Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Roma amezungumzia kuhusika kwake kwenye siasa na kwamba sasa anajifunza kareti ili kujiweka fiti kifikra na kujilinda. Mahojiano kamili yatasikika kupitia kipindi cha Nirvana kitakachorushwa siku ya Jumanne na kituo cha Eatv. Source eatv tangazo!
 
"You have nothing t with it.." mkiambiwa betri zimeisha chaji mnaanza kulalama hiki ulichokiandika ni matokeo ya kuchangia mada ukiwa tumbo wazi.
bahati mbaya nilimaanisha you have nothing to do with it bahati mbaya nilikuwa kwenye bodaboda natype but ujumbe umepata uzuri wake.. Akili unazo sema unajitoa ufahamu tu sometimes
 
Acha undezi wewe huyo anaimba maisha yake ambayo you have nothing to do with it... kama makosa alifanya yeye na kibano akakipata vizuri na akiendelea anajua kifuatacho ITV... Huo sio wimbo ni maongezi tu ya kijinga kijinga ndio fact yenyewe... usitegemee ati ataalikwa Zimbabwe akawatumbuize au Kenya... only mjinga atamsupport huyo Chizi
Wewe Utakuwa Wash Brain
 
Aache ujinga mafunzo ya mapigano wanayofundishwa taasisi za kijeshi ni advanced na hardcore kushinda ya uraiani.

Na mkanda mweusi hapati leo wala kesho, sasa asilete za kwenye muvi eti adui atakaa anakungoja uive mafunzoni ndiyo akufuate.
 
Wewe Utakuwa Wash Brain
Sehemu ipi ya hiyo record iliyokufurahisha? tufahamisheni kwanza maana unaweza kudhani maongezi haya ni ya fact kumbe wengine ni ushabiki tu...tena Shabiki Maandazi
 
Sio kila nyimbo ya club ....acha kukariri ...boya ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikariri mkuu na wala sio boya... huo wimbo ni wa wapi sasa kanisani Roma au? tueleweshane maana najuta kuusikiliza nifahamishe ni vionjo gani vimetumika na ni burudani au maongezi au uchochezi au ni mipasho kama Taarabu ilikufa kibudu
 
Mbona zile nyuzi nyingine za Roma zimefutwa?? kulikoni??...kila nikizifungua hazionekani...nimeweka uzi kulalamika lkn mods pia wameutoa.jf kama na nyie mnanunuliwa tutasemea wapi jamaniiiiii?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roma amezungumzia kuhusika kwake kwenye siasa na kwamba sasa anajifunza kareti ili kujiweka fiti kifikra na kujilinda. Mahojiano kamili yatasikika kupitia kipindi cha Nirvana kitakachorushwa siku ya Jumanne na kituo cha Eatv. Source eatv tangazo!
Labda anaona kiakili alikuwa bado hajawa sawa
 
Roma amezungumzia kuhusika kwake kwenye siasa na kwamba sasa anajifunza kareti ili kujiweka fiti kifikra na kujilinda. Mahojiano kamili yatasikika kupitia kipindi cha Nirvana kitakachorushwa siku ya Jumanne na kituo cha Eatv. Source eatv tangazo!
Ayakoroge tu tena?....izo karate ataziapply kwa vibaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakwenda zimbabwe. Huku watu wamevalia kama wale islamic states je anataka kulipa kisasi?
 
Back
Top Bottom