Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

bfdb38144f28d98df8ca9ac8e10ff6ed.jpg

Mkuu we ndo mpekepeke?? Au umeibiwa idea?? Au ww ndo umeiba idea??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imezoeleka msanii Roma mkatoliki kila anapoachia wimbo hutoa ujumbe pasi na kuficha chochote lakini kwa huu wimbo wake mpya (zimbabwe) hali imekuwa tofauti, si Roma tuliyemzoea kwa kweli

Roma katawaliwa na hofu na uoga wa hali ya juu, lugha ya kisanii aliyotumia inaonesha uoga na hofu, kama si hivyo basi itakuwa ni unafiki kama anaoufanya mrisho mpoto

Roma alitakiwa kufunguka hasa baada ya ile awamu ya kwanza kufail, sasa ndio ilikuwa nafasi yake kuwachana live waliofanya tukio na sio kuwataja kiuficho (RC & polisi)

ila hongera ni wimbo mzuri, tunahitaji harakati za wazi, umerudi zama kwa hili kwa kweli
hakika wewe ni mmoja kati ya aliowalenga aliposema mnataka akomae kama mwanzo je akifa mtoto wake mtamuangalia....vyuo vinafungua lini alfu?
 
imezoeleka msanii Roma mkatoliki kila anapoachia wimbo hutoa ujumbe pasi na kuficha chochote lakini kwa huu wimbo wake mpya (zimbabwe) hali imekuwa tofauti, si Roma tuliyemzoea kwa kweli

Roma katawaliwa na hofu na uoga wa hali ya juu, lugha ya kisanii aliyotumia inaonesha uoga na hofu, kama si hivyo basi itakuwa ni unafiki kama anaoufanya mrisho mpoto

Roma alitakiwa kufunguka hasa baada ya ile awamu ya kwanza kufail, sasa ndio ilikuwa nafasi yake kuwachana live waliofanya tukio na sio kuwataja kiuficho (RC & polisi)

ila hongera ni wimbo mzuri, tunahitaji harakati za wazi, umerudi zama kwa hili kwa kweli
Katika kiswahili kuna fasihi simulizi na ina njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa hadhara hapo alichokifanya kinatosha na ujumbe umefika ila amezingatia uficho kwa kweli bila ya kuwataja wahusika lakini kwa wenye upeo wamejua nini amekusudia kwenye wimbo wake.
 
imezoeleka msanii Roma mkatoliki kila anapoachia wimbo hutoa ujumbe pasi na kuficha chochote lakini kwa huu wimbo wake mpya (zimbabwe) hali imekuwa tofauti, si Roma tuliyemzoea kwa kweli

Roma katawaliwa na hofu na uoga wa hali ya juu, lugha ya kisanii aliyotumia inaonesha uoga na hofu, kama si hivyo basi itakuwa ni unafiki kama anaoufanya mrisho mpoto

Roma alitakiwa kufunguka hasa baada ya ile awamu ya kwanza kufail, sasa ndio ilikuwa nafasi yake kuwachana live waliofanya tukio na sio kuwataja kiuficho (RC & polisi)

ila hongera ni wimbo mzuri, tunahitaji harakati za wazi, umerudi zama kwa hili kwa kweli
Unajuaje kama kaenda kuwatoa VISHIPA wote waloshiriki kumteka mana huwezi jua labda ZIMBABWE kuna waganga bora kuliko hapa BONGO... BANGI HIZI ITABINI NIZIACHE TU MANA HATA MIMI NATAMANI KWENDA KIBITI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja! Haiwezekani nyimbo tatu zote zibume.afu Roma ametoa hii ZIMBABWE imekuwa habari ya mjini.
Zimebuma wapi ? Kila ukifungua radio na tv Eneka haikosekani. Unafki uache utakuumiza nwenyewe
 
MISTARI HII IMEBEBA UJUMBE WOTE
Mungu wa Paulo ndio mungu wa daudi ...Na ndio mungu wa john mnayemuita yohana wa yahudi.
Ulikuja mwenyewe ama ulipewa order? We ni yanga me ni simba kuwa mpinzani sio dhambi..Ipo siku mtawala atakuwa mpinzani. Na kuna mbunge alisema eti nimemtukana mkuu...Me nimtukane mjomba? Umepewa gari ya wagonjwa mitaani unanijengea bomba ....Waliosadiki roma ataonekana kabla ya jumapili God bless imetimia injili niliyoitabiri.
 
