Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ukiona giza nene limetanda ujue muda si mrefu kutapambazuka.
 
Acheni siasa majitaka chadema.
Achome hili hiweje?

Hivi kwa nini isiwe nyie wenyewe ndio mmechoma hili kutafuta huruma? kwanini hisiwe mmeichoma wenyewe hili kuwasingizia wenzenu?
Vijana wa UNGA WAMEFANYA MAMBO HILI KUSAKA HURUMA.

TUNASUBIRI TAARIFA YA POLISI NA YULE MTU WENU AROPOKE KAMA KAWAIDA YAKE.
INA MAANA KWENYE OFISI ZENU AMJATEGESHA MITAMBO MAALUM?

KWANINI MKURUGENZI WA INTELIJENSIA ASIJIUZULU KWA KUSHINDWA KUWEKA VIDEO MAALUM?

TUNAJUA MNAWEZA KUIBUKA NA KUSEMA MNA USHAHIDI LAKINI SAFARI HII AMTO DAGANYA MTU.

NASISITIZA MKUU WA INTELIJENSIA AKAE PEMBENI.

CC Ritz sweetlady CHAMVIGA sixgates
Kila siku na sema wewe jamaa ni jinga namba moja eti video kwani pale ni kibanda umiza peleka ujinga wako CCM
 
Sitaki kujibishana na ww,we kachome ofisi nyingine tena ya chadema from there utanielewa,upumbavu wenu hatitaukalia kimya tena#mazaorange

Tusaidie hili:
Tumeshasikia mara nyingi sana kuwa Arusha hakuna CCM, sasa ili tukubaliane na tukio lililotokea la kusema CCM ndo imehusika katika baadhi ya Post hapo,

1: Hao wachomaji wametokea wapi?
2: Kwanini msumbuke wakati mnauthibitisho kuwa walohusika ni akina .....?

NB: ukishindwa kutusaidia hapo itabidi watanzania tuamini kuwa matukio hayo nini binafsi mnahusika na msicheze na akili za watanzania, na pia matamko yenu yanaishushia hadhi Club yenu na hilo linatokana na kuzoa zoa watu bila kufikiri, kumbe wengine ni wendawazimu kama hao waliohusika na matukio kama hayo endapo utakuwa umeshindwa utetezi hapo juu.
 
mie nilikuwa natamani wamchome LEMA humo humo ndani, mvamizi na mwaribifu mkubwa wa chama anayefumbiwa macho kwa sababu ya UKABILA!!

utatamani mengi lakini hutafanikiwa, halafu hili neno ukabila sijui limewafanya nini na naona serikali inalifumbia macho kama ni sentensi ya kawaida sana hawa mnaowaita wakabila waliwahi kufikiri na wataendelea kuwa mbele kuliko mnavyodhania maana nasikia wanabarabara mpaka vijijini sijajua unakotoka wewe ujenzi wa barabara umefikia wapi? Kumbuka muheshimiwa mmoja wa kwenu alikuwa waziri wa fedha akawambia lazima mle nyasi rais wenu apate ndege hilo hamkuliona wakati huo? na kapeleka mradi wa barabara kiwango cha LAMI kijijini kwake, Lakini kukusaidia hili kabila unalolichukia umechelewa sana litaendelea kushine wewe endelea kupiga makelele ndugu.
 
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...

===================
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto na Mwingamba...

Wabunge wa CHADEMA kikao kilichopitwa sikumbuki lilikuwa tukio gani lakini mlihamishwa Bungeni mkaacha CCM wakapitisha bajeti ya ajabu ambayo imekuwa maumivu kwa kila mfanyabiashara. Nawaomba tukio hili lisiwatoe tena Bungeni na kuwaacha CCM peke yao waendelee kupitisha mambo yao ya kuumiza wananchi bila upinzani wenu
 
Tetesi: Vijana waliokamatwa wamemtaja LEMA kuwa ndiye aliyewatuma.

hapana mkuu hujapata taarifa kamili, ni mboya aliyerubuniwa na ccm amepanga mipango yote ili kudidimiza matumaini pekee ya watanzania wanyonge yaliyosalia! MUNGU IBARIKI CHADEMA. CCM chama cha kishetani na kisichokuwa na utu kabisa.
 
Haitoshngaza sana kusikia wahaini kugeuka kuwa magaidi.Wahaini hawa wapo desperate sana.Watashirikiana na magaidi wa chama tawala na wengine waliojificha ktk mambo mbalimbalia na kufungua roho inayowaongoza.Roho hii haiokubali kushindwa kirahisi hadi ifikie kufa.Ni katika ubishi wa hii roho ndipo watu wataanaza pandikizwa hofu mbalimbali.

Ni katika hizo hofu ndipo ugaidi huzaliwa.Kwang mimi na wengine tumeshaanza ona wapi waliopiga soweto watakapojitahidi jificha ktk migogoro na nia mbaya za wahaini .

