Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

kila siku na sema wewe jamaa ni jinga namba moja eti video kwani pale ni kibanda umiza peleka ujinga wako ccm

mkuu Crashwise pole sana na maumivu ,sorry nilimaanisha zile camera maalum amkutegesha kwenye ofisi?
 
Last edited by a moderator:
Mwl Nyerere alitahadharisha makabila yafuatayo kushika hatamu ya nchi, ila mtaniwia radhi japo tuzikumbuke hekima za baba wa taifa.

1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wanyakyusa

Naomba mrejee khotuba za baba wa taifa, na zipo sababu lukuki juu ya hayo makabila zikiwemo:

1. Kujikweza sana
2. Kujazana mahali mmoja wao akiwa MKUBWA
3. Kudharau wengine
4. Kuona wao ni bora zaidi ya wengine
5. Kurundikana wao kwa wao
6. Kugeuza mamlaka kuwa milki zao.

Wasukuma wangefaa sana kuongoza taifa hili, ila khofu ni kwamba ndilo kabila kubwa kuliko yote hivyo ingekuwa rahisi kujipa ujemedari na kusambaratisha vijikabila vidogo-vidogo.


Jamani hayo si maneno yangu, ni ya baba wa taifa hiki tunayedumisha fikra zake kila siku. Hivyo msinishambulie.
 
KUMBUKA yaliyokipata chama cha NCCR mageuzi na vingine vilivyokuwa na nguvu. Mi nadhani wanachama wa cdm wote mmeanza kuchanganyikiwa mnawataja wtz kana kwamba mko ndani ya mioyo yao. Ooh! CDM iko kwenye mioyo ya wtz nani kakudanganya? Kiukweli CDM ni chama nilichokuwa nakipenda kutokana na kuwazindua wtz wakajitambua na kuwa na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Lakini kwa haya mlo yafanya si wapi big up hata kidogo maana mmepata sifa mkasau watanzania bado wako kwenye mabadiliko ya kufuta ukijani mioyoni mwao. Matokeo yake mnawafanya waone ni bora hata ya kijani kuliko wanapokwenda. MCHEZA SHILINGI KWENYE TUNDU LA CHOO ..........
 
Hivi mbona CCM wanashabikia migogoro ya CHADEMA?vipi?
 
Atajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe! Nani huyo? Mbowe!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani Mungu ni lazima awe aliyekufa msalabani? Kwa hiyo hizo dini nyingine kama hazimwabudu Mungu wanamwabudu nani? Shetani? Tuombe radhi

kwani chama chenu kunaamiiMungu gani?Mana Miung wapo wngi sana, Msije mkawakaribisha watu kwenye chama kinachoamini Mungu wasomamini wao. Kwa ufupi hiyo kauli mbiu yen tumeanza n Mngu na tunamaliza na Mungu inaonesha namna gani mulivyo wadini mukionozwa na Padri Slaa
 
Hiyo Ofisi ya CHADEMA ilikuwa haina hata faili moja? mbona tumeoneshwa chooni, darini na kwenye bati tu
Hao walikuwa wanatafuta UMAARUFU wa kuonewa huruma, kuwa CHADEMA inaandamwa hata Arusha.
Basi na wenyewe wakalipize kisasi wakachome hata choo cha CCM
KWI KWI KWI TEH TEH
Kwi kwi kwi teh teh teh:


​
 
Mimi nimesha sema na nina sema tena.

Kwamba huu uchomaji wa Ofisi za CHADEMA ni jambo limepangwa na CCM na Serikali yake.
Wito wangu kwa Uongozi wa CHADEMA(T) anzeni mikakati ya kuzuia upotoshaji huu wa maamuzi ya CC ya chama chenu.
Hili swala la Zito kama halitadhibitiwa kwa umakini litakigharimu chama kwa uhuni tu wa CCM na Serikali yake. Jaribuni kurejea kauli za kina Lukuvi,Tyson Wassira, Mwigulu Nchemba na magamba wengine kuwa CDM haina muda na itakuwa imekufa kabla ya Uchaguzi wa 2015!!!

