Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Mwl Nyerere alitahadharisha.
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wanyakyusa. [Acha ujinga kumbe bado unatawaliwa na mizimu. Na alipo sema huwezi kumkataa mtu asgwe kiongozi kwa sababu ya kabila lake kama sifa anazo?]
 
Ila haya majamaa yaliyochoma kama yalitumwa basi yamepiga hela nzuri, chezea CCM wewe!!
 
Tundu lissu naye ni popo tu hana lolote. Kwanza akili yake ni ya kukodi
 
mwigamba si alishafukuzwa? halafu si mnailinda ile ofisi masaa 24 kwa kutumia red brigade? hao ndo wanapaswa kukamatwa na kuhojiwa. isije ikawa wamechoma makusudi kwa lengo la kuchochea mgogoro

Na ukizingatia imechomwa saa moja asbuhi, kwanini huyu mchomaji asichome usiku kama ofisi haina ulinzi. Nimesikia maelezo kuwa mchomaji alilenga sehemu ya kuhifadhi nyaraka, kwanini?
 
Nchemba bado yupo Arusha anafanya kampeni. Mwambieni uchaguzi umeisha.
 
hawa wanatafuta kizingizio, hebu angalia wameshakuja na tuhuma ya mtu anaehusika na hichi kitendo. Wamemjuaje mara moja hii, ina maana information yao no first class. Tenda tendo mwenyewe alafu msingizie mtani wako. Game ya kitoto.
 
Kuna mtu leo kanisimamisha mitaa ya Kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

Nikamwambia kama mambo ya kuhusu Zitto kawaulize Chadema wenyewe.

Akasema sio hivyo.

Nikamwambia uliza.

Akaniuliza "hivi kwanini Chadema Arusha wamechoma ofisi yao?"

Nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

Nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya Chadema?

Akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya Chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae Chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

Nikamwambia asihofu, Arusha tatizo ni Lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.
-

Kama kuna mdau mwenye jibu naomba
tumsaidie huyu mwananchi.

Cc maggid

Acha kutuchekesha kaka!
 
Last edited by a moderator:
Maandamano ya kupinga kuchomwa kwa ofisi yatafanyika mjini hapa siku ya jumamosi, yataongozwa na wajumbe wa kamati kuu! na mbunge wa Arusha mjini. wote mnakaribishwa!
 
jimbo linawafanyabiashara walioenda shule na wasomi weni sana lakini linaongozwa na mbumbu na matokeo yake wanapata shida kufanya biashara zao kwa sababu ya umbumbu wake
 
Chadema endeleeni na sarakasi za kufukuzana na kujichomea ofisi; mkija kushtuka 2015 hiyo hapo.
 
Mtu mzima tena mwerevu anapoona chama kinamzingua ni hekima kuhamia chama kingine na sio kuleta fujo kama hizi zinazoendelea. Mrema amehama vyama kadhaa lakini haikusikika siku hata moja amefanya vurugu au wafuasi Wameleta vurugu kwa kuhama kwake. Hili la zitto inaonyesha waliosema CDM itakufa kabla ya mwaka hu kuisha wana mkono aasi ndani yake.
 
kama hutaki kuamini ZZK ana nguvu sana chadema ,utakuwa victim of the saga,HUU NI MPANGO WA KUPOTEZA MAHESABU YA FEDHA ZA RUZUKU AMBAZO DR SLAA,MBOWE NA LEMA WAMEJIKOPESHA,KUMBUKA MANENO YA ZITO SIKU YA PRESS CONFERENCE "MBONA MWENZETU HUKUTUTONYA? ULIKUA UNATAKA TUAIBIKE AKIJA CAG?"
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... CHAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Chadema endeleeni na sarakasi za kufukuzana na kujichomea ofisi; mkija kushtuka 2015 hiyo hapo.
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... CHAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Laana ya ubaguzi inaitafuna CHADEMA.

Back
Top Bottom