Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...

===================
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto na Mwingamba...

huu ni uzushi mtupu, ujinga na upuuzi wa michadema. Mparurane wenyewe huko then msingizie ccm, eti vijana wa ccm wamuunge mkono zito, kwa lipi? Malizeni migogoro yenu acheni ujinga.
 
Mtonyo ule wa #lema kupoteza mahesabu ya fedha za ruzuku
Hawa jamaa nimewachangia sana #sadaka zangu wanapopitishaga vile vibakuli lakini siku hizi nimeshastuka kumbe fedha wanakula #chadema family
 
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...

===================
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto na Mwingamba...

huu ni uzushi mtupu, ujinga na upuuzi wa michadema. Mparurane wenyewe huko then msingizie ccm, eti vijana wa ccm wamuunge mkono zito, kwa lipi? Malizeni migogoro yenu acheni ujinga.
 
M4C IMEHAMIA KWENYE KUCHOMA OFISI. SIJUI UFIPA INALIPULIWA LINI. Lema ana vituko sana!
 
ofisi ya chadema mkoa wa arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
Picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya ccm anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...

===================
vijana wawili wa ccm( green guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa ccm wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono zitto na mwingamba...

zaburi 27: 1 - 5. Amen....
 
CHADEMA wakipata serikali sidhani kama Ikulu itakuwa salama. Ikitokea Lema amekwaruzana na Msigwa tu,Ikulu itatiwa moto.

Hadi lema aje kumaliza kipindi cha ubunge vijana wengi wa Arusha watakua vilema sana!!
 
kp29112013.jpg
 
M4C IMEHAMIA KWENYE KUCHOMA OFISI. SIJUI UFIPA INALIPULIWA LINI. Lema ana vituko sana!

Chadema ni mpango wa Mungu, ndiyo maana mipango ya ccm imefeli.
Ndiyo maana hata moto umezima wenyewe!

Wao wana hila sisi tuna Mungu
 
una maana nguvu za kuchoma moto majengo? Akamatwe huyo ahojiwe!!

chondechonde chadema tulieni haya mambo yanapita tu. Siasa zanataka subira msifanyiane visa kiasi hicho jamii ya watanzania iliwategemea sana kuleta mapinduzi lakini sasa mnakoelekea hatuwaelewi.hizi tofauti zingeweza kuzungumzika na kumaliza tofauti zenu .ninachokiona mimi ni tamaa tu zinasumbua na hasa tamaa ya madaraka .ila sera zenu zinalipa laiti mgejipanga vizuri mgefanya vizuri zaidi siku za usoni. Nawashauri mh zitto na mh mbowe mkae mmalize tofauti zenu.
 
kama hutaki kuamini ZZK ana nguvu sana chadema ,utakuwa victim of the saga,HUU NI MPANGO WA KUPOTEZA MAHESABU YA FEDHA ZA RUZUKU AMBAZO DR SLAA,MBOWE NA LEMA WAMEJIKOPESHA,KUMBUKA MANENO YA ZITO SIKU YA PRESS CONFERENCE "MBONA MWENZETU HUKUTUTONYA? ULIKUA UNATAKA TUAIBIKE AKIJA CAG?"
Kwani hayo mahesabu ya pesa za ruzuku unazodai yanapatikana ofisi za CHADEMA Arusha au makao makuu ya CHADEMA Kinondoni?
Ufafanuzi tafadhali.
 
Back
Top Bottom