Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

I believe chaddema ni mpango wa MUNGU, na Bwana ndie mchungaji wetu....................hatutaogopa mabaya.........................nami ntakaa nyumbani mwa bwana milele amen.
 
uliza lema alifanywa nini na wale ma bounser,sishangai ukiwa mkumbo mmoja ndo mchezo wenu!!

Kama alivyofanywa Kikwete.. kama vipi omba ruhusa kwa Mods tuweke matukio yote hapa au tuanzishe thread ya matukio hayo...
 
Mbona hakuna nyaraka zozote zilizoungua au nyaraka zote za chama zipo Tengeru.

Ulitaka nyaraka ziungue...mtaendelea kushindwa kila siku...chadema ni mpango wa Mungu
 
Siasa za bongo zinachosha sana yaani kila siku ni kutafutana ubaya tu kila siku kumsingizia huyu vile na yule kusema hivi juu ya bongo,mbaya zaidi nimekuja kusikitishwa na hiki chama cha cdm nilichokuwa nakitegemea nw nimefunga mjadala naamini ukombozi wa kweli uko mikononi mwa wananchi sio hivi vyama vya siasa tuliokuwa tunavitegemea,
 
Duh! huyu alieachoma ofisi ana akili kweli? Wana-CHADEMA tuwe wavumilivu kidogo mambo yatatulia tu. Tuache kuharibu mali za chama ukweli utajulikana tuh
 
Duh! huyu alieachoma ofisi ana akili kweli? Wana-CHADEMA tuwe wavumilivu kidogo mambo yatatulia tu. Tuache kuharibu mali za chama ukweli utajulikana tuh

Ndio ujiulize sasa, CHADEMA kuchoma ofisi zao kwa minjali ya kutafuta huruma ya wananchi ni sahihi?
 
akili ya Tundu Lisu hata ukachukua akili ya nama yako, baba, shanganzi, wakomba, na takataja eote kwenye ukoo wenu hata robo hammufikii..
jambo gani kubwa alilofanio kweli.kuna jambo gani kubwa alilofanya bungeni?
 
tunasubiria wale wasaliti wote waishe halafu tutafanya huchaguzi
 
Mpango wa Mungu aliyekufa msalabai kisha akafufuka au unamaanisha mungu gani mkuu? Naomba ufafanuze wako maana wengine hwamuni huyoMungu na weigine hawana mungu kabisa wasije wakaingia mkene kwa kujiunga chama cha mungu aliyekufa msalabai.

  1. Mungu hadhihakiwi
  2. Kwenye Red, kajifunze kiswahili
 
I believe chaddema ni mpango wa MUNGU, na Bwana ndie mchungaji wetu....................hatutaogopa mabaya.........................nami ntakaa nyumbani mwa bwana milele amen.
huyo mungu atakuwa amekosa kazi ya maana ya kunfanya. We unafikiri kwakuwa chama kina wachungaji wengi ndio maana mungu yuko nanyi. Akili zingine ni hasara kwa taifa.
 
Acha ufala huoni? If pocible njoo arusha uwone. Au ingekua rangi ya ccm ungeona?
 
Back
Top Bottom