Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Ukisoma huo mstari Wa mwisho
Kwa mawazo yangu
Inawezekana Roma alikuwa anasifiwa sana na mkuru mbele ya mtoto,hvyo mtoto akaona wivu na kuamua kutaka kumpoteza kabisa ila mkuru akaweka ngumu.

We kakupa ambulence,mi kanijengea.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kwenye kupewa Ambulance ni mbunge mmoja aliyesema Roma kumtukana Mjomba, sasa huyo mbunge ndiye kapewa Ambulance na Roma Tanga wamejengewa bomba
 
Achana na kulipualipua vibao vya muziki visivyo na mvuto. kaa utafakari ni wapi umeteleza na ikibidi onana na watu kama akina Roma kwa darasa wakupe mbinu za kuwateka mashabiki Wa aina ya Muziki unaouimba. Hata kama hamuimbi muziki Wa aina Moja lakini wanaweza kukusaidia kukupa mbinu juu ya mashabiki wanataka nini na kwa wakati gani. wahenga walisema elimu haina mwisho. Achana na mashabiki wako uchwara ambao hata ukitoa nyimbo za hovyo wanakupa sofa kihivohivo.
bila shaka umenipata.
Umeshapuliza majani Mkuu?
 
Mleta maada utakuwa unaumwa utapia mlo. Nenda kwa Diamond akakupatie japo makombo ya jioni.
 
Duh wivu ni kitu kibaya sana kwa binadamu, huyo Roma ana nini haswa cha kujivunia na hayo kwa kuimba miaka yote. Kila mtu na yake hatutaki mipasho na mafumbo kutoka kwa kila mwimbaji. Diamond yupo juu hata mfanyeje cha muhimu bora mkopi yake nanyi mpae.
 
Achana na kulipualipua vibao vya muziki visivyo na mvuto. kaa utafakari ni wapi umeteleza na ikibidi onana na watu kama akina Roma kwa darasa wakupe mbinu za kuwateka mashabiki Wa aina ya Muziki unaouimba. Hata kama hamuimbi muziki Wa aina Moja lakini wanaweza kukusaidia kukupa mbinu juu ya mashabiki wanataka nini na kwa wakati gani. wahenga walisema elimu haina mwisho. Achana na mashabiki wako uchwara ambao hata ukitoa nyimbo za hovyo wanakupa sofa kihivohivo.
bila shaka umenipata.
Unalinganisha ushuzi na marashi
 
Hivi mkuu nkitaka kuudownload huu wimbo toka hapa hapa kwenye huu uzi inaeezekana,?

Msaada tafadhari

_ where ever you are remember me_
 
Ukisoma Historia unagundua kuwa nchi ya Zimbabwe miaka ya 80's ilikuwa na kila kitu....Rasilimali za kutosha....Ajira nje nje na mambo bwerere.

Wakaamua kumpa mtu ambae waliamini atazidi kuisaidia nchi yao na kuwa London ya Africa kwani mtu alionekana kuwa na uchungu nchi yake.

Doooh Kumbe imani waliyokuwa nao wananchi ni tofauti na imani ya mtu huyo waliomchagua....maisha yakaanza kuwa magumu na hadi leo ni magumu.

[HASHTAG]#Naunganisha[/HASHTAG] dot kwa nn Roma anakwenda Zimbabwe
 
Wewe hakuna lililokukuta lakini ni mwoga umeficha jina lako halisi. Sembuse yeye ambaye ameonja joto la jiwe? Sema ulichotamani azungumze hajazungumza lakini mambo ya msingi ameyaeleza.
 
Afadhali yeye kasema nawe umemsikia! Jiulize wewe ni jasiri kuliko yeye? Kama jibu ni ndiyo kwa nini unaficha ID yako hapo jukwaani? Kama sio huna haja ya kumlaumu Roma!
 
Back
Top Bottom