Hii ndiyo mikakati yenyewe ya kuimaliza CDM inayofanywa na CCM ikishirikiana na serikali yake. Haiwezekani watu 2 au 3 wafukuzwe ndani ya chama kwa UHAINI halafu ati Wanachama nchi nzima waamzishe vurugu za kuchoma moto ofisi na maandamano! hili haliingii akilini hata kidogo. Huu ni usanii unaofanywa na CCM.

CHADEMA kuweni macho na makini kudhibiti hali hii. Walishindwa kuimaliza CHADEMA kwa BOMU la mkono Soweto na Olasiti pale Arusha, sasa CCM wameanza kwa staili nyingine.

Kitabu kitakatifu Biblia kinasema muwe wapole kama HUA lakini wajanja kama NYOKA! Tunasihi CDM uongozi wa Juu muwe wapole kama HUa lakini wajanja kama NYOKA. Adui yenu CCM na Serikali amejipanga kuwasambaratisha b4 2015. Naamini Watanzania wengi wako nyuma yenu.

Kaka hakika uko sahihi lakini mpango wa mungu kamwe hauwezi kufa
 
Imechomwa mkuu..................... halafu imagine moto ukazima wenyewe.

Tunaposema CHADEMA ni Mpango wa Mungu siyo maneno ya kubezwa kabisa.

CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU!

chadema, wafuasi wake na shetani damu damu.
 
kwani chama chenu kunaamiiMungu gani?Mana Miung wapo wngi sana, Msije mkawakaribisha watu kwenye chama kinachoamini Mungu twasomamini wao. Kwa ufupi hiyo kauli mbiu yen tumeanza n Mngu na tunamaliza na Mungu inaonesha namna gani mulivyo wadini mukionozwa na Padri Slaa

Yeah mkuu big up kwa kusema kinaga ubaga.
Tumeanza na Kristo na tutamaliza na Kristo. Yeah! ONA SAFU YETU YA UONGOZI....
Asiyekuwa mkristo hatufai. Aondoke...
 
Mbona hakuna nyaraka zozote zilizoungua au nyaraka zote za chama zipo Tengeru.
 
Kuna mtu leo kanisimamisha mitaa ya Kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

Nikamwambia kama mambo ya kuhusu Zitto kawaulize Chadema wenyewe.

Akasema sio hivyo.

Nikamwambia uliza.

Akaniuliza "hivi kwanini Chadema Arusha wamechoma ofisi yao?"

Nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

Nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya Chadema?

Akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya Chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae Chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

Nikamwambia asihofu, Arusha tatizo ni Lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.

Kama kuna mdau mwenye jibu naomba tumsaidie huyu mwananchi.

Cc maggid
 
Last edited by a moderator:
Kitu ambacho watu wengi wanashindwa kuelewa, hawajiulizi kwa nn hili swala la zzk ccm wanashikia bango na wanajaribu kupotosha ukweli. Hapo kinachofanyika ni kufukia kashfa ile ya kinana, kapuya, sakata la madawa ya kulevya na pamoja na makelele yote ya mwakyembe na bado contena la pembe za ndovu lilikamatwa Zanzibar na mambo mengine ambayo serikali haijatolea majibu. Na kwa kuwa vitu vingi vinalenga viongozi WA serikali na ukizingatia wao ndio wasemaji wakuu na wamekosa majibu, kwa hiyo wameona issue zzk na chadema ndio kivuli cha kuficha yale ya kwao. Km zzk mwenyewe na viongozi hawana ugomvi zaid ya utendaji ktk chama, wao upande wa pili wa shilingi kinawauma nn na kuvalinjuga kuliko chadema wenyewe? Tuwe makini tusiwe wafuata mkumbo bila kujua dhamila husika ya jambo husika.
 
Back
Top Bottom