.Mchagga akiwa CCM sawa akiwa CHADEMA mhaini.Tukubali upinzani wenye afya kwa mustakabali wa nchi yetu tuache propaganda za kututenganisha

walikuwa wakisema wakaskazini ,nadhani sasa wamejua kuwa sasa wapende wasipende Lowasa asihusishwe....

Najua inaogopesha km ilivyokuwa kwa wayahudi ,ila pia napenda kwani the more hawa watu wanalaani uzao wao kwa kuwafundisha kwa nguvu kuwa wachaga ni super race the more tunaondokana na watu wa aina ya akina Kapuya...,Zitto na uchafu mwingine ambao wakipata elimu kidogo,hawafikiri kuwakomboa wengine ila kuwatawala wengine.In fact watapewa sana hela ila baada ya mzunguko mmoja tuu..wote watakuwa wamezila vyema na kufanya kazi za kupewa ....zilzio nje ya uwezo wao.Na hivyo kuwarudisha nje
 
Mkuu you are alienating your self from the truth.
CHADEMA ikikubali kuwa imekosea na kujirudi, la sivyo majanga yanayoendelea yatazidi kuwaandama.
Mtu mwite gaidi, mhaini, msaliti au anatumiwa na chama tawala, hilo halitawasaidia sana maana mtazidi kuzaa hao mnao wachukia.
Hata mwana CHADEMA wa kawaida anajionea na kufikirikwa kichwa chake kwa yale anayoyaona.

Mmeambiwa time and again kuwa dhambi ya ubaguzi itawaangamiza mlifikiri ni utani, sasa mnajionea kwa macho yenu, viongozi wenu wanajiuzulu in drones.

The maxim to draw from reality is , in politics consensus in the ruler of all ills.

ubaguzi upi aisee..?
 
Kwa Matusi na Ubaguzi wanaopata Wachagga kutoka CCM, kama kuna Mchagga ambaye anayeendelea kuwa CCM, huyo nitamwona ni mtu wa ajabu sana! Nyie Wachagga tuliokuwa tunawaheshimu katika taifa hili leo mnakubali vipi kuendelea kudhalilishwa na hawa Ma-CCM halafu bila aibu wewe Mchagga unayesoma hapa ukaendelea kuishabikia CCM, kisa ni tumbo lako tu upate hela ya kitochi? Unanishangaza sana!
 
huu ni uzushi mtupu, ujinga na upuuzi wa michadema. Mparurane wenyewe huko then msingizie ccm, eti vijana wa ccm wamuunge mkono zito, kwa lipi? Malizeni migogoro yenu acheni ujinga.

mama mbona povu au umemeza omo...
 
hata aibu huna mnachoma wenyewe ili mkae kwenye news halafu mnasingizia wengine.......silly comment

hahaha kuna fazeti tanzania lisiandike chadema halafu liuze hata copy mia.
!?
 
Tundu lissu naye ni popo tu hana lolote. Kwanza akili yake ni ya kukodi

akili ya Tundu Lisu hata ukachukua akili ya nama yako, baba, shanganzi, wakomba, na takataja eote kwenye ukoo wenu hata robo hammufikii..
 
huu ni uzushi mtupu, ujinga na upuuzi wa michadema. Mparurane wenyewe huko then msingizie ccm, eti vijana wa ccm wamuunge mkono zito, kwa lipi? Malizeni migogoro yenu acheni ujinga.

ujinga na upuuzi wa mama yako...tunajua mipango yenu lakini kwa chadema mmedunda tutafukuza wote mnaowanunua..
 
Chadema wanatafuta sympathy kwa nguvu!!!

Hivi kwanini Chadema ina ofisi Arusha lakini Singida haina ofisi?

hata mlipo tulipua kwa mabomu na risasi za Mwigulu nchemba mlitukejeri hivi hivi..
 
Cdm hata ukimbana mtu kwenye daladala utaitwa ccm. Ofisi imeungua badala ya kuchunguzana wenyewe kwanza unasikia hii ni mipango ya ccm.

