Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ni kweli kabisa chabruma..

Sasa tatizo ni nin??

Unajua kuna kipindi taifa lilikuwa linawategemea sana hawa jamaa?

Sasa wamekubwa na nin??

Yan siamin kama hki chama kinakufa kwa style hii chabruma

Kama nikipewa kazi ya kufanya research ili nitabili uhai wa chama, basi wala hakuna sababu za sample ya watu kweny research yangu,najifungia ndani siku, siku ya tatu nakuja na majibu.
Hiki chama tayari kishakufa, wenye akili wameshaanza kuondoka mapema, misukule bado ipo ipo
 
Imechomwa au imeungua?

Imechomwa mkuu..................... halafu imagine moto ukazima wenyewe.

Tunaposema CHADEMA ni Mpango wa Mungu siyo maneno ya kubezwa kabisa.

CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU!
 
Unajitekenya mwenyewe...................... CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU................ tutavuka haya mazingaombwe zenu
 
Ile ni ya kijiji, unajuwa Dodoma kinaendelea nini?

JENGO JIPYA LA CCM DODOMA LITAKAPOKWISHA!! KUDUMU CCM!!!

Msamehe huyo anayebishana na wewe, hajajua kuwa uelewa wa mambo ya kisiasa na kijamii ni mdogo sana kama walivyo wana-ccm walio wengi.
 
Lema akamatwe haraka sana,

Na nyinyi arusha nani aliwashikia akili hadi mkamchagua mbunge anaewaletea mabalaa kama huyo??

Msifanye makosa hayo 2015,kiambien chama chenu kisimamishe mgombea mwenye weledi wa kuongoz jimbo hilo,na sio mbumbumbu kama lema
Acha ujuha tunajua tufanyacho hadi tukamcagua lema. Ulitaka tuchague CCM ?
 
Isee sasa ndo yamekuwa haya?? Kwa mwendo huu atajulikana tu alierusha bomu kwenye mkutano
 
Kama nikipewa kazi ya kufanya research ili nitabili uhai wa chama, basi wala hakuna sababu za sample ya watu kweny research yangu,najifungia ndani siku, siku ya tatu nakuja na majibu.
Hiki chama tayari kishakufa, wenye akili wameshaanza kuondoka mapema, misukule bado ipo ipo
Si ulizoea kufanya tafiti kwa kupika data, utaendelea hivyohivyo na ujinga wako. Kweli leo nimeamini kuwa kushabikia CCM sio tu unahitaji kuwa na njaa, uchizi pia
 
Imechomwa mkuu..................... halafu imagine moto ukazima wenyewe.

Tunaposema CHADEMA ni Mpango wa Mungu siyo maneno ya kubezwa kabisa.

CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU!

Toa bangi zako hapa... Mpango wa Mungu yupi! Wabaguzi wakubwa nyie
 
Wahuni hao watakamatwa wote mungu yuko kazini tumeanza na mungu tumemaliza na mungu chama kama cdm haiko kwenye ofisi cdm iko ndani ya mioyo ya watanzania nawapa pole wahuni hao kwa upuuzi waliofanya wakajipange upya wahuni hao magamba tuko imara klko wanavyo waza wao aluta contunua makamanda haturudi nyuma tutasonga mbele daima
 
Imechomwa mkuu..................... halafu imagine moto ukazima wenyewe.

Tunaposema CHADEMA ni Mpango wa Mungu siyo maneno ya kubezwa kabisa.

CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU!

.,uSILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO.....
CHADEMA MNAJILOGA WENYEWE..
 
Imechomwa mkuu..................... halafu imagine moto ukazima wenyewe.

Tunaposema CHADEMA ni Mpango wa Mungu siyo maneno ya kubezwa kabisa.

CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU!
Mpango wa Mungu aliyekufa msalabai kisha akafufuka au unamaanisha mungu gani mkuu? Naomba ufafanuze wako maana wengine hwamuni huyoMungu na weigine hawana mungu kabisa wasije wakaingia mkene kwa kujiunga chama cha mungu aliyekufa msalabai.
 
Sina ushabiki sana wa vyama lakini CDM mmechemka. Kwa kawaida mtu akifanya kosa ndani ya jumuiya yoyote kuna taratibu za kufanya k.v. Kumpa barua za onyo, kumuta kwenye kamati ya nidhamu na taratibu nyingine ambazo zinatumika kumuonya mtu. Kama hatua zote nilizozitaja zinashindikana hatua ya pili inafuata ambayo kama ni kiongozi anavuliwa madaraka aliyonayo na kubaki mwanachama wa kawaida na kama c kiongozi anaweza kufukuzwa uanachama au hatua nyingine kwa mujibu wa katiba ya jumuiya hiyo. Hatua ya mwisho kabisa ni kumfukuza uanachama. Sasa CDM hawajafanya hatu zote hizo wakakimbilia hatua ya mwisho swali; KUNA AGENDA GANI YA SIRI HAPA????? kwanini hizo taratibu hazikufuatwa? Je, ni kweli katiba ya cdm haina hatua hizo au kuna mambo yamejificha ndani juu ya viongozi wa cdm ya kumuogopa zitto na wengine? Maana kama c hivyo kwanini wafukuzwe kwa mara moja bila hatua hizo? Je, tutaamini vp kama c mpango wa mbowe, lissu kuwaundia njama za kuwaondoa kwenye loop ili uovu wao usijulikane? JAMANI HAPO KUNA JAMBO.
 
Mpango wa Mungu aliyekufa msalabai kisha akafufuka au unamaanisha mungu gani mkuu? Naomba ufafanuze wako maana wengine hwamuni huyoMungu na weigine hawana mungu kabisa wasije wakaingia mkene kwa kujiunga chama cha mungu aliyekufa msalabai.

Kwani Mungu ni lazima awe aliyekufa msalabani? Kwa hiyo hizo dini nyingine kama hazimwabudu Mungu wanamwabudu nani? Shetani? Tuombe radhi
 
Mungi

Vipi zile camera zenu mlizofunga kwenye mkutano wa mabomu huwa amfungi ofisi kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni mashetani yanayonyonya damu za watu
 
Nimeamini kweli mna siasa za ulaghai! Yaani,kuchomwa moto ofisi zenu mnasema waliofanya hivyo ni watu wasiopenda demokrasia? Vipi zilipochomwa za ccm mlisemaje? Kweli nyie ni malaghai!
 
Poleni makamanda.

Nina imani kubwa sana mtawanasa wahusika na kisha tutajua waliowatuma.

Vipi Polisi wametoa ushirikiano wowote? Jiahadharini makamanda. Kwani kete ya mwisho ya magamba ilikuwa usaliti ambao nao sasa umeshathibitiwa.
 
Back
Top Bottom