NI kipindi cha walio wa haki kukemea kwa nguvu zote na thisi time kuwakemea kabisa wahaini ,kuwaeleza ukweli kwa kila ugaidi unaotokea hado wakose pa kusimamia.
Mkuu you are alienating your self from the truth.
CHADEMA ikikubali kuwa imekosea na kujirudi, la sivyo majanga yanayoendelea yatazidi kuwaandama.
Mtu mwite gaidi, mhaini, msaliti au anatumiwa na chama tawala, hilo halitawasaidia sana maana mtazidi kuzaa hao mnao wachukia.
Hata mwana CHADEMA wa kawaida anajionea na kufikirikwa kichwa chake kwa yale anayoyaona.

Mmeambiwa time and again kuwa dhambi ya ubaguzi itawaangamiza mlifikiri ni utani, sasa mnajionea kwa macho yenu, viongozi wenu wanajiuzulu in drones.

The maxim to draw from reality is , in politics consensus in the ruler of all ills.
 
Acheni siasa majitaka chadema.
Achome hili hiweje?

Hivi kwa nini isiwe nyie wenyewe ndio mmechoma hili kutafuta huruma? kwanini hisiwe mmeichoma wenyewe hili kuwasingizia wenzenu?
Vijana wa UNGA WAMEFANYA MAMBO HILI KUSAKA HURUMA.

TUNASUBIRI TAARIFA YA POLISI NA YULE MTU WENU AROPOKE KAMA KAWAIDA YAKE.
INA MAANA KWENYE OFISI ZENU AMJATEGESHA MITAMBO MAALUM?

KWANINI MKURUGENZI WA INTELIJENSIA ASIJIUZULU KWA KUSHINDWA KUWEKA VIDEO MAALUM?

TUNAJUA MNAWEZA KUIBUKA NA KUSEMA MNA USHAHIDI LAKINI SAFARI HII AMTO DAGANYA MTU.

NASISITIZA MKUU WA INTELIJENSIA AKAE PEMBENI.

CC Ritz sweetlady CHAMVIGA sixgates

kwa mtaji huo hata ukitongozewa mke wako utasema ccm poor mind,nawasiwasi na elimu ya watema pumba chadema!
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa ni jambo baya kama unashindwa kuilea familia yako ukawa unasingizia jirani yako jirani yako anawaharibu ni aibu hii kansa mmeicha wenyewe imefika tumboni sasa kukata kiunoni mnaogopa mgonjwa atakufa mtulie msubiri kudra ya Mungu mlipoanza kubomoa nyumba yenu ktk cc ya chadema Mwigulu hakuwepo. Nasubiri kwa hamu cku 14 ziishe kisha Zito afukuzwe itakua hii ni bashraf muziki wenyewe unakuja dhambi za ubaguzi huwa haziishi CCM watakua na dhambi endapo wataendelea kuipiga mateke maiti.

Hakuna anayeweza kuisambaratisha CDM wakati huu, ZZK wala yeyote njama mlizopanga mwaka huu kama siyo CDM kuwa Chama makini kingekuwa kimesambaratika. Kitu ambacho nina hakika ni kuwa ipo nguvu kubwa ya CCM nyuma ya mambo haya tunayoyashuhudia. Kumekuwa na kesi za kubambika na hujuma nyingine kujaribu kuwakatisha tamaa CDM, ile kuchoma moto ofisi ya Arusha ni psychological warfare kuwaaminisha Watanzania kuwa hata ngome ya CDM Arusha imechomwa. Al Qaeda walifanikiwa kupiga balozi za Marekani na kugonga maghorofa ya New York lakini Marekani haku Surrender na mwisho Osama alikamatwa. CDM songa mbele tafuta OSAMA mwanzo mwisho hakuna kulala, wakishindwa hii wataanza nyingine lakini wao wanapesa na mapepo CDM ina Mungu. Peoples ...
 
Hebu nitajie ofisi moja mliyojenga kwa mapato ya chama chenu, ukiacha hizi mlizorithi kutoka chama kimoja?

Ile ni ya kijiji, unajuwa Dodoma kinaendelea nini?

[h=3]JENGO JIPYA LA CCM DODOMA LITAKAPOKWISHA!! KUDUMU CCM!!![/h]
[h=5]

[/h]
 
Mtahangaika sana na CCM. Chama chemu hakitabaki salama mpaka wachagga watakapoacha kushika hatamu ndani ya chama

Inamaana kuna sharia ya Nchi inayosema ukiwa MCHAGGA haustahili kuwa kiongozi wa chama cha siasa?Au ndiyo sababu CCM kwenye safu yenu yauongozi hakuna Wamasai,Wachagga,wala wabarbeig ni sababu ya kuwabagua watu wa kaskazini?Msipende kupotosha umma huwa mnaudhi sana hata tusiopenda kuwajibu inafika mahali unawajibu sababu mnawabagua watanzania.Mchagga akiwa CCM sawa akiwa CHADEMA mhaini.Tukubali upinzani wenye afya kwa mustakabali wa nchi yetu tuache propaganda za kututenganisha
 
Back
Top Bottom