Nakumbuka ofisi fulani mjini iliungua ndani kama ya cdm arusha lakini badala ya kutafuta watu wa nnje bosi wa pale aliagiza mkuu wa kitengo na wasaidizi wake wakamatwe na baada ya mateso mmoja wao alikiri kupoteza nyaraka alizokwishaiba hela. Cdm inawezekana ni makusudi ma uongozi wa juu unafahamu kinachoendelea, au viongozi wa ofisi husika au ujanja wa kutafuta huruma, au ccm au wahuni. Tafakari kisha chukua hatua
 
Kwa Matusi na Ubaguzi wanaopata Wachagga kutoka CCM, kama kuna Mchagga ambaye anayeendelea kuwa CCM, huyo nitamwona ni mtu wa ajabu sana! Nyie Wachagga tuliokuwa tunawaheshimu katika taifa hili leo mnakubali vipi kuendelea kudhalilishwa na hawa Ma-CCM halafu bila aibu wewe Mchagga unayesoma hapa ukaendelea kuishabikia CCM, kisa ni tumbo lako tu upate hela ya kitochi? Unanishangaza sana!
Tunapo sema cdm ni ya wachaga na wakaskazini hatumaanishi wachaga na wakaskazini wote ni cdm lakini huo uchaga na ukaskazini na ukiristo ndio mfumo na ajenda ya siri ya mtei na mkwewe mbowe ukiangalia cdm tokea afe bob na kiti kukaliwa na mbowe unaikuta hii ajenda mtei na mbowe hawako tayari kuachia hichi kiti akalie mtu mwengine mfano chacha wangwe na zzk uchaguzi ulio pita mizengwe na purukushani alizokutana nazo na ukiangalia uchaguzi huu unaokuja na mizengwe na kashfa na tuhuma alizo pandikiziwa zzk na jinsi zilivyo shughulikiwa.utaona ukweli wa shutuma hizi za uchaga na ukaskazini na udini zinavyo fanikiwa ktk kambi ya mtei na mbowe.inaskitisha kuona uteuzi mwingi wa viongozi wakuu wa cdm unaenda kwa watu wa kili na wakiristo hapa ndio panapo tisha na ndio panapo toa mwanya wa watu kuthibitisha ukabila na udini wenu. Inashangaza na kuhuzunisha kuona cdm mpaka leo hii hawana ofisi ya mkoa singida wanatumia varanda ya nyumba ya mtu kama ofisi ukiona mbio za cdm na ukimuona lisu na mnyika na mbowe mule bungeni na ukimuona slaa na lema, sugu, msigwa kwenye majukwaa wanavyo ishambulia ccm kwa ubaya na kukosa uadilifu..Halafu leo unaambiwa cdm hawana ofisi ya mkoa wa singida km zisizo zidi 300 kutoka arusha kwa lema na slaa na karibu na kili kwa mtei na mbowe nijambo la aibu kubwa na hawana sababu ya kuishambulia ccm kama wao wameshindwa kukodisha nyumba ya ofisi tu wanathubutu vipi kuishambulia ccm kukosa waalimu wazuri ktk shule na mengi yanao hitajika.
 
Chadema viongozi wa juu wanaviashiria vya udini na ukabila wafuasi tuwe makini
 
we mbulula kweli rafki yangu, kumbe wamekopa? si zitarudi sasa, kilaza sana wewe mi nilidhani wameiba kumbe ni mkopo? serikali ya ma CCM inakopa sembuse katibu mkuu na mh lemma? leta hoja myingine acha wenge jombii
rafki yangu wa arachuga hata maana ya utawala bora hujui
 
Hivi nyakaraka hizo zinatunzwa ofisi ya Arusha...hata hivyo mbona mahesabu yashapelekwa kwa CAG na nakala kupelekewa Msajili wa vyama. Hapa natembea na facts siyo uzushi.
rafiki yangu hushtuki kwanini walihitaji kutonywa?
 
Back
Top Bottom