Dharau gani ameonesha hapo, au wewe hujui bwana mifugo na katambi ni yupi na yupi?
Asante,wamekosea waliorekodi sauti za huyo mlalamikaji,mlalamikia,katambi na wananchi waliopo hapo.
Pamoja na mapungufu ya mbunge ktk hilo kusikiliza pande zote yupo sahihi kama mbunge na ameahidi jtatu mamlaka husika zitakwenda site.
Najua mbunge so chaguo la wananchi ndio kosa lake.hats mie siungi upatikanaji wa ubunge wake.
 
Angalia YouTube utaona udhaifu mkubwa wa katambi ameanza kwa kumprovoke mzee Kisha amemtukana uonevu sana
 
Hayo maneno machafu yako wapi ?
 
"Suala hili la Mgogoro baina yake na huyu Mwananchi, nitalivalia njuga Tena bahati nzuri na Mimi ni Mwanasheria, na sita pendelea upande wowote ule, mwenye haki na hilo eneo atapata haki yake," aliongeza.
Kazi ya kutoa haki ni ya mahakama.....
 
Huyu brother mwenye bar pale bondeni lugalo
2025

Siatagombea tena au kaacha siasa MALESE wa watu
 
Katambi kazingua ,hiyo afisa hana kosa ilaaa kafanya Ku mprovoke .mbona hajampa Uhuru na yeye azungumze
 
Afisa mifugo pole sanaaa nimekuelewa ww huna tatizo Ni vile waziri amakuzingua video yako inaonesha waziri hakuwa na nia ya dhati kukupa Uhuru wa kuzungumza
 
Ndugu zangu sikilizeni video,
Huyo bwana mifugo anadharau za wazi sana halafu nijeuri.
Nendeni YouTube mtaelewa
Acha uongo boss afisa mifugo alikuwa submissive sanaaaa ,katambi kazingua kwenye ukweli tuseme jamn sio kuonea watu

Hakutaka kubalance story kwanza kaanza kuongea yeye kuhusu haki sijui nini kabla ya kuacha wote waongee na pia bhna mifugo alikuwa na nia ya dhati kabisa kujibu hoja na kwa heshima kubwa

Mnyonge mnyongeni haki apewee ukiona ile video ndo utajua namanisha nn? Justice to ofisa mifugo pls
 
Nimeweka video, Katambi amemuonea afisa mifugo bure
 
Nimeweka video, Katambi amemuonea afisa mifugo bure
Afuu kuna watu wanasema afisa mifugo hana nidhamu ? Ni uongo na upotoshaji mkubwa kijana mdogo kapewe heshima zote sababu ya cheo chake cha mezani afu ana muonea afisa mifugo

Mie CCM kindaki ndaki huu ujinga ndo unafanya vijana wa ccm tuonekane wote waimba mapambio .....MTU alipata kura moja Leo anamnyanyasa MTU bila sababu

Afuu huyu mwandishi nae ni wale wale wa kusapoti ujinga
 
Nimechukia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…