Zimebuma wapi ? Kila ukifungua radio na tv Eneka haikosekani. Unafki uache utakuumiza nwenyewe
Unafiki wa wapi mkuu! Nasema ukweli nyimbo zimebuma,Mimi nilisikiliza Mara moja tu sikutamani tena kuzisikiliza,Ila hii ya Roma tangu jana nimeshasikiliza Mara zaid ya 50.na Leo kila napopita mtaani ni hiyo tu ZIMBABWE.Tatizo lako mahaba yamekutia upofu,hadi kitu kibaya unaona kizuri
 
Mungu wa Daudi ndie Mungu wa John mnaemuita Mungu wa Yahudi......weka bunduki chini si tubishane kwa hoja.....na waliosadiki Roma ataonekana kabla ya jumapili God bless u imetimia.....kuna siku mtawala atakuwa mpizani

tehe tehe tehe msg sent & delivered
 
Habari wanajamvi...

Hii serikali ya awamu ya 5 iache hii tabia ya kamata kamata iwaache watu waseme kwan wakikusema unapungukiwa nn??????

Nimeusikiliza wimbo mpya wa ROMA KATOLIKI hadi huruma....

Serikali iiache hii tabia iwaache watu waseme hakuna mwenye hati miliki hapa duniani sote tutapita watakuja Raia wengine hakuna sababu ya kumtesa binadamu mwenzako usinyanyase watu kwa sababu una nguvu na una mamlaka(dola)

IDDI AMINI SISTER aliwatesa sana watu lakn Leo hii Yuko kaburini..
...

Hakuna sababu ya watesa watu TENDA WEMA UENDE ZAKO..........

MFANO MZURI

WAKATI AGGREY MWARI NI WAZIRI WA TAMISEMI ALIKUWA ANAWATUKANA SANA VIONGOZI WALIOKO CHINI YAKE LAKINI YEYE LEO ANAWAITA MABOSSI WAKE.....

Nawasilisha
..
 
Wewe ni mmoja wa wananusa kijambo cha BASHITE na Baba J huna hata aibu

Nakwambia hivi mimi sio CCM NA WALA SIIKUBALI. Ila ushamba mwingine tuache tunapenda kushabikia mambo ya kishamba kama mmependa vinanda na matarumbeta kwenye hiyo nyimbo sawa lakini kwamba ni mzuri kimashairi hakuna kitu.

Roma anaelezea nini kwenye hiyo nyimbo labda tusaidie, kutekwa inajulikana mi naona kama anajipendekeza tu kwa hao CCM anataka kuonesha kama bado kidume wakati anawasifia kiaina.
 
Safi.
My take.
1.Katumia akili sana kubalance story yake ili yasimkute tena.

2. Kumbe alitabiri magufuli atakuwa Rais.(bado cjaamini hili)

3. Kawajibu wale waliokuwa wakisema bora anyooshwe kwa kumsingizia eti kamtukana magu. ( hata humu JF wamo)

4. Hayupotyari kuwataja watekaji wala kusema lengo lao ( ipo siku atawasema tu. Akikaa kimya, Tume will)

5. Yupo vizuri kutunga na kudeliver message kupitia mziki.

6. Kumbe anatambua kelele zetu ndizo zilimuokoa laa sivyo wangekuwa wamesha msaa 8.

7. Inawezekna wimbo na video katengenezea zimbabwe ili wasije msomba kabla poroject haijaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Huo ni uoga,

2. Alitabiri sasa kwa nini alielie, na kwa nini hakutabiri kutekwa kwake,

3.Hakukuwa na haja ya yeye kujibu tuhuma zisizo na mashiko akiwa kama msanii mkubwa,

4.Hana haja ya kuwataja Haitosaidia Kitu ya Clouds si mnaona yalivyoisha.

5.Ni kweli lakini ndio kazi yake na wengine wengi sioni ajabu wanamuziki wako mamilioni duniani,

6.Sasa kwa nini anaogopa ogopa kama anajua Watu wako nyuma yake,

7. Labda lakini Wakikutaka ZIMBABWE sio mbali.
 
Unaijua kazi ya muziki?
Au unadhani kazi ya muziki ni kujaza kumbi za disko?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kazi au unafiki tu kitu gani kimeimbwa au ni makorokocho hayo.

Kashauri nini kwetu kama wananchi zaidi ya kuwatia uoga,

ZIMBABWE ataenda yeye na wajinga kama nyie, kila mkisikia biti tu hata maneno ya ajabu ajabu ilimradi yana vina mnashabikia eti nyimbo nzuri vipi nyie....
 
Safi.
My take.
1.Katumia akili sana kubalance story yake ili yasimkute tena.

2. Kumbe alitabiri magufuli atakuwa Rais.(bado cjaamini hili)
Bandugu bwaga manyanga ayaokote magufuli................ tafuta huu hili pini

Back
Top Bottom